bila ile video fupi ya CCTV tusingejua kitu na ukubwa wa ajali. Ni wakaty sasa WIZARA YA MAMBO YA NDANI kwa kushirikiana na Wizara nyingine mkafikiria kuweka Kamera kwenye maeneo yote muhimu mijini ili zisaidie kunasa matukio hasa ya madereva wazembe.
Tuna upungufu wa Trafiki Polisi lakini...
Nchiyetu ni kubwa sana na ina miji mingi, lakini miji yenye huduma za hadhi ya jiji ni michache kulinganisha na idad ya watu waliopo.
Mfano Kanda ya Ziwa nikubwa na ina watu wengi lakini jiji ni moja tu Mwanza, inabidi Bukoba iandaliwe kuwa jiji kwa selikali kupeleka huduma za hali ya juu kama...
Jamani kuna halmashauri,majiji pesa za serikali zinapigwa si kitoto,wakubwa nao wapigaji huku chini itakuwaje jamani?
Nimeita halmashauri moja kanda ya kusini nikasajili kikundi cha wakulima ajabu wenzangu walienda mara2 kufatilia cheti na risiti lakini walikuwa wanaambiwa tutawaletea cheti...
Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi.
Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara
Swali...
Nimesafiri kwenye maeneo tajwa hapo juu katika siku za hivi karibuni na ninathibitisha kwamba hayo sio majiji.
Hizo ni halmashauri tu na labda juu sana ni manispaa lakini sio zaidi ya hapo. Vigezo viboreshwe ili nchi itoe hadhi ya mahali kulingana na uhalisia.
Nyumba zimesambaa kama takataka...
Kama kuna idara au taasisi au mtu binafsi mwenye Orodha tajwa hapo juu aiweke hapa tafadhali.
Kukosekana kwake kutaonyesha ni jinsi gani serikali haina database ya watumishi hapo na ni moja ya Kada alizosema Waziri Mkuu inalipwa mishahara mikubwa ila Idadi na Majina yao hayajulikana na mtu au...
Wakuu Kwema!
Wanaume karibu wote Duniani hupenda wanawake wazuri, na hapa nazungumzia wazuri kikamilifu. Sio wakubahatisha!
Taikon nikaona nifanye uchunguzi ni kitu gani kinafanya mwanamke aitwe Pisi Kali, mtoto JoJo mzuri Kama Malaika.
Vifuatavyo ni vigezo vya wanawake kuitwa Pisi Kali katika...
CHADEMA KATIKA MKAKATI WA KUMGOMBANISHA RAIS SAMIA NA WAMACHINGA
Utulivu wa Wamachinga katika majiji umezidi kukipa wakati Mgumu Chama Cha CHADEMA maana walishajipanga kuhakikisha Wamachinga wanaingia Barabarani kupinga utaratibu wa Serikali katika kuwapanga Wamachinga ili wafanye biashara kwa...
Mabasi ya kutumia umeme hayafai kwenye majiji yetu,majiji sio makubwa vituo vya mabasi viko karibu karibu hayana ukubwa kivile.
Mfano ndege ya Boeing haiweze ruka Dar to Zanzibar injini itaharibika sababu Dar to Zanzibar kwa Ndege ya Boeing ni dakika saba ina maana ikianza tu kuruka angani...
Hii comment nimeikuta hapa hapa kwa Jf, the home of GT's.
Hivi nyie wakenya huwa mnafikiri kwa kutumia nini wakati mwingine?
....
Hii ndio Nakuru
mdau anasema huo mji mkubwa kuliko huu hapa (Atlanta)
Napendekeza sheria ichukuwe mkondo wake na wala asiwepo wa kupona. Kila mmoja wetu anafahamu what happened October 2020 ambapo watumishi Hawa wa umma waliharibu mfumo wa uongozi na misingi ya demokrasia bila uoga wowote. Kwa kuwa makosa waliyotenda ni jinai basi hakuna aliye salama wote...
Nilisoma nyuzi JF na nikapost juu ya mradi huu. Ni kitu cha kawaida Sana nchi za wenzetu kujenga mifumo ya maji taka kama ilivyo maji safi yanavyosambazwa huu mradi ni bomba sana.
Si lazima maeneo yote. Uswazi kuachwe kama kulivyo lakini maeneo ambayo yana ramani zinazoeleweka au hata squata...
Kwa miaka mingi serikali imekuwa ikipambana na tatizo la wajasiriamali wadogo wadogo (maarufu kama wamachinga) ambao wametapakaa kwenye miji mikubwa ya nchi hii. Ukiangalia kwa jiji kama Dar es salaam, imekuwa sasa ni kawaida kuona mabanda ya wamachinga karibu kila kona unayokatiza.
Ni kweli...
Habari zenu wanaJF na wadau wa jukwaa la ujenzi.
Nimesoma mada nyingi humu kuhusu ujenzi wa makazi. Makazi yakizidi tunajikuta na miji na hatimaye majiji. Kama ilivyo kwa nyumba abayo ikipangiliwa vibaya 'livability' yake inakuwa ngumu, basi miji na majiji ni hivyo hivyo.
Kama mkazi wa Dar na...
Mh. Rais, umekamilisha teuzi za wakuu wa mikoa na wilaya. Na sasa bado nafasi za wakurugenzi wa Halmashauri, miji, manispaa na majiji.
Teuzi zilizotangulia, zilikuwa ni teuzi za ulaji na shukrani kwa sababu kimsingi wakuu wa wilaya na mikoa, tangu enzi za mkoloni, walitumika kama vikaragosi wa...
Naandika haya nikiwa katika Jiji la Dar es Salaam, moja ya sehemu chafu kimazingira katika nchi yetu. Najaribu kuwaza uhusiano uliopo kati ya umaskini na uchafu lakini bado sijaona sababu ya msingi ya umaskini wetu kutufanya tuishi katika mazingira machafu. Nimwaza njia zifuatazo zinaweza...
Hii hapa ni orodha ya Miji mizuri Tanzania.
1-Dar es Salaam (Mzizima)
Eneo la mkoa ni jiji la Dar es Salaam ambalo ndilo kitovu cha shughuli za biashara (na za utawala, kwa kiasi fulani) nchini Tanzania, na ni kati ya majiji yanayokua haraka zaidi duniani.
Ni km² 1,800 pamoja na visiwa vidogo 8...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.