Timu ya riadha yarudi mikono mitupu, wawasili kimya kimya

Melubo Letema

JF-Expert Member
Apr 1, 2020
310
288
IMG_8700.jpeg

Wanariadha 8 waliokwenda kwenye mashindano ya afrika huko huko nchini Ghana🇬🇭 wamerudi kimya kimya mikono mitupu bila hata medali ya bati 🤣

Wanariadha hao walikuwa wa mbio za uwanjani mita 100m, 200m, 1500m , 5000m , 10000m na Half marathon wote chali, pamoja na mwingine wa mitupo na mrusha mkuki wote wamerudi bila bila.

Pamoja na kuwekwa kambini na serikali huko Arusha, Tanzania, hakuna hata mmoja aliyejitahidi kufika hata nafasi ya tatu.

Bendera ya Tanzania ilipeperushwa vyema na Mchezo wa ngumi kwa kupata medali tatu (3) za Shaba pekee.
 
Namna nchi hii Ina wa treat wanamichezo nadhani hata uwanjani wangetembea badala ya kukimbia.

Kama hauko kwenye circle huwezi jua michezo ni kitu kinadharaulika tangu ngazi ya familia hadi kule top

Hutapata nguvu ya kucheza ukiyajua wanayopitia wanamichezo
 
View attachment 2945452
Wanariadha 8 waliokwenda kwenye mashindano ya afrika huko huko nchini Ghana🇬🇭 wamerudi kimya kimya mikono mitupu bila hata medali ya bati 🤣

Wanariadha hao walikuwa wa mbio za uwanjani mita 100m, 200m, 1500m , 5000m , 10000m na Half marathon wote chali, pamoja na mwingine wa mitupo na mrusha mkuki wote wamerudi bila bila.

Pamoja na kuwekwa kambini na serikali huko Arusha, Tanzania, hakuna hata mmoja aliyejitahidi kufika hata nafasi ya tatu.

Bendera ya Tanzania ilipeperushwa vyema na Mchezo wa ngumi kwa kupata medali tatu (3) za Shaba pekee.
Hao wa ngumi hawakuwa timu moja na riadha?
 
"bila hata medali ya bati"

NAwashauri waelekeze nguvu kwenye trend za mitandao ya kijamii
 
View attachment 2945452
Wanariadha 8 waliokwenda kwenye mashindano ya afrika huko huko nchini Ghana🇬🇭 wamerudi kimya kimya mikono mitupu bila hata medali ya bati 🤣

Wanariadha hao walikuwa wa mbio za uwanjani mita 100m, 200m, 1500m , 5000m , 10000m na Half marathon wote chali, pamoja na mwingine wa mitupo na mrusha mkuki wote wamerudi bila bila.

Pamoja na kuwekwa kambini na serikali huko Arusha, Tanzania, hakuna hata mmoja aliyejitahidi kufika hata nafasi ya tatu.

Bendera ya Tanzania ilipeperushwa vyema na Mchezo wa ngumi kwa kupata medali tatu (3) za Shaba pekee.
HII NI AIBU AISEE
 
Back
Top Bottom