Kwanini Wakongo wengi wanapendwa Tanzania na kuaminiwa zaidi ya majirani wote

Nkerebhuke

JF-Expert Member
Nov 1, 2021
788
2,000
Naomba kuwasilisha juu ya namna wacongo wanavyo kula na kunywa Tanzania bila kuhofiwa wala kutiliwa mashaka yoyote.

Yapo yanayosemwa kama wacongo ni ndugu zetu wa damu maana Tangu awali wameishi kwetu na kufanya shughuli zao kwa raha mstarehe.

Naomba kuelimishwa kuhusu majirani wengine wakija kwetu tunawaangali kijicho cha mbuzi, majirani wa kule kwa Paul Kagame hatuwataki kabisa. Wacongo wananini jamani kwa watanzania
 
Wa Congo hawana makuu,wao no burudani na burudani ni wao.

Muziki,soka na bata.

Wale wengine wanatamani hata kukalia kiti Cha Baba,ukiwakaribisha sebuleni wataingia Hadi chumbani.hawafanyi hivyo kwetu TU,wanafanya hivyo Kookote wanapokaribishwa.

Kibaya zaidi wanathaminiana wenyewe kwa wenyewe TU.
 
Hahahahaha
 
Hawana baya, wapewe maua yao
 
Huu ndiyo UKWELI wenyewe 🙏🏾
 
Toka nikiwa mdogo mpaka sasa, kuna mitazamo juu ya majirani nimeisikia toka enzi na enzi. Sijui hali ya sasa.

1. Mcongo- huyu ni mwanamziki wa bolingo, ukimpa hela ataimba nyimbo za kukusifia kweli kweli
2. Mrundi- Jambazi
3. Mnyarwanda- Shushushu wa Kagame
4. Mganda- kasoma sana huyo, kaja kuchukua kazi.
5. Mkenya - kasoma sana huyo, kaja kuchukua kazi, mkenya akipewa ofisi ndani ya muda mfupi atajaza wakenya kwenye ofisi mpaka mfagiaji atakuwa mkenya tena wa kabila lake tu 🤣.

Kiufupi wakongo hawana baya, wao ni muziki, burudani, mipira, bata. Bana Ba congo bako bien 🤣
 
Watusi na wahutu walipendwa Sana hapo awali na ndio maana hapa Bongo wengi waliingia Kati kazi nyeti nyingi, na kusomeshwa. Tatizo watusi wengi wali Rudi kwao baada ya PK kuchukua nchi na hii ikatokea Kwa UG pia. Kwa Bahutu wengi wao ni ujambazi ktk mapori ya Kigoma, Shinyanga na Kagera.
Bacongo wenyewe hawa shida na MTU wala nchi ta mutu. Wao Muziki, Mpira,kushona nguo, mambo ya kujiweka Safi kimwili na kimavazi , na starehe zingine.
 
Wakongo wanapendwa kote hadi Nigeria, Afrika Kusini, Kenya n.k.
Wao hawana makuu zaidi ya Bolingo mutema na ngai, yaani akifunga suruali kwenye tumbo na kutembea kiaina fulani hivi.....
Tatizo wana hulka ya kuchukulia watu mademu, mademu hunogewa sana na hizo mbwembwe za Kikongo.
 
Wabongo wanapenda mtu mjinga na mnyonge kuliko wao. Hawapendi mtu anayewapa changamoto. Wacongo wananuka shida na wanapenda bata ndo maana wabongo wanawapenda. Ukiwa unajielewa na unatumia bongo yako automatically wabongo hawakupendi.

Ukiwa mtanzania una akili timamu, unajielewa na una question vitu unaambiwa wewe sio mtanzania. Utanzania umekua synonymous with ujinga na unyonge.
 
Naomba kuwasilisha juu ya namna wacongo wanavyo kula na kunywa Tanzania bila kuhofiwa wala kutiliwa mashaka yoyote.

Yapo yanayosemwa kama wacongo ni ndugu zetu wa damu maana Tangu awali wameishi kwetu na kufanya shughuli zao kwa raha mstarehe.

Naomba kuelimishwa kuhusu majirani wengine wakija kwetu tunawaangali kijicho cha mbuzi, majirani wa kule kwa Paul Kagame hatuwataki kabisa. Wacongo wananini jamani kwa watanzania
Mbona mawatumia majini sasa??
 
Sidhani duniani kuna watu wanapendwa kama Wakongo

Jamaa wale ni rare breed aisee

Wanapendwa kila mahali tangu enzi na enzi

Tena akiongea Kikongo watu wanawapenda zaidi

Sasa Mkenya,Mganda au Mnyarwanda,Wabongo wana shit on their panths
 
Back
Top Bottom