AI ina vituko sana. Ndio nini sasa hiki?

Mufti kuku The Infinity

JF-Expert Member
Sep 21, 2019
5,688
8,927
Eti?
1703849330283.jpg
 
Japo imekosea ila kwakweli AI sipati picha mwaka 2040 huko itakuwaje. Aisee ni hatari kitakachifuata sasa kutumia Ai itakuwa integrated na machines unaingia mtandaoni unachagua vitu machines zinapakia kwenye self driving car vinaletwa kwako bila any human kushiriki kwenye mchakato na malipo unalipa kwa crypto
 
AI inafanyakazi vile unavyo icommand nafikiri aliye command hiyo picha huenda kiingereza kinamsumbua au grammar ni shida so sentence aliyoandika AI imletee picha haikuwa inaeleweka kwenye kiingereza kilichonyooka mfano jinsi AI Inavyofanyakazi unaandika type Maneno ya picha unayoitaka then mfumo wa computer unatengeneza picha hiyo Kwa ajili yako.mfano "picha ya mwanaume kashusha mguu nje ya gari kamkumbatia mwanamke pembeni Kuna bwawa la kuogelea na watoto wanacheza nyuma Kuna gari za kifahari zimepaki".nafikiri nimeeleweka
 
Mhh
 
Hebu weka hapa maneno uliyotumia kuicommand ili ikutengenezee picha 😂😂😂 maana ukikosea kitu yenyewe ni mbele kwa mbele ! Pia ukiandika vitu vingi viingie katika picha matokeo yake ndo yanakua hivyo. Maelekezo inabidi ya rahisi na ya kueleweka si unajua kilikuja na meli.

Kuna picha nilizitengeneza zinachekesha sana
 
Hakuna cha command wala nini.
Hata mtoto wa darasa la pili ukimwambia chora baba na mama wameegemea gari halafu watoto wanacheza kwa swimmingpool hawezi akachora utumbo kama huo.
AI ni uppuuzi mmojz uliowakamata wapuuzi wanaojiona wanaenda na teknolojia kumbe ni washamba wa teknolojia.

Hakuna technology ya ku replace human brain NEVER EVER wanajaribu tu ila wanashindwa tukiwaona.
Washamba ndo wanawaona wanaweeza..
 
Picha nimeiona sehemu
Hebu weka hizo picha zako tufurahi wote 😂
 
Hakuna cha command wala nini.
Hata mtoto wa darasa la pili ukimwambia chora baba na mama wameegemea gari halafu watoto wanacheza kwa swimmingpool hawezi akachora utumbo kama huo.
AI ni uppuuzi mmojz uliowakamata wapuuzi wanaojiona wanaenda na teknolojia kumbe ni washamba wa teknolojia.

Hakuna technology ya ku replace human brain NEVER EVER wanajaribu tu ila wanashindwa tukiwaona.
Washamba ndo wanawaona wanaweeza..
Aisee
 
Unajua kuna AI halaf kuna upuuzi huu ambao waafrica tumeamua kukomaa nao. AI hii ni ufala tu kama ufala mwingine.. jaribuni ku change perspective.. AI hii haina ubavu wowote wa ku replace human creativity and thinking... AI hii mlioamua kuizingatia sanaaa ni just a garbage n piece of shit
 
Japo imekosea ila kwakweli AI sipati picha mwaka 2040 huko itakuwaje. Aisee ni hatari kitakachifuata sasa kutumia Ai itakuwa integrated na machines unaingia mtandaoni unachagua vitu machines zinapakia kwenye self driving car vinaletwa kwako bila any human kushiriki kwenye mchakato na malipo unalipa kwa crypto
Tayar ilishafika huko.wala huna hajanya kusubiri 2040. Sema hii haiko huku africa. Huku endeleeni na haya ma garbage ya kuchora katuni ad tujifanye kuona ndio AI
 
Back
Top Bottom