Kwanini miradi mingi ya maendeleo ya serikali haiishi upigaji?

Uwesutanzania

JF-Expert Member
Feb 9, 2019
859
1,012
Wapi serikali inakosea?

Nimeangalia miradi mingi ya kimaendeleo ya serikali sanasana katika eneo langu linalonizunguka lazima mwisho wa siku kunakuwa na sintofahamu.

Je, ni serikali yenyewe haina mikakati sahihi juu ya kuendesha miradi yake? Au, ni wasimamizi wa ngazi za juu?
Au, ni hawa wasimamizi wa ngazi ya kijiji, au ni ngazi za kata, au wilaya? Au ni nini hasa?

Mfano kwenye picha hapo chini kuna choo cha soko cha kijiji kimoja hivi mkoani pwani. Ambacho kimetumia kama 3milioni mpaka kufikia hapo.

Ukiambiwa fedha zilizotengwa kwenye ujenzi wa hiko choo na choo chenyewe ni vitu viwili tofauti.

Je, shida inaanziga wapi?

IMG_20240110_113738_624.jpg
 
Back
Top Bottom