Watanzania tuelewane hili jambo.
Msiba wa mzee Mwinyi ni wa Kitaifa kama tulivyoyangaziwa na CIC SSH.
Tuliona kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu tuliona Vituo vya Televisheni wakiboleza kwa siku zile 5 za msiba. Nimepita kwenye channel ya DSTV 388 hakuna dalili wala kiashiria kwamba wapo...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, ametangaza kuongoza maandamano ya taifa ya amani Jijini Mwanza.
" Kwa mapenzi ya Mungu, nitaongoza maandamano ya Taifa ya Amani Jijini Mwanza, Alhamisi 15 February 2024 Taifa likiwa katika maombolezo ya Hayati Edward...
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb.) amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Italia nchini, kufuatia kifo cha Waziri Mkuu wa zamani wa Italia Mhe. Silvio Berlusconi kilichotokea tarehe 12 Juni, 2023.
Mara baada ya kusaini...
Serikali ya Uingereza imetoa ripoti kwamba, Mazishi ya Queen Elizabeth II yaligharimu zaidi ya TSh. BILIONI 471. Kiongozi huyo alifariki dunia Septemba 8 na kuzikwa Septemba 19, 2022.
Gharama zilizokadiriwa ni pamoja na:
Idara ya Utamaduni, Vyombo vya Habari na Michezo - £57.42m
Idara ya...
Aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya Nje kwenye Serikali ya awamu ya nne, Bernard Membe amefariki Dunia. Taarifa za awali zinaeleza Membe alipata changamoto ya Kifua na kupelekwa Hospitali ya Kairuki alfajiri ya leo May 12, 2023 na baadaye kufariki.
Bernard Membe alipata kuwa mbunge wa Bunge la...
Hainiingii akilini kwa nini wakristo wanaoamini kwamba Yesu ameshinda mauti lakini ikitokea mmoja wetu amefikia mwisho wa uhai wake tunakisujudia kifo badala ya kutangaza ushindi juu ya kifo. Nimekulia kwenye kanisa Katoliki na hizi nyimbo za maombolezo zinanitia kisirani kabisa. Fikiri wimbo...
Taarifa ya Wizara ya Afya imesema hadi kufikia leo Desemba 14, 2022 imehesabu miili 141 na kuongeza kuwa idadi inaweza kuongezeka kadri utafutaji unavyoendelea.
Zaidi ya nyumba 38,000 zimekumbwa na Mafuriko na nyingine 280 zikiporomoka jijini Kinshasa, eneo lenye Wakazi Milioni 15...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndugu Abdulrahman Kinana amesaini Kitabu cha Maombolezo kufuatia Kifo cha Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Oysterbay Jijini Dar es Salaam leo Septemba 12, 2022.
Hii picha ni miaka ya 1980+ mwanamfalme wa Uingereza Prince Charles alipozuru uwanja wa ndege katika Mji wa Njombe mkoani Iringa akienda kukagua ujenzi wa barabara ya Makambako hadi Songea.
Kushoto kwa Mwanamfalme mwenye kombati ya kijivu ni Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mh. Athuman Kabogo aliyeshika...
1. Umbumbu
2. Ushamba
3. Uwoga wa Kunyimwa Misaada
4. Kujipendekeza ili ukiwa na Shida usaidiwe
5. Unafiki
6. Kuendelea Kuukumbatia Ukoloni
7. Kutafuta Sifa za Kipuuzi
Najiandaa sasa kusoma maoni yenu enyi Great Thinkers wa JamiiForums ambao nawakubali mno kwa usomi, uchakataji wa masuala na...
Rais Samia atangaza siku tano za maombolezo kufuatia kifo cha Malkia Elizabeth II kilichotokea tarehe 8 Septemba, 2022.
Maombolezo hayo yataanza tarehe 10 Septemba hadi tarehe 14 Septemba.
Katika kipindi hicho bendera za Tanzania zitapepea nusu mlingoti, ikiwa ni pamoja na kwenye balozi zetu...
Taifa hilo limetangaza maombolezo ya siku mbili kuanzia leo Novemba 05, 2021 baada ya takriban watu 69 kuuawa kwenye shambulio lililotokea karibu na Mpaka wake na Mali
Serikali imesema miongoni mwa waliopoteza maisha ni Meya pamoja na Kiongozi wa Wanamgambo. Hakuna kundi ambalo limetangaza...
Mdogowa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Klabu ya Simba, marehemu Zacharia Hans Poppe aitwaye Eddy Hans Poppe,
(pichani kushoto) amefariki dunia juzi Jumamosi, septemba 18, 2021 wakati akipatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.
Msiba huo umetokea ikiwa...
Ninavyojua mimi kwenye misiba huwa kuna utani kati ya watani ambayo inasaidia kupunguza uchungu na kubadili hali ya hewa kwa muda kwa kuwaondoa wafiwa kwenye tension ya msiba walau kwa dakika chache, bila kumvunjia marehemu heshma au kuleta taharuki
Lakini leo nimekutana na hii clip nikabaki na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan, ametuma salamu za pole kwa wanafamilia na Rais wa Zambia Edgar Lungu, kufuatia kifo cha Rais wa Kwanza na Muasisi wa Taifa hilo Kenneth Kaunda, kilichotokea jana Juni 17, 2021.
Kaunda amefariki dunia akiwa na umri wa miaka...
Mhe.Msukuma, Kiongozi wa Wabunge Wasomi wa Darasa la Saba, Mbunge Swahiba wa Hayati. Mzeee wa kulipua maVXR V8. Tunasubiri kauli yako kama itakuwa ile ya U-turn au itakuwa ya kufuta hizi kauli za kinafiki.
Tumemsikia Ndugai kapiga bonge la Uturn kwenye Bagamoyo Port, Tumemsikia Herr James...
Waziri mkuu mh Majaliwa ametangaza hitimisho la maombolezo ya msiba wa hayati Magufuli na kwamba kuanzia kesho wananchi warejee katika shughuli za kawaida na kuchapa kazi.
Chanzo: ITV habari
Ukinizingua Nakuzingua!
Ndugu zangu,
Baada ya kufuatilia kwa muda mrefu, nimegundua kwamba kila ukitokea msiba mkubwa wa kiongozi au mtu mwenye ushawishi mkubwa katika jamii, kumekuwa na wimbi la nyimbo nyingi zinazotungwa ili kuomboleza na kumkumbuka mwendazake.
Kwa kweli wasanii huwa wanajituma sana kipindi kama...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alipokuwa makamu wa Rais alitangaza kifo cha Rais wa Awamu ya Tano, Dkt. John Magufuli Machi 17, 2021 na kutangaza maombolezo ya siku 21 kwa mujibu wa sheria.
Hayati Rais Magufuli amefanyiwa maombolezo yakiwa ni pamoja na bendera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.