Dulla Mbabe: Baada ya kupigwa na Katompa, leo anarudi tena ulingoni. Je, atatoboa?

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,014
9,883
Mzaramo Abdallah Pazi, maarufu kama Dullah Mbabe alichezea kichapo kutoka kwa bondia wa Congo, Erick Katompa, ilionekana hajakubali hivyo leo anaingia tena ulingoni.

Oktoba 1, 2021 ndani ya viwanja vya PTA pale Sabasaba Dar es Salaam, bondia Erick Katompa alimtwanga bondia kutoka Tanzania, Dullah Mbabe kwenye pambano kali na la kusisimua.

Nani ataondoka akicheka na nani ataondoka kichwa chini?

Je, atatoboa... follow the thread kupata yanayoendelea uwanjani

Mapambano ya utangulizi

1. Sudi Kolelo kapigwa kwa TKO Raundi ya pili na Vigulo Shafii.

2. Jacob Mahanga kuibuka mshindi kwa TKO dhidi ya Alto Kyenga

3. James Kibazange amesuluhu na Ramadhan Pido, Round nane.

4. Ramadhan Iddi Vs Peter Tosh
Round: 6
Winner: Ramadhan Idd kwa points

5. Hassan Ndonga Vs Tasha Mjuaji
Rounds 8
Winner: Ndonga aeshinda kwa point

6. Charles Tondo ameshinda kwa pointi dhidi ya Ismail Ibrahim.

7. Joseph Maigwisa amkalisha kwa KO ya raundi ya tano mpinzani wake Hussein Itaba.

8. LOREN JAPHET vs NASSIBU RAMADHAN: Mshindi ni Nassibu Ramadhan akimshinda kwa pointi Loren Japphet

20230715_202026.jpg
 
Mzaramo Abdallah Pazi, maarufu kama Dullah Mbabe alichezea kichapo kutoka kwa bondia wa Congo, Erick Katompa, ilionekana hajakubali hivyo leo anaingia tena ulingoni.

Oktoba 1, 2021 ndani ya viwanja vya PTA pale Sabasaba Dar es Salaam, bondia Erick Katompa alimtwanga bondia kutoka Tanzania, Dullah Mbabe kwenye pambano kali na la kusisimua.

Nani ataondoka akicheka na nani ataondoka kichwa chini?

Je, atatoboa... follow the thread kupata yanayoendelea uwanjani

Mapambano ya utangulizi

1. Sudi Kolelo kapigwa kwa TKO Raundi ya pili na Vigulo Shafii.

2. Jacob Mahanga kuibuka mshindi kwa TKO dhidi ya Alto Kyenga

3. James Kibazange amesuluhu na Ramadhan Pido, Round nane.

4. Ramadhan Iddi Vs Peter Tosh
Round: 6
Winner: Ramadhan Idd kwa points

5. Hassan Ndonga Vs Tasha Mjuaji
Rounds 8
Winner: Pending

View attachment 2689203
Channel gani inaonyesha
 
Hata itaba na Gwaikisa..lilikuwa tamu
Itaba, umbo zuri ila miguu sijui Haina stamina ...

Pia kwenye kujilinda changamoto/poor ,gadi yake muda mwingi haipo sehemu sahihi.

urefu wake akiutumia vizuri atakua vizuri....

Nb: sijui chochote kuhusu boxing ,hayo ni maoni yangu tu Kwa macho yangu msiniponde mawe.
 
Ngumi za Maigwisa kama zilimlewesha hivi. Ni mtu aliehitaji dakika nyingi zaidi kupumzika kurudisha akili after each round while boxing haiko hivyo. Hujapumzika vizuri ukirudi uwanjani unakutana na zingine
 
2. Jacob Mahanga kuibuka mshindi kwa TKO dhidi ya Alto Kyenga.

Hili pambano sijaelewa. Huyu Alto ka dominate game toka mwanzo. Ile ngumi moja tu aliyopelekwa yeye chini ni kama hakuelewa anatakiwa afanye nini. Why refa after kuhesabu hakuendeleza?
Alto alisema hawezi kuendelea?
Au alitakiwa aweke ngumi kifuani kwamba bado yuko gado?
 
jibu lako ni hyo sentensi ya mwisho
 
2. Jacob Mahanga kuibuka mshindi kwa TKO dhidi ya Alto Kyenga.

Hili pambano sijaelewa. Huyu Alto ka dominate game toka mwanzo. Ile ngumi moja tu aliyopelekwa yeye chini ni kama hakuelewa anatakiwa afanye nini. Why refa after kuhesabu hakuendeleza?
Alto alisema hawezi kuendelea?
Au alitakiwa aweke ngumi kifuani kwamba bado yuko gado?
Yule bondia anatakiwa kumshukuru tu mwamuzi kwa kuamua kumaliza pambano.

Maana angekomaa kucheza tena, angeishia tu kupata madhara makubwa ya kiafya, kutokana na akili yake bado ilikuwa haijakaa sawasawa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom