Bungeni: Muswada wa katiba mpya wasomwa

Anasema suala la kutunga katiba ni vizuri likasimamiwa na rais. Anatoa mifano ya kenya, Zambia na uganda ambako tume iliundwa na rais. Hapa magamba wanapiga makofi sana.
anajipendekeza sana huyu mama! anataka nini kwa mkuu wa kaya?
 
Anasema suala la kutunga katiba ni vizuri likasimamiwa na rais. Anatoa mifano ya kenya, Zambia na uganda ambako tume iliundwa na rais. Hapa magamba wanapiga makofi sana.


hapo ndipo anakosea huyu mama na magamba
 
mamlaka mengi sana kwa rais, yote yaliyopingwa na wanaharakati yeye anayapigia chapio! hakika ni kilaza
 
raisi jakaya kikwete aepewa mamlaka kama mungu wetu watz hatukubali
ww bibi celina kombani na mama sokwe(makinda) wote tutawachapa viboko
pumbavu mswaada gani huu lwani jk ni mungu wetu
 
Letu ni moja tu wanaharakati waitishe maandamano yasiyokuwa na kikomo na bunge livunjwe kwa kushindwa kuwajibika
 
Magamba wamejipanga kabla kuanza kusomwa hawakuwepo bungeni nw wamejaa wanasubiri kupiga meza, subiri tuone.
 
Kwa kweli hata mimi nipo tayari kuandamana hadi Ikulu. Waache upumbavu wa kumfanya jakaya kuwa Mungu wetu. Bora hata angekuwa rais mwingine.
 
Sasa ni dhahiri kuwa suala la katiba mpya bado ni tatizo na ninawashauri wapinzani kuwa ilani yao ya 2015 liwe priority namba 1 kwani CCM wanaamini kuwa katika ndiyo constituency yao, bila ya katiba inayowapa madaraka ya kuchakachua kura hawatashinda uchaguzi wowote ule. Na hawako tayari kuachia nchi bila misukosuko. Hii self serving mentality inaliangamiza taifa.
 
Bunge maalumu la katiba litaundwa na rais kwa kushirikiana na rais wa zanzibar kwa kushauriana na mwanasheria mkuu. Ibara ya 23, 24, 25
 
Nipo rum namcklza mh. Waziri mama kombani! Najihisi kupasua tv yangu kwa nyundo! Hakika nia ya serikali ya kuandaa katiba ya watz haipo! Hakika patachimbika! Nahs u-alshabaab unainyemelea bongo my country!
 
Back
Top Bottom