ulingoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mufti kuku The Infinity

    Kuna uwezekano 20th July, 2024 Mike tyson akarudi Ulingoni kupambana na Jake Paul

    Mike tyson mwenye umri wa miaka 57, na Jake Paul mwenye umri wa miaka 27, wameonesha nia ya kuingia ulingoni na kuzichapa. Una maoni gani juu ya huu mpambano, nani unampa karata yako ya ushindi? Cc: Maghayo
  2. Anonymous

    Makonda ni nani hasa kwenye Siasa za Tanzania? Kwanini nguvu kubwa inatumika kumrejesha ulingoni?

    Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM anatarajiwa kufanya ziara mikoa ya Kanda ya Ziwa lakini tetesi za mambo yanayoelezwa kuendelea ili kumpokea yanatia aibu, kutia hasira na kufedhehesha sana. Inadaiwa Mkuu wa Wilaya ya Chato ameziamuru Taasisi zote za Kiserikali Wilayani mwake kutoa...
  3. B

    Wanasiasa, wanaharakati: mnyukano unapotulia

    Ile mirindimo ya makombora mazito mazito kama ya Tora Bora sasa imetulia. DRC wanasema angalau sasa kunaonekana "ukimya." "Ukimya" si amani. Bali kila mmoja atakuwa kwenye kuhesabu wafu wake na kutibu majeruhi. Matokeo ya vita: 1. Kule kuna kongamano kujadili agenda zenye maslahi makubwa mno...
  4. JanguKamaJangu

    Hassan Mwakinyo walitaka nikae kimya ili wanichafue

    Akizungumzia pambano lake dhidi ya Bondia Julius Indongo wa Namibia katika kuwania Mkanda wa IBA Intercontinetal, Bondia Hassan Mwakinyo amesema tatizo limeanzia kwa promota ambaye ameenda kinyume na makubaliano yao. Promota ana rekodi tata Mwanzoni nilisikia taarifa juu ya Promota, kwamba wana...
  5. Suley2019

    Mwakinyo agomea kupanda ulingoni

    Bondia Hassan Mwakinyo amesema kesho hatapanda Ulingoni kupigana dhidi ya Bondia Julius Indonga kwenye pambano la kuwania mkanda wa IBA International. Amesema hatapigana kutogana na Uwongo na Udanganyifu wa Ma Promota. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa "Binafsi!! Napenda sana...
  6. Analogia Malenga

    Dulla Mbabe: Baada ya kupigwa na Katompa, leo anarudi tena ulingoni. Je, atatoboa?

    Mzaramo Abdallah Pazi, maarufu kama Dullah Mbabe alichezea kichapo kutoka kwa bondia wa Congo, Erick Katompa, ilionekana hajakubali hivyo leo anaingia tena ulingoni. Oktoba 1, 2021 ndani ya viwanja vya PTA pale Sabasaba Dar es Salaam, bondia Erick Katompa alimtwanga bondia kutoka Tanzania...
  7. JanguKamaJangu

    Mwili wa bondia Ibrahim Najim aliyefariki baada ya kuanguka ulingoni, kuzikwa Kyela

    Mwili wa bondia wa ngumi za kulipwa nchini, Ibrahim Najim unatarajiwa kuzikwa wilayani Kyela Mkoani Mbeya. Najum alianguka ulingoni jumapili iliyopita baada ya kumalizika kwa pambano lake la raundi nne dhidi ya bondia Laurent Segu wa Dodoma na kuwahishwa hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma...
  8. mtarimbo

    Baada ya kuona mambo yanakua magumu ulingoni imebidi wajimilikishe kwa karatasi

    Ni aibu sana kwa taifa ambalo tuliaminishwa ni manguli wa vita,na kiukweli walifanya ulimwengu utie imani bila shaka kwamba baada ya US basi inafuata Russia kwenye medali za kivita. Ila kwa kilichotokea ukraine taifa hili limevuliwa nguo kabisa. Wengi hawafuatilii historia ya hii vita tangu...
  9. N

    Mandonga apigwe stop kupanda ulingoni

    Nafikiri sasa ni muda muafaka cha chama kinachosimamia mchezo wa ngumi kumzuia Mandonga kupanda ulingoni. Kwanza huyu jamaa anahatarisha usalama wake, ngumi sio mchezo wa kupanda panda ulingoni kila mwezi. Pili anaudhalilisha huu mchezo, inaonekana ni kama anafanya comedy. Tunajua anatafuta...
  10. Mwande na Mndewa

    Mandonga: Namtaka Mwakinyo, changamoto za viatu haziwezi kunipa shida

    Leo 13:15hrs 04/09/2022 Mandonga, shujaa wa ulingoni mwenye ujuzi mkubwa na mbinu za kuvutia, tekniki na ubora wa hali ya juu, timamu wa akili ya ngumi, mwepesi wa mwili mwenye kipaji cha kuzaliwa cha masumbwi, si mpiganaji mjanja bali mpiganaji mwenye skills zilizokwenda mbele zaidi kwenye...
  11. MSAGA SUMU

    Lipumba: Odinga ananipa moyo kurudi ulingoni 2025

    "Mimi na Odinga tunafanana Sana kwenye historia ya maisha yetu ya siasa. Nilikuwa na mpango wa kutokugombea uchaguzi ujao lakini kwa jinsi ninavyoona matokeo ya urais nchini Kenya na jinsi Odinga anavyokimbiza, Nina kila sababu ya kurudi ulingoni kwenye uchaguzi wa 2025". Maneno ya Prof Ibrahim...
  12. JanguKamaJangu

    Bondia Floyd Mayweather kurejea ulingoni Mei 14, 2022

    Bondia mstaafu Floyd Mayweather anatarajiwa kurejeaulingoni kwa kupigana na Don Moore katika pambano la raundi nane la maonyesho ambalo litafanyika Mei 14, 2022, Dubai. Mayweather atapigana na mpinzani huyo ambaye alishinda mapambano ya kulipwa 18 kati ya 19 aliyocheza alipokuwa akipigana...
  13. Analogia Malenga

    Suleiman Kidunda apata Technical Draw na Tshmanga Katompa baada ya kupata jeraha

    Mchezo unachezwa Ubungo Plaza kutakuwa na jumla ya bouts 10, mabondia ni wa nchi mbalimbali ikiwemo Tanzania, Malawi, Zambia na Congo DR Main card ni Kidunda Vs Katompa. Kidunda hadi sasa ana rekodi ya kushinda kwa KO mapambano yake yote 7. Erick Tshmanga Katompa Mapambano ya Utangulizi...
  14. TEAM 666

    Bondia Abdallah Pazi 'Dullah Mbabe amesema kwa sasa anapumzika kupanda ulingoni

    Mbabe ametoa kauli hiyo kwenye mahojiano na Mwananchi Digital ikiwa ni siku moja baada ya kuchapwa na Tshimanga Kantompa wa DR Congo. Bondia huyo namba mbili nchini kwenye uzani wa super middle amesema amelazimika kujipa muda wa kupumzika ili kujipanga upya. "Mwakani ndio nafikiria nitarudi...
Back
Top Bottom