mpiga picha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    Millard Ayo amejifunza nini kwa kilichotokea kwa mfanyakazi wake mpiga picha kufariki

    Nimeangalia clip ikionyesha boda boda wakilalamika kuhusu kukosa msaada muda mrefu kwa majeruhi ambaye ni mpiga picha wa office ya millard ayo. Je amejifunza nini kama nchi yake inaweza kurekebisha yale ambayo wale bodaboda wana lalamika kwenye tukio kuhusu msaada. Pia soma Zuchi Zuchero...
  2. Fundi manyumba

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    """Dah Zuchi, Mungu amlaze mahala pema peponi 🙏 nakumbuka wakati na Show ya #ThePlaylist ikabidi nitafute mtu mkali wa kufanya nae Professional Photoshoot nikakutana na Zuchi kipindi iyo anajitafuta na Studio yake Mwenge ndani ndani! Akawasha midude hatari sana na kutokea apo ikawa kila kazi...
  3. Jaji Mfawidhi

    Adolf Mkenda, Ndumbaro, Mwana FA wajiuzulu sakata la wanafunzi kuchezeshwa wimbo wa Zuchu 'Honey"

    Baada ya kipande cha video kinachowaonesha watoto wa shule za msingi wakicheza wimbo wa msanii Zuchu ‘Honey’ wilayani Tunduma kusambaa mitandaoni, Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameagiza walimu wakuu wawili wa shule hizo wavuliwe vyeo. Waziri wa Maendeleo ya Jamii...
  4. John Haramba

    Mbeya: Polisi wamshikilia Diwani na wenzake kwa kumpiga mpiga picha

    Mnamo tarehe 03.03.2022 majira ya saa 08:00 asubuhi huko Mtaa wa Igodima, Kata ya Iganzo, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya, Kijana aitwaye SHADRACK ZACHARIA [28] Mpiga Picha na Mkazi wa Igodima Jijini Mbeya anayeonekana kwenye “clip” ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii akishambuliwa...
  5. Mohamed Said

    Picha kutoka jicho la camera ya Mohamed Shebe

    PICHA KUTOKA JICHO LA CAMERA YA MOHAMED SHEBE Picha ya kwanza ni mkutano wa TANU Mnazi Mmoja mwaka wa 1954. Ukiangalia utaouona na mnazi mmoja wenyewe. Angalia na nyumba za Gerezani kama zilivyokuwa katika miaka ya 1950. Picha ya pili ni Bantu Group vijana wa TANU waliokuwa wahamasishaji na...
Back
Top Bottom