Maya Angelou

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
1,081
2,487
Poleni na majukumu ya kila siku, nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha.

Moja kwa moja kwenye mada, nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu, kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha, wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo.

Hii Dunia ina mengi, na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha, nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza. Ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa.

Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana. Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake.

Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu.
 
Kakufanyaje😅😅😅
255694002377_status_ffedabf2ea48484987e121fb97712e67.jpg
 
Poleni na majukumu ya kila siku
Nimekuja na ID yangu hii sina haja ya kujificha
Moja kwa moja kwenye mada,nahitaji msaada kama kuna mtu anamjua mganga wa uhakika anifanyie kazi yangu,kuna waganga huwa nasikia wanatoa watu mabusha,wanatuma majini au kumpa mtu ugonjwa nahitaji mganga wa hivyo
Hii dunia ina mengi,na ikifika kipindi cha vita unaambiwa usichague silaha,nahitaji jambo langu likamilike kwasababu kuna watu wanaweza kukukosea heshima mpaka wakapitiliza,ukimya na subira ni muhimu lakini kuna watu huwa wanaona kama umezubaa

Nikifanikiwa kazi yangu nitakupa ya shukrani sina hiyana
Watu wa mahubiri hapa sio sehemu yake...
Nawashukuruni naamini nitapata msaada wenu
Hebu niambie vita yako unataka iwe na Matokeo gani.

Kutoa funzo ama Kuteketeza kabisa?

Kisha nitajua nikusaidieje.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom