CUF Arusha ngoma nzito, operation V4M yakwama

Vyama vyenu bado vichanga lakini mnapigana vikumbo, hii ndio ile ya masikini anamroga maskini mwenzake.
Mkuu majebere si mmeamua kuwatumia CUF kama tambara la deki, kwani wewe unahesabu CUF ni chama cha upinzani???? Pole mkuu kwa wasioelewa lakini Arusha hata mama yeyo amefunguka siku hizi M4C Arusha hoyeeeeee!!!!

Nilisema na nitasema. Mpango wa cuf bara ni nikuzigawa kura za chadema (advantage kwa ccm). kiukweli sikupenda approach yao kwa chadema walipokuwa jangwani.
 
Nipo viwanja vya Sombetini hapa Arusha mkutano umedoda hakuna watu wameamua kuahirisha mkutano.

Nilionya tangu awali kuwa Arusha hakuna 'MALOFA' (makabwela) lkn pengine sikueleweka.

Waende Tanga kwa kina Ludego, tena mida hii wameshauza iliki na mapeas ndio yapo njiani
 
hahahahaha hamtoamini tutakavoibomo CDM, hapa kazi tu kama mlizoez fujo subiri tuwaoneshe ustaarabu.
 
gari bovu siku zote linapakiwa kwenye mteremko ili ukishtua tu liwake sasa cuf wanawashia kwenye kigongo kama vogue.
walitakiwa waanzie v4c pemba.
 
gari bovu siku zote linapakiwa kwenye mteremko ili ukishtua tu liwake sasa cuf wanawashia kwenye kigongo kama vogue.
walitakiwa waanzie v4c pemba.
Tatizo lao wanataka kumfurahisha mme wao....matokeo yake waka ambulia kumi na moja na kuukimbia uwanja...
 
Mkuu majebere si mmeamua kuwatumia CUF kama tambara la deki, kwani wewe unahesabu CUF ni chama cha upinzani???? Pole mkuu kwa wasioelewa lakini Arusha hata mama yeyo amefunguka siku hizi M4C Arusha hoyeeeeee!!!!

Hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Hivi baba na mama kama wote ni matahira mtoto anae zaliwa huwa na akili timamu....

mkuu, mtoto huyo anakuwa tahaira na lazima alelewe na ndugu wa karibu ili akue na si hao wazazi. mimba ya ccm na cuf kazaliwa mtoto ambaye mlezi wake ni hamadi rashidi.
 
hahahahaha hamtoamini tutakavoibomo CDM, hapa kazi tu kama mlizoez fujo subiri tuwaoneshe ustaarabu.
mwigo, je, mkishaibomoa Chadema ndio mnakamata dola? Mbona wenye dola kwa sasa ni CCM? Kweli hii si sawasawa na kusema mmekubaliana na wenye dola kwamba mkiweza tu kuibomoa Chadema watawapeni dola! Haya, wengine tunawatakia heri katika safari yenu hiyo ila chukueni tahadhari...mlafi hashibi. Muulizeni Maalim Sharrif Hamad...nasikia ameanza kulialia baada ya ndoa ya mkeka, mume mlafi habanduki jikoni na mke akileta cha kuleta, makofi nje nje kama ilivyotokea Bububu Znz!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom