Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 68
Unataka wafanyie kazi yale mliyokuwa mnajadili jana Blue pearls au?naona waziri muhusika anajiumauma hapa..... hakika sikio la kufa alisikii dawa
Unataka wafanyie kazi yale mliyokuwa mnajadili jana Blue pearls au?naona waziri muhusika anajiumauma hapa..... hakika sikio la kufa alisikii dawa
Naona Deus Kibamba kimemshuka kudadadeki. Mbwembwe nyiiiiiiingi kumbe hakuna kitu, sasa hebu tuone hayo maandamano yake.
asema ulikuwa kwenye stage ya kusomwa kwa mala ya kwanza sasa hivi inasomwa kwa mala ya pili.kamuita mtoa hoja asome mswada wake.anayesoma ni wazili wa sheri mh.selina kombani.Mia
magamba at work! hakika kwa hili la katiba mtakiona cha mtemakuni! vilaza nyie!!Unataka wafanyie kazi yale mliyokuwa mnajadili jana Blue pearls au?
pole mkuu! tutakupa update hapa kaka!Sie hatuwezi kona tbccm1 kwani tunafadu mgao wa giza
MASLAI BINAFS!iMmemwona bi kiroboto na sasa ni Kombaini anaongea, anasema wanasoma kwa mara ya pili leo.... anawaponda wanaoongea kwenye midahalo... sasa mie ambaye so mwanasheria najiuliza...Hivi hao woooote akina Prof. Shivji, Warioba, Kanyau, wanaharakati wooote hao akina Nkya, Kibamba and the like hawajui kuwa huu ni mswada au katiba?...mbona bi kiroboto, wasiiira na wereeema wanatuchanganya?