migogoro

  1. FisadiKuu

    Ni kwanini kila migogoro ikitokea Dangote Cement lazima Obasanjo atue nchini?

    Wasalaam Wakuu, Hivi ni kwanini kila kunapotokea changamoto/ mgogoro kwenye kiwanda cha Dangote Cement Mtwara basi ndani ya siku chache tu lazima Rais Mstaafu wa Nigeria Obasanjo atue nchini na kuzungumza na Mkuu wa Nchi? Ilitokea hili mara mbili wakati wa Rais Hayati Magufuli, na hivi majuzi...
  2. ZOPPA

    Migogoro inayoendelea soko la Mawenzi mkoani Morogoro hakuna mtetezi wa kupaza sauti, wafanyabiashara wananyanyasika mkuu wa mkoa uko wapi?

    Mimi ni moja kati ya wafanyabiashara wa soko la Mawenzi lipo Morogoro mjini kata ya uwanja wa Taifa ili soko lina miundombinu mibovu kume kuwa na migogoro baina ya Manispaa na wafanyabiashara wanataka kutuamisha pasipo kufuata taratibu Tumeshapeleka sana malalamiko kwa mbunge na mkuu wa...
  3. hayaland

    Magufuli na Kenyatta walimaliza migogoro haya mengine yanatoka wapi?

    Nakumbuka marais hawa wawili waliwahi kuzungumza kwa simu hata kabla ya uchaguzi wa mwaka jana 2020 .Rais Magufuli alisema amezungungumza na Rais mwenzake wa Kenya mh Kenyatta na kuweka mambo sawa na kumwagiza waziri wa mambo ya nje wa Tanzania na wa Kenya kukutana mara moja Ili kusawazisha...
  4. The Boss

    Serikali ndo chanzo cha migogoro ya ardhi

    Nimeona tangazo waziri Lukuvi anasema wanakuja na utaratibu mpya .. Viwanja ambavyo wenyewe hawapo kwenye sijui vitambulisho vya Taifa..watanyang'anywa na vitapigwa mnada... Toka serikali ianzishe utaratibu wa kubadili policy zinazohusu ardhi na sheria zake karibu kila mwaka .. migogoro...
  5. Miss Zomboko

    Samia Suluhu: Amani ya kweli haimaanishi kutokuwepo kwa fukuto au migogoro bali ni kuwepo kwa Haki kwa jamii

    Mama Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais wa Tanzania amesema, amani inatokana na haki. Akizungumza wakati wa kufungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake (TAWJA) tarehe 24 Januari 2021, jijini Mwanza amesema, haki ndio msingi wa amani. “Mheshimiwa Jaji Mkuu sote unatambua...
  6. J

    Naibu Waziri mteule wa Madini, Francis Kumba Ndulane ashindwa kusoma kiapo kwa ufasaha, uteuzi wake watenguliwa

    Hii sasa ni kali. Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi" Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
  7. Analogia Malenga

    Afya ya akili yahusishwa migogoro ya ndoa

    JAMII imetakiwa kufahamu namna bora ya kuzuia, kuhudumia na kutibu wenye matatizo ya afya ya akili kuepusha mateso, vifo na mfarakano katika jamii hasa wanandoa . Wakizungumza kwa nyakati tofauti, madaktari, wanasaikolojia , viongozi wa dini na taasisi zinazoshughulikia afya, wamesema kudorora...
  8. C

    Chanzo cha Migogoro Endelevu ya Kisiasa Nchini Tanzania

    Maisha baada ya matokeo ya Uchaguzi wa Tanzania 2020 yameleta gumzo na mjadala usiokua na dalii za kufika tamati. Dalili zote zinaonyesha kuwa chanzo cha marumbano na migogoro endelevu ya kisiasa ni madhara mabaya ya mfumo wa vyama vingi. Mfumo wa vyama vingi unaleta chuki mbaya na migogoro...
  9. M

    Uchaguzi 2020 Lissu ashtushwa na kitendo cha viongozi wakuu wastaafu kuhodhi ardhi kubwa sana na kupelekea migogoro ya wakulima na wafugaji nchini

    Katika hali ya kuendelea na wito wake wa kuliponya Taifa kupitia kusema ukweli mchungu, Ndugu Tundu Lissu amewaeleza wananchi wa Ifakara na Kilombero mshtuko mkubwa alioupata baada ya kufahamu ardhi kubwa sana ya mkoa wa morogoro kumbe inahodhiwa na viongozi wakuu wa nchi wastaafu. Lissu amesema...
  10. WaHapahapa

    Migogoro ya Ardhi Jijini Dodoma

    Mhe. Rais na mgombea wa Chama cha mapinduzi, kunajambo yawezekana wasaidizi wako wanakuficha kuhusu migogoro ya ardhi katika eneo la ngome ya CCM Dodoma. Kumekua na migogoro ya kutengenezwa na ile iliyokuwa CDA ambayo uliivunja mara moja ili kuondoa Migogoro ya ardhi jijini Dodoma, Lakini kitu...
  11. pombe kali

    Migogoro ya ardhi Dar ilitatuliwa kwa kuvunja mabaraza ya ardhi ya kata

    Baada ya aliyekuwa mkuu wa mkoa Dar kuitisha, watu wenye matatuzo ya kisheria ili watatuliwe Kero zao, majibu yalitoka kuwa kero nyingi ni za ardhi ambazo zilikuwa zinasababishwa na mabaraza ya ardhi. RC wa Dar kipindi hicho alifanya Maamuzi magumu kuyafuta mabaraza ya Ardhi na kwa kweli...
  12. Equation x

    Haya yote yakitekelezwa, hakutakuwa na migogoro katika ndoa/mahusiano yetu

    Kuishi pamoja, kupendana, kusikilizana, kusaidiana majukumu, kufarijiana, kukumbatiana, kubusiana, kupeana tendo la ndoa, kutokusalitiana, kumwamini mwenzako kuwa ni pacha wako, kushiriki ibada, unyenyekevu, uwazi katika mendeleo yenu, kuipa ndoa yenu kipaumbele, kuzaa watoto, kulea na...
  13. GuDume

    Dereva fahamu HAKI na WAJIBU wako unapokutana na Traffic Barabarani kuepusha Migogoro

    Wadau wenye usafiri tuweze shirikishana mambo mbalimbali ambayo madereva wanapaswa kuzingatia barabarani hasa kwa upande wa Haki na Wajibu wao. Na sisi tusio na magari pia tutapata darsa hapa.maana nakumbuka miaka ile sisi tunasoma tulijifunza kwenye Geography Kilimo cha Mahindi USA lakini...
  14. mayowela

    Sehemu ya Kazi inapogeuka sehemu ya stress na migogoro

    Umeishawahi kukutana na changamoto zipi sehemu unayofanya kazi mpaka ukatamani kuacha, Kisa; kuna jamaa yangu anafanya kazi mwaka wa6 sasa kampuni flani ila hafurahii kazi, kwa muda wote huo anafanya nafasi hiyohiyo hapandi daraja, haongezwi mshahara na anafanya kazi sana (multitask), boss wake...
  15. MK254

    Makampuni ya Tanzania ya usafirishaji yanakwama wapi, maana yanasababisha nchi inaingia kwenye migogoro na majirani wote

    Ni dhahiri kwenye hili la corona, Tanzania imeamua kutoendana na mataifa mengine duniani, yenyewe imeamua kupuuza hiki kirusi na kuendelea na maisha kama kawaida, bado wanasongamana kwenye vilabu vya pombe, kwa hili hakuna taifa lenye uhuru wa kuingilia maamuzi yao Watanzania maana wenyewe ni...
  16. A

    Sasa migogoro ya wakulima na wafugaji imekomeshwa

    Hivi ni kweli kwamba migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji sasa imeisha,au labda vyombo vya habari vinaogopa kureport kwakua rais alisha piga mkwala kwamba vina uhuru "but not to that extent". Kama bado ipo na vyombo vya habari vinaogopa kureport nini hatima yake na kama kweli...
  17. S

    Migogoro ya ardhi:Kati ya mikaba na sheria ya ardhi,kipi hutumika kuamua migogoro/mashauri yanayohusu ardhi katika vyombo vya kutoa haki?

    Hivi katika utatuzi wa migogoro ya ardhi au mashauri ya ardhi katika vyombo vya kutoa haki(mabaraza ya ardhi na mahakama) kipi hutumika katika kufanya maamuzi? Kwa maneno mengine,inapotokea mikabata ya watu kuuziana ardhi au watu kuweka ardhi rehani ili kupata mkopo,n.k na baadae ukaibuka...
  18. Mallia

    Ningekuwa Jacqueline Mengi ningefanya haya kuepuka migogoro

    Mabinti wengi huwa tunajisahau kuweka mambo sawa mapema pale tunapojukuta tupo mikononi mwa hawa wazee Matajiri maana wengi mda wowote kukuacha mjane ni kitu cha kawaida. Ningekuwa Jaqy mapema sana ningemshauri mzee aniwekezee biashara zangu peke yangu au aniwekezee kiasi cha fedha kwa siri...
  19. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    Afisa Elimu Wilaya ya Uyui, Jacob Makala: Tenda haki na tatua migogoro ya uongozi mashuleni acha kufunika kombe

    Wanabodi habari za asubuhi, Leo naleta malalamiko ya baadhi ya wakuu wa shule za sekondari wilaya uyui! kumhusu Jakobo Makala huyu kama Afisa elimu wa Uyui! Malalamiko makubwa yanatoka kwa Aliekuwa Mkuu wa shule Loya sekondari Ndugu Joseph Nduba! Huyu ndiye alisimamia ujenzi wa sekondari ya...
  20. The MaskmaN

    Kipi kinafanywa /kuongelewa katika usuluhishi wa migogoro ya kimataifa?

    Habari zenu wana JF Moja kwa moja ningependa niende kwenye mada au swali husika. Kulingana na kichwa au swali langu hapo juu kwa wenye ufahamu nalo please ningependa kufahamu maana nimekuwa nikijiuliza sana suala hili na kushindwa kupata majibu yaliyo sahihi kichwani mwangu. mfano unaweza...
Back
Top Bottom