namungo

Namungo Football Club is a Tanzanian football club based in Lindi, Tanzania. The club currently plays in the Tanzanian Premier League, the highest league in the Tanzanian football league system.

View More On Wikipedia.org
  1. Danielmwasi

    Yanga leo kacheza vibaya na Namungo

    Leo yanga kacheza mpira wa papatu. very bad football. Bila AUCHO kazi wanayo yanga. Sure Boy bado sana kuwa sita bora. Leo ni neema tu imewabeba ila very low tempo football amna furaha yoyote. yanga can do better. wanajua ball ni swala la morali kama imeshuka vile over achievement kama Bayern...
  2. JanguKamaJangu

    Namungo FC yatangaza kuachana na Kocha Denis Kitambi

    Uongozi wa Namungo Fc unapenda kumshukuru Kocha Denis Kitambi kwa muda wote aliotumikia Timu kwa ushirikiano mkubwa ndani ya Timu yetu. Namungo Fc inamtakia kila la kheri Kocha Denis Kitambi katika safari yake ya ukocha nje ya Namungo Fc.
  3. Majok majok

    Mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi wa Simba?

    Baada ya kumtimua kocha wao wa viwango kutoka Brazil na kumrejesha kocha bab kubwa kutoka Simba b bwana matola hatimaye Leo mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi na kupelekea kushona SARE isiyo ya razima wakati harusi imeahirishwa? Hali iyo inapelekea tuhuma kuwa nzito na...
  4. Hance Mtanashati

    Tazama hapa video ya Ali Kiba akiwakebehi Simba SC baada ya kulazimishwa sare na Namungo

    Mapenzi ya kweli hayafichiki hata kidogo na pia ni ukweli usiopingika ambao hata yeye alikiri kilichomuondosha Yanga ni ujio wa Diamond Platnumz hivyo akaona wivu Diamond alivyokuwa akihusudiwa na kupewa kipaumbele kwa hiyo jamaa akaamua asepe tu ila kimoyo moyo anaumia. Sasa bhana hii ni short...
  5. uran

    FT: Simba SC 1-1 Namungo FC | NBC Premier League | Uhuru Stadium | 09.11.2023

    Match Day! Simba SC Vs Namungo FC ⌚ 04:00pm 🏟️ Uhuru Stadium. Namungo anakutana na mnyama aliyejeruhiwa. Kikosi cha Simba kinachoanza dhidi ya Namungo Kikosi cha Namungo Kinachoanza All the Best Simba. #Nguvumoja# Mchezo umeanza 10' Simba wanaonekana kuwa na presha ya kutafuta matokeo...
  6. Majok majok

    YANGA EFFECT YAWAATHIRI PAKUBWA AZAM, YAPOKEA KICHAPO CHA GOLI 3 SAAFI TOKA KWA NAMUNGO

    Kukamia mechi moja sio jambo zuri kwa timu inayojitambua, unatakiwa uweke nguvu kwenye mechi zote 30 za ligi ili utoboe na sio kuchagua mechi na kutumia nguvu kubwa kupita kiasi ukasahau kwamba Kuna mchezo mwingine mbele yako Tena unaucheza ndani ya siku 3! Azam walimwaga jasho lote kwenye...
  7. uran

    FT: Azam FC 1 - 3 Namungo FC | NBC Premier League | Azam Complex | 27.10.2023

    Azam FC inakutana na Namungo FC katika Uwanja wa Azam Complex unaomfanya Azam FC kuwa nyumbani Huu ni mchezo wa mzunguko wa 7 wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Na hapa chini ni baadhi ya taarifa za timu 1. Namungo wako katika mwendo mbaya wa ushindi 1 pekee katika mechi 10 (Ligi Kuu Bara) 2. Namungo...
  8. D

    Kocha Cedric Kaze aamua kujiuzulu ukocha Namungo.

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika: " Leo nimeamua kujiuzulu kama kocha Mkuu wa Namungo, ningependa kuchukua fursa hii kuushukuru uongozi, watendaji wenzangu wa benchi la ufundi na wachezaji kwa ushirikiano na kujitoa kwao".
  9. USSR

    Gari lililobeba Mashabiki wa Namungo lapata ajali na kusababisha vifo vya wanne

    Kuna taarifa za kusikitisha za vifo vya mashabiki wa Namungo wakielekea Dar kwenye match ya Yanga vs Namungo Leo ambapo gari lao lilipata ajali njiani Leo mabingwa yanga watakutana na namungo saa Moja usiku USSR
  10. ntazana ntazana

    FT| NBC | Namungo 1-1 Simba Sc | Majaliwa Stadium | Mei 3, 2023

    Mechi ni saa 1 usiku Kuna mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha leo na kile cha mwisho kilichocheza kule Morroco Pamoja na hoja ya kuwapumzisha wachezaji lakini mtu kama Moses Phiri kukosekana hata benchi kunaongeza maswali. Kibu D naye mechi hii kaikosa. LIGI KUU: SIMBA YASHIKWA, YAZUIWA...
  11. ntazana ntazana

    Namungo vs Simba

    Mechi ni saa 1 usiku Kuna mabadiliko makubwa kwenye kikosi cha leo na kile cha mwisho kilichocheza kule Morroco Pamoja na hoja ya kuwapumzisha wachezaji lakini mtu kama Moses Phiri kukosekana hata benchi kunaongeza maswali. Kibu D naye mechi hii kaikosa. LIGI KUU: SIMBA YASHIKWA, YAZUIWA...
  12. GENTAMYCINE

    Mechi Kali za Kutizama Wiki hii ni Simba vs Namungo na Simba vs Azam nyinginezo tayari Biashara imeshafanyika

    Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo atabisha na kupoteza muda kuangalia Mechi ambayo kila mwenye Akili anajua Wazima Taa Umeme Hakuna FC watashinda zote. Mtu wa Mpira na mwenye Akili lazima tu atatulia Kuangalia Mechi ya Simba na Namungo Kesho tarehe 3 May, 2023 na ile ya Simba na Azam Jumamosi ya...
  13. JanguKamaJangu

    FT: Namungo FC 0-2 Yanga, Ligi Kuu, Uwanja wa Majaliwa (Lindi), 07/12/2022

    90' Mwamuzi anamaliza mchezo 90' Zinaongezwa dakika 4 za nyongeza 85' Yanga wanaendelea kufanya mashambulizi Tuisila Kisinda anafunga goli la pili kwa Yanga 82' GOOOOOOOOOOO 75' Namungo FC wamepata nafasi kadhaa za kupiga mashuti langoni kwa Yanga 66' Bado mambo ni magumu kwa Namungo, wapo nyuma...
  14. C

    Namungo FC: Tutavaa Jezi Nyeusi Jumatano Wageni wavae Njano au Kijani la sivyo watulipe Tsh Milioni 200 wavae zao Nyeusi

    Katika kuonyesha kuwa Klabu ya Namungo inaelewa Mchezo mzima wa Jezi Nyeusi za Timu Moja nayo imeweka wazi kuwa Jumatano itavaa Jezi zao Nyeusi na kama kuna Timu inataka Kuvaa Jezi Nyeusi za Mganga wao wa Kienyeji basi wawalipe Tsh Milioni 200. Hata hivyo mpaka Mleta Uzi anaenda Mitamboni bado...
  15. Ghazwat

    FT: Ligi Kuu Bara | Simba SC 1-0 Namungo FC | Stade de Benjamin Mkapa 16/11/2022

    Kama si Mbiringe bila shaka ni Patashika ya Ligi Kuu Tanzani Bara [emoji1241] kuendelea kupigwa leo Novemba 16, 2022. Mnyama Mkali Mwituni Simba SC [emoji881] kukiwasha na Wababe wa Kusini Namungo FC, katika Uwanja wa Stade de Benjamin Mkapa Dar es salaam [emoji2522] Mchezo unatarajiwa kuwa...
  16. The lost

    Yanga wanaenda kukutana na balaa. Wanaweza kumaliza mechi zote za kundi bila ushindi kama Namungo

    Wakuu najua hata wao hawaelewi wameingiaje, Akili hazijatulia kabisa. Huenda aibu ya Karne ikawakumba hawa mabwana maana balaa lililo mbele yao ni zaidi ya moto wa kifuu.
  17. Gordian Anduru

    Kumbe walipigwa 6 na Namungo?

  18. Kitambi chakufutia tachi

    Namungo FC VS Simba SC

    Assalamu Alaykum. Kheri ya EID EL FITR wana jf wote leo itachezwa mechi kali kati ya NAMUNGO FC watakaoikaribisha SIMBA SC katika uwanja wa ILULU mkoani LINDI majira ya 10:00 jioni. Kwa masimulizi mubashara ya mtanange huu wa kukata na shoka baki katika uzi huu. EID MUBARAK...
  19. M

    Nasikitika Wadau wa Mpira hatumpongezi Mwamuzi wa leo aliyewachezesha Yanga SC na Namungo FC kwa Uchezeshaji mzuri na wa Kuigwa

    Mwisho wa Msimu wa Ligi Kuu hii ya NBC nisiposikia amepewa Tuzo sitawaelewa TFF. Leo amechezesha vyema na kwa Haki.
Back
Top Bottom