Nimeamini Arusha ni ngome ya CHADEMA. CCM tuachane nayo!

Desprospero

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
887
2,201
Matukio mawili yametokea jijini Arusha ambayo yalitosha kusambaratisha maandamano ya Chadema. Mosi ni ajali iliyoua watu 25 wakiwemo watoto sita (6). Ni simannzi nzito sana.

Pili ni mvua kubwa iliyoandamana na upepo mkali na radi iliyosambaratisha jukwaa la viongozi. Cha ajabu viongozi waliendelea na mkutano as usual kana kwamba hakuna Msiba uliotokea na hakuna mvua iliyonyesha. Wana Arusha walidhamiria maandamano haya.

Kwa hakika hii ni salamu kwamba Arusha ni ngome ya Chadema. Sioni sababu ya CCM kuendelea kuing'ang'ania kuanzia nafasi za Udiwani, Ubunge na hata Umeya. Arusha aachiwe God bless Lema.
 
Watu wanaendelea kuunga mkono juhudi za Chadema taratibu mambo yatakuwa mambo, hongera CDM!
 
Tatizo ndio wanaojipakulia chakula wakati wa uchaguzi watajipendelea tu.
 
Matukio mawili yametokea jijini Arusha ambayo yalitosha kusambaratisha maandamano ya Chadema. Mosi ni ajali iliyoua watu 25 wakiwemo watoto sita (6). Ni simannzi nzito sana.

Pili ni mvua kubwa iliyoandamana na upepo mkali na radi iliyosambaratisha jukwaa la viongozi. Cha ajabu viongozi waliendelea na mkutano as usual kana kwamba hakuna Msiba uliotokea na hakuna mvua iliyonyesha. Wana Arusha walidhamiria maandamano haya.

Kwa hakika hii ni salamu kwamba Arusha ni ngome ya Chadema. Sioni sababu ya CCM kuendelea kuing'ang'ania kuanzia nafasi za Udiwani, Ubunge na hata Umeya. Arusha aachiwe God bless Lema.
Imani potofu ni zama za ujima 🐒

hayo matukio ulotaja malipo na majibu yake ni kwenye sanduku la kura mapema mwishoni mwa 2024 lakin pia Oct 2025.

Lakin tukio jingine linalofanana na hayo nikukumbushe tu, ni wakati wa maombolezo ya hayati ENL ambae eti walimpenda na na kumuheshimu sana na ambae pia alikua mgombea urasi wao huko nyuma 🐒

walipuuza matanga na maombolezo yake na kuamua kuifedhehesha na kuimumiza sana familia ya hayati kama ambavyo wamefanya kwaajili ya wafiwa wa ajali mbaya na nzito sana hapa Arusha 🐒

malipo ni hapa hapa duniani.
wakaskazini wanahoji utu na thamani kwa wanachama wao wanao pata matatizo mathalani maafa uko wap 🐒

kwenye debe ndio majibu yalipo
 
Ni camera pekee ndiyo zilikimbia
 
Chadema mnajua kujifariji na kujitia moyo!
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Imani potofu ni zama za ujima 🐒

hayo matukio ulotaja malipo na majibu yake ni kwenye sanduku la kura mapema mwishoni mwa 2024 lakin pia Oct 2025.

Lakin tukio jingine linalofanana na hayo nikukumbushe tu, ni wakati wa maombolezo ya hayati ENL ambae eti walimpenda na na kumuheshimu sana na ambae pia alikua mgombea urasi wao huko nyuma 🐒

walipuuza matanga na maombolezo yake na kuamua kuifedhehesha na kuimumiza sana familia ya hayati kama ambavyo wamefanya kwaajili ya wafiwa wa ajali mbaya na nzito sana hapa Arusha 🐒

malipo ni hapa hapa duniani.
wakaskazini wanahoji utu na thamani kwa wanachama wao wanao pata matatizo mathalani maafa uko wap 🐒

kwenye debe ndio majibu yalipo
Wewe jini wa CCM nikuulize Lowasa alikuwa CCM au CHADEMA?

ACHA UMALAYA WA KISIASA
 
Back
Top Bottom