mwanya

  1. sanalii

    Kumbe kuna hadi Mwanya wa mchongo? Wadada sasa wamezidi

    Nilishangaa nilipokutana na mdada ambae tunajuana miaka na miaka, leo nashangaa ana mwanya, khaa, haya kautoa wapi? Wanachonga meno au wanatanua? Lakini pia wanatafuta nini?
  2. Faana

    TANESCO mnapokata umeme toeni taarifa in advance. Mafundi wenu hutumia mwanya huo kuiba mafuta ya transfoma

    Kichwa cha habari kinajieleza, inafaa mnapokata umeme mtoe taarifa kwa wakazi wa maeneo husika ili tutambue katizo hilo ni official, msipotoa taarifa mnakosa ushirikiano wa wananchi kuweka attention kwenye transforma zenu ambapo mara nyingi wengi huwa tunadhani mmekata kwaajili ya matengenezo...
  3. kali linux

    Namna makampuni makubwa ya kiteknolojia yanavyotumia mwanya huu kusahihisha kosa walilofanya miaka ya nyuma wakidhan wangezuia ushindani

    Hello bosses... Tumesikia toka mwaka jana makampunj kama paypal, google, Meta(fb & insta owner), stripe, microsoft etc.... yakifukuza watu kwa kasi ya ajabu sana. Leo hii tena mida hiihii nmepata taarifa kwamba Meta itafukuza tena wafanyakazi zaidi 10,000 baada ya round ya kwanza ya layoffs...
  4. JF Member

    Walioiba mali za umma kisha kutaifishwa Awamu ya Tano sasa wapata mwanya wa kudai

    Kuna mambo yanafikilisha sana katika nchi za Kiafrika. Tunaendelea kuangalia kwa makini namna ambavyo kuna uchochoro wa kuliwa kwa mali za umma na watu binafsi unavyoendelea kutengenezwa. Tumeona kuanzia wafanyakazi hewa na wenye vyeti feki, sasa hivi kuna watu walitaifishwa mali za umma...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Nioneshe ofisi yenye weledi wa kimataifa nami nikuoneshe kuku mwenye mwanya

    Kwa kipindi chote nilichofanya kazi na ofisi za serikali au kupata huduma ofisi za umma, nimejiridhisha pasipo na shaka kwamba hakuna ofisi hata moja inayokidhi vigezo vya kimataifa katika utoaji wa huduma. Ofisi zote Bongo ni ujanja ujanja tu. Watu wameacha elimu darasani na kwenye madaftari...
  6. MK254

    Hatimaye Putin amepata mwanya wa kutokea, aanza kupiga mabomu vinu vya nyuklia vya Ukraine

    Baada ya kushindwa kuiparamia Ukraine, ageuza hasira zake kwa vinu vya nyuklia akijua kwa kuvilipua atasababisha madhara makuba kwa mamilioni ya watu, anapiga mabomu maeneo yote ya karibu na hivyo vinu ili abembelezwe aache.... Ukraine said several shells landed near a facility where...
  7. GENTAMYCINE

    Simba SC 'tumezubaa' sana, 'tunakomolewa' huku Yanga SC ikitumia mwanya huu 'Kujiimarisha' 'zaidi 'Kimkakati' ili kuwa 'Mabingwa wa NBC Premier League

    Kwa masikitiko makubwa Asubuhi ya leo nilianzisha Uzi hapa JamiiForums nikisema kuwa Kitengo cha Umafia Simba SC Kinepwaya na kwamba nipewe Mimi na Wenzangu Sita (6) na Yanga SC hatokuwa Bingwa kwa Mshangao huo Uzi siuoni (kwa Lugha sahihi ni kama vile Umefutwa) kwasababu wazijuazo Walioufuta...
  8. Da Vinci XV

    Girls with 'mwanya''

    That little space Make your smile so golden, Like perfect cleavage demonstrated in shining mineral. They its sign of fertility Like a vale of happiness When your face shows that flowery laughter.
  9. Kamanda Asiyechoka

    CCM kumeguka iwapo Polepole atafukuzwa uanachama na huu ndio mwanya wa upinzani kupata nguvu 2025

    Kundi kubwa la wanaCCM wataondoka CCM kama polepole atafukuzwa uanachama. Hili ni kundi la wanachama ambao wanajinasibu kupinga ufisadi na kutetea maslahi ya taifa. Huuu ndio mwanya wa upinzani kupiga bao na kupata nguvu. CCM itapata tabu sana 2025.
  10. Tman Clever

    Demokrasia: Mwanya wa Kwanza wa Rais Samia

    Demokrasia kungojea uchumi ni kosa la karne kutamkwa na kinywa cha mheshimiwa Mama. Ni mshituko mkubwa kwa wapenda demokrasia mchini na Duniani kote. Kwa muonekano wa sura iliyojawa na busara Tele ya mama yetu kipenzi, hakuna aliyetarajia kusikia alololitamka juu ya Katiba na mikutano ya...
  11. funluverx

    Eti, Wanawake wenye Mwanya au Vi-dimpoz wanapenda 'Mambo fulani'?

    Habari Wadau. Enhe, Sina maelezo zaidi Ila, Kama Uzi unavyosema, Eti, kwa Jinsia ya Kike wale waliobahatika kuwa na Mwanya wa asili pamoja na wale wenye mashavu (ya Kichwani) yenye vishimo maarufu kama dimpoz, Inasemekana ni wapenzi zaidi wa mchezo wa kujamiiana zaidi kuliko wale wasio na sifa...
Back
Top Bottom