maandamano

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ritz

    CHADEMA tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani

    Wanabodi. CHADEMA tangazeni tarehe ya maandamano tuingie barabarani mapema watu wajiandae hizi kauli za kuvimbiana tumezichoka. Hebu tutoke nje ya keybord tufanye mambo chap kidogo tu usipotezeane muda hata kidogo. Mawakili kina Kibatala wapo watatutea tukikamatwa na polisi, tutatumia wembe...
  2. beth

    Maelfu ya wananchi waandamana Burkina Faso

    Maelfu ya watu wameandamana wakitaka Serikali kuchukua hatua kali dhidi ya matukio ya mashambulizi na mauaji ambayo yameyumbisha Taifa hilo miaka ya hivi karibuni. Shinikizo limeongezeka kwa Rais Roch Kabore kudhibiti na kumaliza mzozo wa kibinadamu ambao umepelekea zaidi ya watu Milioni moja...
  3. C

    Maandamano ya kudai katiba mpya Eswatini yadaiwa kumfanya Mfalme Mswati III kukimbia nchi

    Kutokana na vurugu zinazoendelea huko Eswatini baada ya wananchi kuchoka umaskini na udikteta wa mfalme Mswati aliye busy kuponda raha na vidosho inasemekana jamaa kaamua kukimbia nchi. King Mswati III of Eswatini. Image: Reuters Thousands of...
  4. Analogia Malenga

    Morocco yazuia maandamano ya kulalamikia jinai za Israel kwa Wapalestina

    Serikali ya Morocco ambayo hivi sasa imo kwenye mkumbo wa kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia ya utawala wa Kizayuni wa Israel, imezuia kufanyika maandamano ya mamilioni ya wananchi wa nchi hiyo waliokusudia kupaza sauti zao, kulaani jinai za Israel dhidi ya Wapalestina. Mtandao wa habari wa...
  5. H

    Nimejifunza kitu jana katika maandamano ya washabiki wa Manchester United

    Jana wakati nimekaa tayari kutaka kuangalia mechi ndio yakatokea yale ya washabiki lakini mimi sitaki kuongelea lile tukio maana tumeliona sote macho yangu yalikuwa kwa Police. Kwa kweli wenzetu na weledi mkubwa sana jinsi walivyokuwa wanawaondoa mashabiki uwanjani mpaka kule nje ni kama...
  6. beth

    Serikali ya Colombia yafuta Muswada wa ongezeko la kodi baada ya maandamano makubwa ya siku nne

    Rais Iván Duque ameondoa Muswada tata wa mageuzi ya Kodi kufuatia maandamano makubwa yaliyodumu Nchini humo kwa siku nne Awali alisisitiza ongezeko la Kodi lilihitajika ili kukabiliana na mdororo wa kiuchumi lililosababishwa na mlipuko wa Virusi vya Corona, uamuzi ambao uliwakasirisha wananchi...
  7. beth

    Maandamano ya kupinga utawala wa kijeshi yaibuka Chad

    Maandamano yameibuka Nchini Chad ambapo Waandamanaji wanataka Utawala wa Kiraia kurejeshwa baada ya Jeshi kuchukua madaraka kufuatia kifo cha Rais Idriss Deby. Imeripotiwa watu wawili wamepoteza maisha katika maandamano hayo. Msemaji wa Baraza la Jeshi amesema amesema Vikosi vya Usalama...
  8. kmbwembwe

    Rais Samia asije ruhusu mikutano na maandamano vitupotezee mwelekeo

    Ni matumaini yangu tofauti na matarajio ya vyama vya upinzani Samia akikutana nao atatupilia mbali wazo la maridhiano ya kitaifa ya wapinzani. Wao kwa niaba ya mabwana zao wanataka kusimamisha agenda za CCM. CCM ina ridhaa kubwa ya wananchi isije laghaiwa kwa kisingizio cha maridhiano kuacha...
  9. Miss Zomboko

    Waziri Mkuu wa Haiti ajiuzulu katika wadhifa wake huku maandamano ya ghasia yakiendelea

    Waziri Mkuu wa Haiti Joseph Jouthe alijiuzulu kutoka wadhifa wake ambapo maandamano ya ghasia yamekuwa yakiendelea kwa kipindi cha miezi 6 iliyopita. Kulingana na ripoti ya Sputnik, wakati Jouthe hakuelezea sababu yoyote ya kuacha wadhifa wake, aliandika ujumbe kwenye akaunti yake ya Twitter...
  10. sinafungu

    Ombi kwa Rais Mwinyi: Wakumbuke Masheikh wa Uamsho ambao wanateseka huku familia zao zikiishi kwa shida

    Namshukuru M/Mungu , kwa kutupa utulivu na amani, mhe ris mwinyi , uchaguzi umekwisha na umefanikiwa kuanzisha furaha na upendo uliokuwa umeanza kutoweka hususani mara baada ya uchaguzi mkuu kuisha. Ombi langu kwako (Mungu amrehemu Maalim Seif) na viongozi wengine...
  11. Miss Zomboko

    Senegal: Maandamano yazidi kupamba moto, Serikali yaamuru huduma ya Intaneti kuzimwa Nchi nzima

    Mamlaka nchini Senegal imetoa agizo kwa mashirika yanayotoa huduma ya mtandao kuzima intaneti nchi nzima, wakati maandamano dhidi ya kuzuiliwa kwa kiongozi wa upinzani yanazidi kuongezeka, shirika la kuangalia mtandao NetBlocks limeripoti leo Ijumaa. Kulingana na NetBlocks, huduma ya intaneti...
  12. J

    Jeshi la Polisi lasitisha vibali vyote vya mbio, jogging, maonesho na maandamano kwa sababu za kiusalama

    Kamanda wa polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni afande Kibona amesema jeshi hilo mkoani kwake limesitisha vibali ilivyovitoa na vinavyotegemewa kutolewa kwa shughuli za maandamano, maonesho, jogging na mbio ikiwemo Haki marathon. Vibali hivyo vimesitishwa kwa sababu za kiusalama. Chanzo: ITV...
  13. Prof Koboko

    Kwa CCM mnaoratibu mipango ya Maandamano Rais aongezewe muda, kumbukeni na haya.

    Wanaccm mnaoratibu mipango ya kufanya maandamano ili Rais aongozewe muda wa kusalia madarakani kumbukeni na haya, muwe makini msije mkachafua hali ya hewa tukatafutana. 1.Mnakumbuka kwamba kumekua na matamanio ya baadhi ya wanasiasa, viongozi wa dini na wanaharakati kadhaa kutaka kuitisha...
  14. MSAGA SUMU

    Ngoma bado mbichi kabisa, Harmonize na feminist Gyumi wameandaa maandamano makubwa Wasafi HQ

    Wakati akiweka pini kituo cha polisi, msanii Harmonize amekataa kukubali yaishe kweli uchungu wa mwana aujuaye mzazi. Harmonize akishirikiana na mwanadada mtetezi wa haki za wanawake na watoto Rebeka Gyumi wameanza kutuma jumbe za kuwaalika watu muhimu katika na wananchi kwa ujumla kushiriki...
  15. sky soldier

    Maandamano ya BLM yalipikwa na media kwa kuficha ukweli na kugharimu maisha ya watu, je hii ni sawa?

    TAZAMA VIDEO HAPA Ni siku ambayo media ilileta taharuki kwa kuijazia chumvi habari ya Mwafrika kuuwawa na mapolisi kitu kilichopelekea Wafanya biashara kuingia hasara kwa kuvamiwa maduka , Watu wengi kuuawa, watu wengi kuwa vilema, Mindombinu kuharibika, Nembo za taifa kama masananu...
  16. J

    Kamanda Mambosasa: Ni marufuku kufanya maandamano au Jogging siku za Ibada Jumapili, Jumamosi na Ijumaa!

    Kamanda wa polisi kanda maalumu ya Dar es salaam mh Mambosasa amesema kuanzia sasa ni marufuku watu kufanya maandamano na mbio za polepole ( jogging) siku za ibada yaani Jumapili, Jumamosi na Ijumaa na kwamba jeshi la polisi halitatoa vibali katika siku hizo. Mambosasa amesema kuandamana siku...
  17. Miss Zomboko

    Mongolia: Waziri Mkuu na Waziri wa Afya wajiuzulu baada ya Maandamano makubwa kufanyika

    Waziri Mkuu wa Mongolia Khurelsukh Ukhnaa amewasilisha barua ya kujiuzulu mbele ya Bunge leo kufuatia maandamano ya umma kulaani jinsi serikali yake inavyoshughulika janga la virusi vya Corona. Shirika la Habari la Taifa limeripoti kuwa Ukhnaa amesema anachukua uamuzi huo kama sehemu ya...
  18. Red Giant

    Mbona sijawahi ona wanasiasa wakiitisha maandamano au kwenda mahakamani kupigania maslahi ya Wananchi?

    Najiuliza tu, Maandamano na kesi zote wanafungua zinahusiana na wao kushika madaraka. Mbona hawaandamani serikali ikifungia wakulima mipaka, mbona hawaendi mahakamani kupinga sheria za kodi etc. Mbona hawaendi mahakamani kupinga makato ya bodi ya mikopo. Kama wako kwa maslahi ya wananchi si...
  19. J

    Demokrasia ya Tanzania ni nzuri kuliko ya Marekani, hapa Rais hawezi kuratibu maandamano ya ghasia

    Kiukweli Marekani siyo baba wa Demokrasia bali ni wababe kwenye Demokrasia. Na ukiangalia kwa makini Tanzania tuko vizuri katika kusimamia misingi ya Demokrasia kuliko Marekani. Wewe uliona wapi Rais anawashawishi wafuasi wake wakavamie bunge ambalo ni muhimili unaojitegemea? Itoshe tu kusema...
  20. Sky Eclat

    Tujikumbushe vituko vya Donald Trump

    Watu waliandamana, nisikiavyo Trump alikua ndani ya nyumba yake akichungulia dirishani. Baada ya kumuonyesha shit holes zao waliondoka. Ni baada ya kusema developing countries are shit hole countries.
Back
Top Bottom