Mwanariadha wa Kimataifa, Staff Sergeant (SSgt) Jackline Juma Sakilu wa JWTZ, ameshinda leo mbio za kilomita 42 za Chongqing International Marathon, kwa muda wa saa mbili na dakika ishirini na moja na sekunde ishirini na sita (2:21:26) tarehe 24/03/2024 huko nchini China.
Tukumbuke; Jackline...
Mwanariadha wa Kimataifa, Staff Sergeant (SSgt) Jackline Juma Sakilu wa JWTZ, amechaguliwa kuwa Mwanamichezo Bora wa Tanzania kwa mwezi Februari , 2024 katika tuzo zinazotolewa na chama Cha Waandishi wa habari za Michezo Tanzania (TASWA).
Kushoto : Jackline Sakilu na Alphonce Simbu
TUKUMBUKE...
Jackline Juma Sakilu AVUNJA Rekodi ya Taifa kwa sekunde 33, kwenye Mbio Ndefu za Kilomita 21, Kwa kushika nafasi ya Tatu Kwa Muda wa 1:06:04 (Half Marathon) Tarehe 24/02/2024 , Rekodi ya Taifa ambayo iliyokuwa inashikiliwa na Magdalena Shauri kwa muda (1:06:37) toka tarehe 21 February 2020...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.