Ila kitu ambacho Chadema wanatakiwa wakishugulikie haraka Lissu asichelewe kuongea maana muda una kua mdogo na mambo mengi mkutano mwingine aanze kuongea saa 9 ikiwezekana kama atakua na pumzi akichoka apewe wa kumsaidia.
Yes
 
Hapana. Ila naona watetezi tv leo wameonyesha nyomi kubwa tu.

1. Unakumbuka Lile tangazo la juzi la wenye drones wakazisajili?, wale waliokuwa wakiulizwa mnazitumia kwa ajili gani walipokuwa wakijibu ni kwa ajili ya mikutano basi wananyimwa kibali!

2. Nasikia pia wamepigwa biti kuzoom wananchi, wameambiwa waonyeshe majukwaa tu

Kuna mitego wapinzani wamewekewa kila kona!
 
Ivi Unafikiri Steve Nyerere Angekuwa Mgombea Wa CHADEMA akaandikia kuyaongea Haya Nageshindwa Hahaha Tunachotaka sisi Atuambia Strategy ambazo atatumia kutimiza hayo Maana Hakuna Alichotumbia Atakifanya Kwa mfumi UPI kasema tu Bima ya Afya kwa kila Mtanzania how hamna plan Mnaongea Tu inatakiwa Mtushawish mtanya nini Tofauti na Magufuri mnayoyaongea ni cheap politics
 
Watu hakuna mkuu kwanini msilete picha zenu tuzione?

Hivi Membe anazindua lini kampeni?
Membe anakuja na sera za kuwafirisi wanaccm wote waliojirundikia mali hata kama waliandika majina house boy watafukua mpaka wajue, pia atazirejesha nyumba zote za Serikali zilizouzwa, atafanya uchunguzi kwenye miradi yote mikubwa ikiwemo ununuzi wa Ndege, SGR, bwawa la umeme nk.
 
Usiseme sehemu kubwa ya Watanzania.

Hivi wafanyakazi wa umma hapa nchini ni % ngapi?
Ukitaka kujua ugumu wa maisha rejea mwaka 2015 mwezi wa kumi bei za vitu muhimu katika maisha yako ya kila siku kisha weka mshahara wa wakati huo kisha rejea mwaka huu 2020 niambie mshahara ule ule ila gharama za maisha vimepanda je upo tayari kumchagua kuendelea na magu ama kumbadili?
 
Lissu leo umejibu tamaa yangu ya kuona mabadiliko au mapinduzi katika Elimu yetu.

Kwa hakika tunahitaji Elimu itakayombadilisha mwanafunzi na kumpa maarifa mbalimbali ya kutatua changamoto zake na hatimaye kujiletea maandeleo yake binafsi na ya jamii nzima.

Hii elimu ya sasa ya kufaulu mitihani tuu sasa imepitwa na wakati, tunataka elimu yenye mafunzo ya stadi za kazi mbalimbali ili kuwafanya wanafunzi kujitegemea zaidi kuliko kutegema kuajiriwa zaidi pindi wamalizapo masomo.

Lissu kwa hili la elimu nikuhakikishie umeipata kura yangu na za watu makini wengine wengi tu.

Asante sana Lissu. Haya ndio mabadiliko yanayotakiwa kwa dunia ya leo.
 
Back
Top Bottom