Mwizukulu mgikuru

JF-Expert Member
Oct 21, 2021
4,735
11,087
kuna mambo mawili hapa aidha aliishakula vya kwake vyote na hana alichobakiza au ametafuta saana na akakosa mwisho wa siku kakata tamaa, tujitahidi sana kuwakwepa hawa watu hasa sisi vijana wenye muelekeo wa kujipata.
IMG_20231229_101812.JPG
 
Ndo mmeamua kuja kuwasema masingle mother kwa njia hii
soma vizuri mkuu na tenga muda wa kufikilia, hivi kweli unaweza kusimama mbele za watu na kujipiga kifuani huku umisema" mimi sina cha kupoteza hata nikifungwa au mimi sina cha kupoteza hata nikifa.......huoni kama kuna tatizo hapo
 
Mkuu shukuru Mungu unavyo vya kupoteza kwasababu hivyo ndio vinakufanya uendelee na haya maisha na vinaleta maana ya maisha yako.

nakazia, USIOMBE UKUTANE NA MTU AMBAYE HANA CHA KUPOTEZA
 
Back
Top Bottom