nyanda za juu kusini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    CHADEMA kukiwasha mikoa ya Nyanda za Juu Kusini

    CHADEMA wanategemewa kuanza yale makongamano ya kukusanya michango toka kwa wananchi wa mikoa ya Mbeya, Iringa na Songwe kuanzia tarehee 13/10/23. Kigogo wa chama Mrema ambae ni mkurugenzi wa mahausiano wa chama alithibitisha kuanza kwa makangamono husika. Mzee Mbowe atasaidiwa na binamu yake...
  2. Bwana Bima

    Bus za Sauli miamba ya Nyanda za Juu Kusini

    Sauli ni kampuni inayomilikiwa na bilionea Mtanzania pande za chunya Mbeya. Hapa kati baadhi ya gari zake muhimu zilipotea ghafla tu akibakiwa na gari nne tu lakini bado anajitahidi. Dereva wake wako makini sana licha ya mwendo wanaotembea. Si rahisi kusikia kampuni hii madereva wakiangusha...
  3. All about Tanzania life

    Safari yangu Nyanda za Juu Kusini mwa Tanzania

    Imetimia idadi ya mikoa 19 Tanzania bara na mkoa mmoja Tanzania visiwani na wilaya zaidi ya 25 nilizotembelea hadi sasa. Wasalaam ndugu zangu. Mwezi wa saba mwaka huu 2023 nilibahatika kutembelea mkoa wa Iringa. Ilikuwa ni safari kutembelea mikoa mitano tofauti ndani ya kanda mbili tofauti...
  4. Suley2019

    Wauza nyama Nyanda za Juu Kusini wapigwa marufuku kutumia magogo buchani

    Wafanyabiashara na wamikili wa maduka ya nyama mikoa ya nyanda za juu kusini, wametakiwa kuzingatia maagizo ya Bodi ya Nyama Tanzania (TMB) kutumia vifaa maalum vya kukata nyama na kuachana na matumizi magogo ya miti ili kulinda afya za walaji. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Juni...
  5. Maya Angelou

    Natafuta mganga wa kienyeji konki

    Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha. Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa...
  6. Roving Journalist

    Polisi yatangaza kuwakamata watuhumiwa 87 Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini

    Jeshi la Polisi mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Njombe, Mbeya na Iringa, kwa kipindi cha kuanzia Machi 12, 2023 hadi Machi 23, 2023 limefanikiwa kukamata watuhumiwa 87 wa matukio mbalimbali ya uhalifu yakiwemo, unyanganyi wa kutumia silaha, kuvunja nyumba usiku na kuiba, kuvunja ofisi usiku...
  7. J

    CHADEMA inakubalika zaidi Nyanda za Juu Kusini lakini Viongozi wao wanapenda zaidi Mwanza!

    Nilitegemea Mkutano wa kwanza wa hadhara wa Chadema ungefanyika katika Moja ya mikoa ya Nyanda za Juu Kusini yaani Iringa, Mbeya, Njombe, Songwe au Rukwa. Lakini kwa mshangao Viongozi wakuu wameamua kwenda Mwanza kwenye ngome ya Shujaa. Naona magari yanapigwa rangi na kufanyiwa service za...
  8. masopakyindi

    Wananchi wa mikoa ya Nyanda za Juu Kusini tunakupongeza Rais Samia, ziara ya Rais kama hii haijawahi tokea toka uhuru

    Rais Samia akiwa Iringa Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, ziara ya Rais Mama Samia Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini imevunja rekodi. Sikumbuki Rais aliyezungukia mikoa ya Mbeya, Njombe, Iringa tena kiwilaya na kuimaliza. Kwetu Mbeya Rais kaenda Chunya, Mbeya vijijini, Rungwe na Kyela. Marais...
  9. L

    Hotuba ya Rais Samia mkoani Mbeya imeibua shangwe na nderemo Nyanda za Juu Kusini

    Ndugu zangu ukizungumzia suala la kilimo kwa mikoa ya nyanda za juu kusini ndio pumzi ya wananchi wote, Ndio tegemeo la wote, Ndio uti wa mgongo kwetu, Ndio shine yetu, Ndio mkombozi wetu, Ndio tumaini letu, Ndio maisha yetu, Ndio uhai wetu, hivyo Hali yoyote ikipita na kukwamisha juhudi za...
  10. The Sunk Cost Fallacy

    Awamu ya Sita inaendeleza tabia ya kuitenga mikoa ya Nyanda za Juu Kusini na Kusini

    Salamu kwenu. Naona viongozi wa awamu ya 6 wanaendelea na tabia ya kuitenga mikoa ya Kusini kwenye maeneo mengi tu. Chief Hangaya yeye amejikita Dodoma, Kanda ya Ziwa, Dar, Kanda ya Kaskazini na Zanzibar. Mwisho wa mwaka Rais alikuwa awe mgeni Rasmi Siku ya Ukimwi Duniani na hakuja, hakuna...
  11. Ileje

    Makamba usipotoshe Nyanda za Juu Kusini hakuna ukame

    Jana katika ziara ya Makamba alipotembelea mabwawa ya kuzalisha umeme alitoa taarifa akitaka kuaminisha umma kuwa tatizo la upungufu wa umeme nchini na kwa sababu ya ukame! Hii si kweli hata kidogo. Kwa macho yake mwenyewe ameona bwawa la Mtera lina maji ya kutosha, na kwa kuthibitisha hilo...
  12. Lord denning

    Wizara ya Maliasili na Utalii, Iko wapi nguvu yenu katika kanda za Kati, Nyanda za Juu kusini, Kusini na Mashariki?

    Leo napenda kuwauliza Wizara ya Maliasili ya Utalii; 1. Kumekuwa na kupungua Wanyama Mbuga za Mikumi na Saadani kwa kiwango cha kutisha! Leo hii ukienda Hifadhi ya Saadani unaweza tembea saa zima bila kuona mnyama yeyote, hali hii ipo Mikumi pia ambapo imekuwa na hali kwa kasi ya kutisha sasa...
  13. masopakyindi

    Kimaendeleo Awamu ya Tano iliinyanyapaa Nyanda za Juu Kusini. Mabalozi EU watembelea

    Nyanda za Juu Kusini, Mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, Rukwa hata Katavi imenyanyapaliwa sana na Awamu ya Tano kimaendeleo. Mikoa hii ndiyo bread basket ya nchi-wazalishaji wakubwa wa chakula. Mwaka huu wamezalisha mahindi mengi kuliko uwezo wa Serikali. Pengine Magufuli alitembelea mikoa hiyo...
  14. L

    Athari za kupanda kwa Mafuta zaanza kujitokeza kwa Wasafirishaji wa Viazi toka Nyanda za Juu Kusini

    Wakuu huwa nasafirisha Viazi hasa kutoka Wilaya ya Makete kuja Dar Es Salaam. Kuanzia tarehe 01/7/2021 gharama ya kusafirisha Viazi kutoka Makete kwa FUSO inayobeba Magunia 163 imepanda kutoka 2.3M mpaka 2.9M. Kiwango kitawafanya Wafanya Biashara kununua kwa bei ya chini kutoka kwa Wakulima ili...
Back
Top Bottom