Ni kweli kwamba hatuna Software Developers, Web Developers, UX/UI Designers hadi tunatengeneza vituko?

404 Pages

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,703
2,945
Yaan nimeduwaa sijaelewa una maanisha nini, sawa wewe umeijenga website kwa ajili ya desktop sawa sijakataa nakubariana na wewe lakini je huo muonekano wake UI umeangalia kwenye simu zetu hizi za smartphone inaonekanaje in accordance to UX umeuliza users wako kadhaa wanaonaje au ipo ipoje brothers hivi hatuna sisi kweli hatuna watu walioiva kwenye masuala ya SE, CS, IS & CE hivi kweli good UX/UI Developers hapa kwetu jamani mpaka tunatengenezeana vituko humu mitandaoni brothers au ndio copy & paste templates then modify hadi huko juu ? Well fine nimeona umeijenga from scratch but ipo na poor design, design yake ni mbovu sana muonekano mbovu havutii users

Nikuelekeze kitu badirisha padding up & down ili upate muonekano mzuri kwenye header maana natamani niseme Ila sina pa kusema kingine kwenye body padding left & right badirisha ili upate muonekano mzuri

Kingine unawekaje link kote Ila kwenye tukio muhimu unaficha link wewe tukueleweje wewe kwanini unaficha link wewe ?

Si bora mara 100 ungeweka 404 tujue moja au button usingeiweka kabisa tusisumbuane

Message sent
 
Tuonyeshe ya kwako uliyobadili padding ikawa na muonekano mzuri.
Rekebisheni ile UI iwe na muonekano mzuri hata kwenye simu sio kwenye desktop na tablet tu, acha makasiriko
 
Furniture Safi 🇹🇿0786437672
✅Mali safi kitanda 5/6
✔️Materials ni hardwood, hard board and blue valvert
✅Bei ya kitanda ni Tsh 850,000/=
💯Kazi ni uhakika na imara

Kazi zetu zote zinafanywa kwa oda Tunapatikana manzese Argentina
20230707_010543.jpg
 
Furniture Safi 🇹🇿0786437672
✅Mali safi kitanda 5/6
✔️Materials ni hardwood, hard board and blue valvert
✅Bei ya kitanda ni Tsh 850,000/=
💯Kazi ni uhakika na imara

Kazi zetu zote zinafanywa kwa oda Tunapatikana manzese Argentina View attachment 2681355
hizi bed sofa huo ubao hata mtoto wa darasa la nne tena wa kike anabeba... Je vyenu pia mbao zake ni nyepesi..??
 
Back
Top Bottom