CUF Arusha ngoma nzito, operation V4M yakwama

labda wakafanye mkutano msikiti wa bondeni tena wavizie ijumaa.wao walidhani sombetini kwa kuwa kuna waislamu wengi wakadhani watakua ni wanazi wa cuf by default!!?arusha ni chadema tu

mkuu kwa kuwa nyie mnafanyia kampeni zenu mmakanisani basi unadhani ni vyama vyote?hebu jiulize kwann huko kuna wachungaji wengi
 
CUF ni wa kupuuza. Wala CHADEMA wasiwajibishe majukwaani maana sasa hilo litakuwa taarab rojo. Kikwete anapiga vijembe ikulu, CUF majukwaani, CCM kwenye vyombo vya dola hivyo ni busara CHADEMA wasifuate njia za hawa maadui wa maendeleo nchini.
 
V4C =Vilaza 4 Coppying.
Wanatumia nyayo za CDM kujinadi,wataumbuka vibaya wakiendelea na uigizaji.
 
Mkuu Majebere, hichi KAFU ni cha kwenu huko au umesahau wapi kura za Prof Lipumba zilikopotelea mnamo 2010 akiamini kwamba kwa jinsi hiyo kidogo KURA ZINGETOSHA KWA 'NDUGU WA DAMU' Mhe Kikwete na hatimaye ndoa ya serikali ya umoja wa kitaifa kuzaliwa na safari ya kikazi Uswisi kupatikana???????????

Watu mbona mnasahau haraka hivi; KAFU siku zote ni na itaendelea kubakia CCM 'B' katika macho ya WaTanzania. Usanii uliofanyika kati ya CCM na KAFU kule Bububu unafikiri hatujui mkuu?????????


Vyama vyenu bado vichanga lakini mnapigana vikumbo, hii ndio ile ya masikini anamroga maskini mwenzake.
 
Kumbe cuf bado moyo unadunda!
Nilidhani wameshakufa na kuzikwa! Kila aliyepanda jukwaani na baraghashia duh! Hii kali
 
Du hapa karibia MAWAKALA WA MAGAMBA wanatoana ROHO!
mi simo! maana niliambiwa "ukiwakuta mawakala wao wanataka kutoana roho we usitie lako pita wende!"
 
Mhk, hawa jamaa lazima walikuwa wanabeep tu, walifikiri wangeweza kukusanya watu? Labda waende Zenji, Mtwara au Tanga huko ndo watapata wenzao. Mbaya zaidi leo ni Jumapili, labda wangejaribu Ijumaa!!!!
 
Mhk, hawa jamaa lazima walikuwa wanabeep tu, walifikiri wangeweza kukusanya watu? Labda waende Zenji, Mtwara au Tanga huko ndo watapata wenzao. Mbaya zaidi leo ni Jumapili, labda wangejaribu Ijumaa!!!!

Mkuu kwa hiyo jumapili ni siku ya Chadema...nimekupata mkuu.
 
kama walikuwa hawaijui Arusha nadhani wamepata jibu leo cuf wameambulia watu 11 wakaanza kusingizia mechi ya manu na liverpool..hahahaha
 
V4C =Vilaza 4 Coppying.
Wanatumia nyayo za CDM kujinadi,wataumbuka vibaya wakiendelea na uigizaji.

waumbuke mara ngapi wewe mkutano kukomea watu 11 ni jambo jema..labda balozi wa nyumba kumi ndiyo anaweza kuwa na idadi ya mkutano wa cuf wa leo..tangu juzi wanatangaza mkutano mkutano mbauda matokeo yake wameambulia watu 11
 
Mkuu "Fmpiganaji" huyu kiongoz kabla ya kuahirisha mkutano alisema siwezi kuondoka hivi hivi itabidi niseme maneno kdogo.
So alikua anatoa kama hints kwamba wanakwenda kujipanga wakirudi wataeleza kinagaubaga,anadai viongoz wa mkoa walishndwa kutoa taarifa iliyonyooka kwa polisi na matokeo yake wakaambiwa wa pospond sababu polisi wana majukumu mengine mengi.
Hata hvyo huyu kiongozi wakati anafunga mkutano alisema arusha mnapenda kuskia people's power ila prof na maalimu seif atakapokuja jumapili ijayo mtawaelewa vizuri.

Hivi kafu kumbe ipo?
 
Hapa ndipo ninaposhindwa kuwaelewa!!Badala ya kunadi sera zao,wao wanashambulia CDM!
Arusha ishachukuliwa na wenyewe wao wakajipange upya!!!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom