Wanasiasa, wanaharakati: mnyukano unapotulia

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,879
35,881
Ile mirindimo ya makombora mazito mazito kama ya Tora Bora sasa imetulia. DRC wanasema angalau sasa kunaonekana "ukimya."

"Ukimya" si amani. Bali kila mmoja atakuwa kwenye kuhesabu wafu wake na kutibu majeruhi.

Matokeo ya vita:

1. Kule kuna kongamano kujadili agenda zenye maslahi makubwa mno ya wananchi limezuiliwa.

"Kwamba, wanaharakati wanapambana na hali yao."

2. Kwingine kuna wanaotakiwa kujieleza kwa msajili wa vyama.

"Kwamba, wahanga wanapambana na hali yao."

3. Wengine (kina ACT, CUF, nk) wamefichama chini ya meza bila shaka wakijisemea:

"Hiiiiiii iii iiii .. !"

4. Ma CCM na bi tozo popote waliko bila shaka wako "full kukenua."

"Mipango yao inakwenda kama ilivyopangwa."

5. Wananchi, walio wahanga wakuu wa mnyukano wa kipuuzi huu usiokuwa na maslahi ila kwa ma CCM, watakuwa wamesukumwa nyuma zaidi kwenye struggle hili lililokuwa tayari linachukua sura mpya dhidi ya adui wa wote.

"Ya kujiuliza, tumefikia je huku? Hivi, ilikuwa lazima? Tuna nini cha kujifunza? Tunayajenga Vipi? Na ya namna hiyo.,"

Hata MV mapenzi, magumu kuliko haya yalitokea. Kuvunjika kwa koleo si mwisho wa uhunzi.

Tunaposubiri wenye akili zao kukaa chini na kuyaweka mambo sawa:

"Hakuna kutoka, wala kuanzisha vyama vipya. Kwani kama ilivyo kwa nchi kwa wananchi, ndivyo pia vyama kwa wanachama."

"Tutabanana humu humu."

Hiyo ni habari mbaya sana kwa ma CCM.

Kufanya kosa si kosa bali kurudia kosa.

Aluta continua, adui yetu ni mmoja naye anajulikana!
 
RPJVA3VYDJOPVJVSCBGFXCU7HQ.jpg

NO HATE NO FEAR!!

Mapambano bado yanaendelea OPARESHENI +255 NYASA.

Nyote mwakaribishwa. ✌️✌️✌️✌️

Ajenda zote zitaongelewa MAJUKWAANI.
 
View attachment 2772616
NO HATE NO FEAR!!

Mapambano bado yanaendelea OPARESHENI +255 NYASA.

Nyote mwakaribishwa. ✌️✌️✌️✌️

Ajenda zote zitaongelewa MAJUKWAANI.

Kumbuka:

"Ukimya" si amani. Bali kila mmoja atakuwa kwenye kuhesabu wafu wake na kutibu majeruhi.

"Kwamba kwa sasa hapo mkaribishwa atakuwa Slaa au Mwabukusi?"

Labda kama ulimaanisha ukaribisho kwa kina Chongolo, Lulandala au Jokate.

Maana halisi ya kila mtu kupambana na hali yake.

"Unaona gharama za hizi stupid wars?"
 
Wao waendelee huko walikopanga makongamano sisi tunaendelea utaratibu wa Oparesheni +255 Kanda ya Nyasa.

Si unaona hapa, wamepambana nao kama walivyokuja:

F7qppwOWAAAeuU6.jpeg


Nyasa nako itakuwa kama hivi hivi.

Kwa tija ipi au kwa manufaa ya nani basi?

Couldn't it be made to be more effective?
 
Si unaona hapa, wamepambana nao kama walivyokuja:

View attachment 2772652

Nyasa nako itakuwa kama hivi hivi.

Kwa tija ipi au kwa manufaa ya nani basi?

Couldn't it be made to be more effective?
TANU ilimuondoa Mkoloni aliyekuwa amejizatiti kwa silaha na Mizinga sisi hawa tunatawaondoa ni muda tu.
 
Back
Top Bottom