Msaada majiko yanayotumia pumba za mpunga au maranda ya mbao

albab

JF-Expert Member
Jul 6, 2018
1,051
2,040
Waungwa nawasalimu.
Ningependa kuulizia haya majiko yanayotumia pumba za mpunga/maranda ya mbao ambayo hutumiwa sana na wachoma chips hasa maeneo ya DAR...

Niliyaona mwaka 2017 Ila kwa bahati mbaya huku mkoani nilipo sijayaona kabisa na gharama za mkaa ni kubwa kidogo..
Ningependa kujuzwa
. Gharama za utengenezaji/kununua

. MATUMIZI.

.namna ya kuliandaa mpaka kuanza MATUMIZI.

. Je pumba za aina ipi ni Bora zaidi kutumia.

.ukubwa wa majiko (size) na muda unaoweza kutumia baada ya kuwasha.

Natanguliza shukrani.
 
Kwa ushauri,nenda kwa mafundi welding na picha yako ya jiko wape specifications,then wakutengenezee.
 
Back
Top Bottom