Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

Sasa ni dhahiri kuwa suala la katiba mpya bado ni tatizo na ninawashauri wapinzani kuwa ilani yao ya 2015 liwe priority namba 1 kwani CCM wanaamini kuwa katika ndiyo constituency yao, bila ya katiba inayowapa madaraka ya kuchakachua kura hawatashinda uchaguzi wowote ule. Na hawako tayari kuachia nchi bila misukosuko. Hii self serving mentality inaliangamiza taifa.
reality ni kwamba hawataki katiba mpya,na hawatataka kamwe!
 
Anamaliza kwa kusema mawazo ya wananchi yatapokelewa baada ya muswada kupitishwa. Anamshukuru Bi Kiroboto (Spika) kwa kuutetea muswada.
 
jamani hayo makofi ya magamba ya nini! hawa ni wakuchinja tuu
 
Hivi ni Bi Kiroboto au Adela? NAONA kawa mkali kama pilipili
 
bibi kiriboto sura kama sokwe anakataa muongozo wa spika huyu mama nikionana nae macho kwa macho nitachinja wacha nile ban maana nakera mjinga sana huyu mama
 
kilaza mwingine cjui ndo pindi anamshukuru bi kiroboto kwa kuipigia chapio katiba fake!!
 
Sasa ni dhahiri kuwa suala la katiba mpya bado ni tatizo na ninawashauri wapinzani kuwa ilani yao ya 2015 liwe priority namba 1 kwani CCM wanaamini kuwa katika ndiyo constituency yao, bila ya katiba inayowapa madaraka ya kuchakachua kura hawatashinda uchaguzi wowote ule. Na hawako tayari kuachia nchi bila misukosuko. Hii self serving mentality inaliangamiza taifa.

Sasa Hofstede mbona mchakato wa katiba mpya uilikuwa sera kuu ya chadema 2010, lakini waTz walimkejeli Slaa eti anataka kusambaratisha nchi. Haya ni matokeo ya wananchi kutokuwa makini wakati wa uchaguzi. Kuna marafiki zangu mimi wasomi na akili zao, walikuwa mstari wa mbele kuponda sera ya katiba mpya ya chadema. I just wish I could see their faces right now. CCM imekuwa janga kwa taifa. UMMA hauna imani na Rais. Yaani malalamiko yetu yana onyesha kuwa hatuna imani kabisa na CCM na hasa Rais Kikwete.
 
jamani nna hasira mnoooo, i hate ccm sure im ready for anything now! hatuwezi kuendekekeza ujinga wa ccm miaka yote hii
 
HADITHI inayokuja ni ya sungura sikia, hadithi uliyongoja leo ninakuletea
Alitoka siku moja njaa aliposikia, njaa aliposikia, sungura nakuambia
Siku hiyo akaenda porini kutembelea, akayaona matunda mtini yameenea
Sungura karuka ruka lakini hakufikia, lakini hakufikia sungura nakuambia
Sizitaki mbichi hizi sungura aligumia, naona nafanya kazi bila faida kujua

318693_229421357125520_100001729730344_636915_1619597013_n.jpg
 
Hivi huyu mdada (msemaji wa kamati ya katiba) anayesoma hotuba kwa kujiamini namna hii ni nani? Naomba jina lake na chama
 
Jukwaa la katiba watoe tamko,tuingie barabarani kuanzia kesho!!
 
Huyu demu anaesoma kwa mbwembwe hivyo ni yupi huyu? Ndio yule Pindi Chani ambaye......yule Mheshimiwa fulani anadaiwa ku....
 
Back
Top Bottom