maisha yetu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Adam shaha

    Maendeleo ya Teknolojia: Faida na Hasara zake katika maisha yetu

    Habari zenu wadau wa Jamii forums, Leo nimekuja na suala dogo tu kuhusiana na teknolojia faida zake na hasara katika maisha yetu ya kila siku. Teknolojia imeleta mapinduzi makubwa katika maisha yetu. Imebadilisha jinsi tunavyowasiliana, tunavyofanya kazi, na tunavyofurahia burudani. Kuna faida...
  2. Pleasepast

    Vijana wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao

    Habarini za asubuhi wapendwa Kama kichwa cha habari kinavyoonekana leo napenda kuchukua nafasi hii kuwakumbusha vijana awe wa kike au wakiume kwamba wawe makini sana kwenye kuchagua wapenzi wa maisha yao ili kuepusha majuto kwa badaye Na cha muhimu zaidi hakikisha unatunza izo shaha....w...a...
  3. Mwizukulu mgikuru

    kuna mambo mawili hapa......

    kuna mambo mawili hapa aidha aliishakula vya kwake vyote na hana alichobakiza au ametafuta saana na akakosa mwisho wa siku kakata tamaa, tujitahidi sana kuwakwepa hawa watu hasa sisi vijana wenye muelekeo wa kujipata.
  4. enzo1988

    Mtiririko wa maisha yetu kwa ufupi!

    Huu ni mtiririko wa maisha yetu kwa ufupi! Upo katika hatua ipi? Wakati mwingine maisha ni ubatili! Tuishi kwa amani kwani tuna muda mfupi sana hapa duniani! Credit: Instagram.
  5. sky soldier

    Dunia Duara: Waliokuwa wanajiona wa maana matawi ya juu, Leo hii wanatamani maisha yetu, Weka kisa chako hapa

    Tuache kujiona wa thamani kuliko wengine! Tusiwashushe wengine Kwa kauli ama matendo TukumbukeDunia ni duara, unayemuona leo chini kesho atainuliwa. Nakumbuka shuleni kipindi nipo Form 6 kuna mwenzetu alikuwa anakuja na Corolla anaipaki, tufanye kumuita P. Huyu P alikuwa na maisha yake ya...
  6. LA7

    Serikali hii haijali maisha yetu kabisaa

    Kama baba na mama wanakula na kulala vizuri halafu hawajui kabisa watoto wanakula Nini au wamekula Nini, hiyo familia inakuwa ni kama yatima tu Haiwezekani siku mbili hakuna umeme nitaishije Mimi kama maisha yangu yanategemea umeme kila siku, Halafu mnajiita viongozi mnakula na kulala vizuri...
  7. R

    Kama Watanzania tutapuuza kutetea na kutafuta haki za Marehemu, maisha yetu yatazidi kuwa hatarini siku kwa siku

    Moja ya Jambo ambalo mataifa yaliyostaarabika wamefaulu nikuwaakikishia wananchi wake haki ya kuishi. Kwamba hakuna mtu atatoa uhai wa mtu akabaki salama; lazima tu abainike. Kwa Tanzania hali ni mbaya, viongozi hata kapuku anaweza akafa kifo chenye utata tukabaki kusema tunamwachia Mungu. Je...
  8. Zanzibar-ASP

    Mbowe: Siasa ndio msingi wa maisha yetu, tukiipuuza tutaendelea kuongozwa na wajinga tu

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe jana akiwa mkoani Singida amenukuliwa akionya kuwa; "Siasa haipaswi kupuuzwa hata kidogo, ndio msingi wa maisha yetu ya kila siku. Siasa ndio iliyopelekea uwepo wa tozo, kupanda kwa bei za bidhaa na ugumu wa maisha ambao watanzania wengi wanaupitia sasa. Na...
  9. Allen Kilewella

    Kama ulimwengu ungekuwa ni Usiku tu ama Mchana tu, maisha yetu yangekuwaje?

    Kwa sasa maisha yetu ya kila siku huamuliwa kwa kuwepo kwa mchana na usiku. Jee ulimwengu ungekuwa na usiku tu ama na mchana tu, maisha yetu yangekuwaje??
  10. K

    Sauti za Wananchi: Rais Samia amebadilisha maisha yetu

    Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya 2020-2025 ambayo imeelekeza juu ya usambazaji wa huduma za kijamii nchini. Awamu ya sita inahakikisha maendeleo hayabaki tu mijini, serikali inawafikia wananchi kote nchini kwa kujenga barabara na madaraja, miradi ya...
  11. D

    Kuona Maiti ikizikwa na Manispaa kumenitafakarisha sana maisha yetu hapa duniani

    Wasalaam!. Kuna ndugu wa Mfanyakazi mwenzangu alipatwa na maradhi, akalizimika kulazwa ili kuendelea kupata matibabu zaidi katika moja ya Hospital za Rufaa hapa nchini. Nilikuwa na ratiba ya kwenda kumuona baada ya ibada. Hivyo nilipotoka kanisani nilienda sokoni kununua baadhi ya vitu vya...
  12. Etugrul Bey

    Tumeruhusu makelele katika Maisha yetu na sasa yanatusumbua!

    Kwa akili au ufahamu wa haraka haraka ukisikia neno makelele unapata uelewa wa kusikia sauti na mirindimo mbali mbali ambayo huweza kuleta kelele, huenda ikawa sauti kubwa ya mashine viwandani au kelele za mziki nakadhalika. Lakini kuna kelele nyingine ambazo huenda wengi wetu hatuzijui, nazo...
  13. NetMaster

    Marafiki wa kiume hatuambiani tunapendana kama wanawake lakini maisha yetu tunayoishi ndio kielezo tosha

    Ni nadra sana kukuta mwanaume anamwambia mwenzako kwamba anamjali. Ukiwa na shida utapewa msaada kwa utani au kadhihaka fulani hivi, Kwa nje ni kama huwa hatutaki kusaidiana ama kujaliana lakini kwenye mioyo yetu kwa ndani huwa tunamaanisha. kwenye kuomba tu msaada Kuna kaujeri kidogo...
  14. Beesmom

    Maisha yetu ni mafupi sana

    Aliposema nitakuja kama mwivi, hakika anamekuja kama mwizi. Yaani sasa hivi huwezi jipangia au kujikadiria nitafika muda au umri gani. Tunaishi tu, ukiishi muda mrefu ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu. Yaani sasa hivi kifo ni muda wowote, popote na kwa vyovyote. Tumuombe Mungu atupe mwisho...
  15. Ngully28

    SoC02 Maisha yetu yako vichwani mwetu ila utekelezaji upo mikononi mwetu

    Ni ukweli usiopingika kuwa hakuna kisichowezekana katika maisha kwani tuna mifano mingi ya watu waliozaliwa katika familia maskini ila wakawa kuja matajiri. Tambua kuwa umakini, uthubutu na jitihada zako ndizo zinaweza kuamua kesho yako. Wapo waliobahatika kupata pesa ila hawakudumunazo...
  16. M

    SoC02 Jamii na Teknolojia katika kubadilisha maisha yetu

    MAKALA HII IMEANDALIWA NA: TRIPHONY RAYMOND MASONDA PROFESSIONAL: IT specialist -Ili jamii zistawi na kustawi, uvumbuzi wa kiteknolojia umekuwa wa lazima, wakati huo huo utamaduni, maadili na matarajio ya jamii za wanadamu yameunda jinsi ustaarabu huo ulivyounda, kufaidika, na kuzuiwa na...
  17. BestOfMyKind

    Nchi ngumu sana hii. Watu hatupo serious na maisha yetu

    Yaani watz tunavyoishi ni kama vile bado tunajifunza kuishi. Ni kama vile tupo mafunzoni yaani hata ukikosea mara mia kwa kufanya makosa yale yale utajirekebisha kwenye maisha yenyewe haya yakipita. Hatupo sirias kabisa. Kila kitu kimepanda bei kasoro mazao ya mkulima tu yaliyo shambani. Yaani...
  18. H

    Tunapoteza muda mwingi darasani kusoma vitu ambavyo havina msaada na maisha yetu

    Kwa takriban miongo sita (6) nchini Tanzania tunazidi kuwa Wimbi la ajira kwa vijana wanaotoka mashuleni kwa sababu ya kile tunachofundishwa darasani. Kwa sababu, tunafundishwa masomo ya kukariri na kwenda kujibia mtihani, kitu ambacho baada ya kufaulu ndipo unapoonekana ulielewa darasani ama...
Back
Top Bottom