Gharama za kununua mashamba ya miti ya mbao

yongpal

Member
Oct 17, 2017
38
14
Habari za mchana ndugu wana JF

Nilikuwa napenda kuuliza kuhusiana na gharama za mashamba ya miti ya mbao kwa mikoa ya Iringa na Njomba hekari moja yenye miti yenye umri wa miaka mitatu mpaka minne kwa hivi sasa inaweza ikawa imefikia shilingi ngapi?
 
Kuna jamaa alikuwa anauza hekari mbili kwa 7.5 milioni shamba liko Muheza nikuunganishe?
 
Nna
Habari za mchana ndugu wna jf nilikuwa napenda kuuliza kuhusiana na gharama za mashamba ya miti ya mbao kwa mikoya ya iringa na njomba hekari moja yenywe miti yenye umri wa miaka mitatu mpka minne kwa hivi sasa inaweza ikawa imefikia shing ngap
Nina acre 6 na kidogo miti miaka 7 Naziuza kwa @3m kila acre, Mafinga. Gari inafika hadi shamba.
 
Habari za mchana ndugu wana JF

Nilikuwa napenda kuuliza kuhusiana na gharama za mashamba ya miti ya mbao kwa mikoa ya Iringa na Njomba hekari moja yenye miti yenye umri wa miaka mitatu mpaka minne kwa hivi sasa inaweza ikawa imefikia shilingi ngapi?

Ulipata shamba mkuu?
 
Ekari moja kwa miti pamoja na ardhi utapata kwa 1-2milions. Ila kama unawekeza miti tu..800k-1M
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom