Walioiba mali za umma kisha kutaifishwa Awamu ya Tano sasa wapata mwanya wa kudai

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,398
9,681
Kuna mambo yanafikilisha sana katika nchi za Kiafrika.

Tunaendelea kuangalia kwa makini namna ambavyo kuna uchochoro wa kuliwa kwa mali za umma na watu binafsi unavyoendelea kutengenezwa.

Tumeona kuanzia wafanyakazi hewa na wenye vyeti feki, sasa hivi kuna watu walitaifishwa mali za umma walizo kuwa wamekwapua nao wanatanua tu sasa hivi. Moja wapo ikiwa wale wa ECROW, Wanataka mali zao.

Wakati wa JPM walirudisha pesa walizo kuwa wamekwapua sasa hivi wanadai walinyang'anywa.

Awamu ya SITA ni piga nipige. Tunaendelea kufuatilia hadi utoroshaji wa madini, wanyama na mali asili kwa ujumla. hapo hadao tutaleta ushahidi hapa.

Kisingizio chao kikubwa ni kwamba walinyimwa haki.

Walamba asali wataiona chungu hapo badae.
 
Wezi wanapelekwa mahakamani na sio kumalizana vichochoroni. Mali za watu mtalipa. Bureau mlizokwapua fedha mtalipa. Akaunti zilizoko China mtazitapika. Mliotenda haya mtakula vifungo.

Ole ni wake amtegemeaye mwanadamu badala ya Mungu. Godfather kafa na hatarudi tena, kila mmoja na abebe furushi lake mwenyewe. Waliotenda wema watalipwa wema na wa ubaya ubaya.
 
Kuna mambo yanafikilisha sana katika nchi za Kiafrika.

Tunaendelea kuangalia kwa makini namna ambavyo kuna uchochoro wa kuliwa kwa mali za umma na watu binafsi unavyoendelea kutengenezwa.

Tumeona kuanzia wafanyakazi hewa na wenye vyeti feki, sasa hivi kuna watu walitaifishwa mali za umma walizo kuwa wamekwapua nao wanatanua tu sasa hivi. Moja wapo ikiwa wale wa ECROW, Wanataka mali zao.

Wakati wa JPM walirudisha pesa walizo kuwa wamekwapua sasa hivi wanadai walinyang'anywa.

Awamu ya SITA ni piga nipige. Tunaendelea kufuatilia hadi utoroshaji wa madini, wanyama na mali asili kwa ujumla. hapo hadao tutaleta ushahidi hapa.

Kisingizio chao kikubwa ni kwamba walinyimwa haki.

Walamba asali wataiona chungu hapo badae.
Na mbaya zaidi hizo hela zimepigwa sana na nyingine ndiyo hivyo ziko ughaibuni, ina maana watarudishiwa kutoka hazina yaani kodi zetu,huu ujinga huu bora tupasuane tu ndiyo tutaheshimiana
 
Huyu mama kulikuwa na watu wanamtuhumu kwa kuhusika kwake na kukizima kibayari,nilikuwa nakataa sana,lkn kadri siku zinavyosonga mbele,anazidi kujipambanua,
 
Rudisheni Mali za watu mlizowapora vichochoroni Godfather alishafariki Kila ubaya mliofanya utalipwa, mlifikiri hii nchi ni yenu peke yenu na mnaweza kumfanya chochote Kila msiyempenda

Mtu kapambana kapata hela mnasema kaiba hamumpeleki mahakamani mnapenda kumaliza a vichochoroni Kiko wapi sasa majambazi wakubwa nyie
 
Wakati wa JPM walirudisha pesa walizo kuwa wamekwapua sasa hivi wanadai walinyang'anywa.
Hii kitu inaitwa plea bargaining ilikua na utata mkubwa sana mbaya zaidi pesa ilikua inatolewa cash kwaiyo haiingii kwenye chanel za mzunguko ambao zingeweza kufatiliwa zinapoenda. Kuna haja ya kuchunguza kama hao waliokubali kulipa izo pesa hawakua blackmailed na pia kufatilia izo pesa zilikua zinaenda wapi
 
Pesa ishajenga barabaraba hiyo.
 
Na wale wa enzi za Sokoine kama vipi wadai chao. Kama washasepa kwa Mungu, watoto au vitukuu wadai mali walizonyang'anywa baba zao.
 
Nchi za kiafrica ni kichekesho sana, na ukitaka uwe rafiki wa wote, waibie tuu! Kuwatendea mema waafrica na hasa watanzania ni kujitia ujinga tupu!

Hivi nani aliyemwambia JPM kwamba Tanzania inahitaji mambo makubwa kama aliyoanzisha?

alomwambia tunataka SGR ni nani?

Nani alisema tunataka bwawa la kufua umeme? Flyover, midege, masoko ya Dhahabu, ukuta wa Mererrani, nani alisema Tanzania tunahitaji viwanda? Saangapi timwambia tunataka stendi mpya sisi? Saa ngapi tulitaka ashushe bei ya kutuingizia umeme sisi, tulimwambia pia atujengee hospital na vituo vya afya! Mabarabara? Tulimwambia au kiherere Chake?

Kwa nini hakutaka aibe hizo fedha na kutuacha tulivyozoea?

Ole aje mwingine afanye hayo maujinga?
 
Kuna mambo yanafikilisha sana katika nchi za Kiafrika.

Tunaendelea kuangalia kwa makini namna ambavyo kuna uchochoro wa kuliwa kwa mali za umma na watu binafsi unavyoendelea kutengenezwa.

Tumeona kuanzia wafanyakazi hewa na wenye vyeti feki, sasa hivi kuna watu walitaifishwa mali za umma walizo kuwa wamekwapua nao wanatanua tu sasa hivi. Moja wapo ikiwa wale wa ECROW, Wanataka mali zao.

Wakati wa JPM walirudisha pesa walizo kuwa wamekwapua sasa hivi wanadai walinyang'anywa.

Awamu ya SITA ni piga nipige. Tunaendelea kufuatilia hadi utoroshaji wa madini, wanyama na mali asili kwa ujumla. hapo hadao tutaleta ushahidi hapa.

Kisingizio chao kikubwa ni kwamba walinyimwa haki.

Walamba asali wataiona chungu hapo badae.
Raisi wetu ana kazi ngumu sana.

Kuwakabili haya maharamia sio kazi rahisi.
Ulimbukeni wa maisha ya Televisheni unaua maadili, unawafanya viongozi kukumbatia rushwa, na kusherekea madaraka...na kusahau majukumu yao kwa nchi kwa ujumla...Vilevi

kwa maoni yangu...kama ni vita, tunapigana vita tano kwa wakati mmoja....ya mashariki, ya magharibi, ya mashariki ya kati, na ya wenyewe kwa wenyewe.

....mbaya zaidi ya tano, ni ya matabaka.. ya wote hao juu, kombaini!

Tutafika tukiwa hoi kweli kweli. Lazima tujitambue.
 
Nchi za kiafrica ni kichekesho sana, na ukitaka uwe rafiki wa wote, waibie tuu! Kuwatendea mema waafrica na hasa watanzania ni kujitia ujinga tupu!

Hivi nani aliyemwambia JPM kwamba Tanzania inahitaji mambo makubwa kama aliyoanzisha?

alomwambia tunataka SGR ni nani?

Nani alisema tunataka bwawa la kufua umeme? Flyover, midege, masoko ya Dhahabu, ukuta wa Mererrani, nani alisema Tanzania tunahitaji viwanda? Saangapi timwambia tunataka stendi mpya sisi? Saa ngapi tulitaka ashushe bei ya kutuingizia umeme sisi, tulimwambia pia atujengee hospital na vituo vya afya! Mabarabara? Tulimwambia au kiherere Chake?

Kwa nini hakutaka aibe hizo fedha na kutuacha tulivyozoea?

Ole aje mwingine afanye hayo maujinga?
Duh
 
Back
Top Bottom