mitupu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Melubo Letema

    Timu ya riadha yarudi mikono mitupu, wawasili kimya kimya

    Wanariadha 8 waliokwenda kwenye mashindano ya afrika huko huko nchini Ghana🇬🇭 wamerudi kimya kimya mikono mitupu bila hata medali ya bati 🤣 Wanariadha hao walikuwa wa mbio za uwanjani mita 100m, 200m, 1500m , 5000m , 10000m na Half marathon wote chali, pamoja na mwingine wa mitupo na mrusha...
  2. BARD AI

    Ajikuta Kituo cha Polisi baada ya kwenda Ukweni mikono mitupu

    Mzee Samuel Maikut (6O) amejikuta mikononi mwa polisi baada ya kwenda kwenye sherehe ya utambulisho na kutoa mahari akiwa mikono mitupu. Mzee Maikut ambaye ni mkazi wa Jimbo la Kitawoi, Wilaya ya Kween nchini Uganda, imeelezwa kwamba aliwasili nyumbani kwa wakwe zake wilaya ya Bukwo mwishoni...
  3. Donnie Charlie

    Ajikuta polisi baada ya kwenda ukweni mikono mitupu

    Awali kabla ya kwenda ukweni kwake walikubaliana na baba wa bibi harusi mtarajiwa kuwa watakwenda na ng’ombe na mbuzi. Lakni aliwasili ukweni bila kuwa na mifugo hiyo. Uganda. Mzee Samuel Maikut (6O) amejikuta mikononi mwa polisi baada ya kwenda kwenye sherehe ya utambulisho na kutoa mahari...
  4. benzemah

    Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang. Rais Samia pia ametaka majeruhi wote...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Ukienda ugenini usiende mikono mitupu!

    UKIENDA UGENINI USIENDE MIKONO MITUPU! Anaandika, Robert Heriel Kama mtu unayejielewa, heshima sio kitu cha bure ingawaje huwezi inunua. Moja ya malezi bora ambayo kijana wa kike au Wakiume unapaswa kuwa nayo ni pamoja na mafunzo kuhusu kwenda na kuishi ugenini. Ukienda ugenini usiende Mikono...
  6. Stress Challenger

    Mitaa na barabara Uingereza ni mitupu baada ya watu kusimamisha shughuli zao kwenda kuangalia Timu yao taifa kuchuana na Iran kombe la dunia

    Waingereza wamemaliza kazi zao na shughuli zao mapema na kwenda majumbani na Bar kujiandaa kuangalia Timu yao ya taifa ikichuana na Iran kombe la dunia kwenye kundi la B. Hii imepelekea mitaa na barabara kuwa mitupu. Mechi itaanza saa 10 dakika 15 zijazo napoandika huu uzi na saa 7 mchana saa...
Back
Top Bottom