Haya yote yakitekelezwa, hakutakuwa na migogoro katika ndoa/mahusiano yetu

Equation x

JF-Expert Member
Sep 3, 2017
29,663
40,953
Kuishi pamoja, kupendana, kusikilizana, kusaidiana majukumu, kufarijiana, kukumbatiana, kubusiana, kupeana tendo la ndoa, kutokusalitiana, kumwamini mwenzako kuwa ni pacha wako, kushiriki ibada, unyenyekevu, uwazi katika mendeleo yenu, kuipa ndoa yenu kipaumbele, kuzaa watoto, kulea na kuwasomesha watoto.

Naamini haya yote yakitekelezwa kwa ufasaha, hakutakuwa na migogoro katika ndoa/mahusiano yetu.
 
Sasa hayo yote yanavunjwa kwa kauli moja tu "binadamu wote hatujakamilika!"
Au kuna sisi tulioendelea zaidi kuna muhusika huwa tunamuweka utasikia tu "shetani alinipitia!"😂👍
 
ha ha ha ha
 
Kila ndoa ina karatasi lake la mitihani binafsi kwenye hio ndoa, Kama upandw mwingine wakibusiana hakuna shida, upande mwingine kubusiana ni shida, kila ndoa ina changamoto zake na zinatofautiana hakuna hata moja inayofanana, cha msingi ni kuchukua hatam zako na kuiongoza vinginevyo kila siku mtakua mnkaa vikao vya familia bila suluhisho lolote, Kwa sababu wazee wetu wana ufaham wa mambo ya kale lakini si ya kizazi hiki
 
Nadhani waliopo kwenye ndoa wao wenyewe wakiwa wanasikilizana,hakutakuwa na migogoro yoyote; ile kutokusikilizana ndipo chanzo cha migogoro uanzia
 
Sababu zipo nyingi mno, Walioko kwenye ndoa wanalijua hili, Hata mtu asidanganyike kule watu wanaenda kufunda watu kwa ajili wanaoana, Bullshit kule ni kupoteza tu fedha, Kama mtoto alilelewa na Wazazi wasiokua na maadili, Basi huyo mtoto nae atakua tunda linalofanana na wazazi wake kwa kukosa maadili mpaka kwenye ndoa.

Back
Top Bottom