kujichua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Ulianzaje kujichua

    Nini kilikuchochea, kushawishi na kukutumbukiza kwenye kadhia hii nzito ya feheha, na yenye sura ya utumwa binafsi wa kisiri siri? Utumwa ambao ni mzigo mzito unao dhoofisha na kunyong"onyeza uwezo wa vijana wengi kwenye ndoa hivi sasa physically, mentally psychologically? Ulianza kabla ya...
  2. M

    Kwanini Mtu anapomaliza kupiga NYETO (Kujichua) anaanza kujutia kwa kitendo hicho?

    Kwanini Mtu anapomaliza kupiga NYETO (Kujichua) anaanza kujutia kwa kitendo hicho? Habari wadau tushirikishane suala hili kwanini inatokea hivyo? Uzi huu isifutwe majibu ya hapa yatasaidia wasomaji na walio katika hali hii kwa muda mrefu au wanatamani waanze
  3. Tlaatlaah

    Vijana wengi wameathiriwa na kujichua na kusagana

    Vijana wa kike na wakiume hususani mnao ishi hostels mnajichu na kusagana mno. Hali hiyo ni hatari sana kwa afya ya uzazi siku za usoni. Hali hii inachochea na kushamiri kwa ongezeko kubwa la vijana wengi wa kiume kukosa pumzi, nguvu na stamina ya kujamiiana vizuri na kufika mshindo wa nguvu na...
  4. Lighton

    Wapiga punyeto wanajinadi, wanajilaumu, wamechoka kujichua. Ukweli kuhusu punyeto ni upi?

    kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ni utafiti ambao, umefanywa na unaendelea kufanywa na watu, ambao ni wahanga wa hiki kitendo(hili janga) ambao either ni wapenzi wa huu mchezo, ambao wamechoshwa na hiki kitendo au wale ambao wanatamani kuacha lakini wameshindwa kabisa kuacha. Makala hii...
  5. Choosen85

    Je, mke wangu ana tabia ya kujichua?

    Wakuu mko salama? Jamani mimi nina mke, tatizo ambalo nimelileta kwenu ni kwamba mke wangu toka siku ya kwanza kufanya naye mapenzi basi ili afike kileleni ni lazima wakati tukiwa kwenye tendo niwe nimempa nafasi awe anajisugua kisimi na kufatisha kasi ninayokwenda nayo. Akikaribia kumwaga...
  6. C

    Thread....Jinsi nlivyoanza punyeto ( kujichua)

    Thread......Jinsi nlivyoanza punyeto ( kujichua) Nlianza mchezo huu 24 dec 2012, kuna jamaa angu kipind hicho kwao kulikuwa na mpangaji akamfundisha kupiga nyeto, na unaambiwa huyo jamaa alikuwa anapiga nyeto mpaka sperm zinaisha unaanza kutoka upepo😀😀, back to story jamaa alivyonielekez maswala...
  7. Yofav

    Wakuu kuacha kujichua inawezekana ila sio shughuli nyepesi

    Habarini wakuu, Kama kichwa kinavyosema hapo juu, Uraibu ya kujichua (punyeto) sio rahisi kuushinda hasa pale unapokuwa huna mahusiano, domo zege, mpenda ngono na mtazamaji wa ngono film, mtu wa kupenda kujitenga sana wale wa kujiita introvert sijui n.k (hayo ni makundi ambayo yapo on top...
  8. Yofav

    Mkuu ukishaoa acha kujichua

    Habari wakuu, I know kwamba ni issue ambayo naweza kuikaushia ila nahisi ni tabia ambayo imenikera sana. Hapa ninapoishi kuna jirani yangu nahisi ana urahibu wa kujichua, Alafu ubaya ni kwamba anajichulia bafuni ambapo vyoo vyetu hivi vya public inakuwa sio ustaarabu, Huyu mwamba ananikwaza...
  9. Melki the Storyteller

    Mwanamke asiye na muda na wanaume ni mraibu wa kujichua?

    Hii imekaa vipi? Hasa kwa mwanamke asiye bikra, ambaye hana muda na wanaume, tena ambaye hajishughulishi kana kwamba kuna jambo linamkeep busy, hapana. Anayeendekeza chuki dhidi ya wanaume. Kuna ukweli ndani yake kuwa wanawake wa namna hii ni waraibu wakubwa wa punyeto?
  10. Lighton

    Nimeshindwa kuacha kujichua

    Ndiyo hii haiitaji maelezo mengi, kama kichwa kinavyojieleza "Nimeshindwa kuacha punyeto" nimejikuta naskip tu siku lakini siku mizuka ya punyeto ikija nashindwa kujizuia. Nakirusha tu shwaaa, dah unyamaa sana. Mliobarkiwa karama za maombi mtuombeee please, hali ni mbaya. ======== Ushauri wa...
  11. Binadamu Mtakatifu

    Support community ya kupambana na addiction kama kujichua, pombe , bangi , kupata marafiki, betting na others NJOO UNIPE MAWAZO YAKO KAMA SIO KUJIUNG

    Katika pitapita zangu nimekutana na tovuti ya nofap hii imenipa hamasa sana ukiangalia ukanda mzima huu wa afrika mashariki hakuna tovuti hii kwa jamii yetu Nimeona niianzishe na teyari nilikua nayo nyingine so nikufuta old post na kuanza upya Ningependa nipate mtazamo wako hii ni kama forum...
  12. Ben Zen Tarot

    Ewe mwanamke acha kujichua

    Mwanamke Umewahi kupiga punyeto? Umewahi kujichua? Umeshazoea si ndiyo? Unajua madhara yake? Punyeto ni nini? Punyeto ni kitendo cha kujichezea sehemu za siri ili kujisisimua na kujiridhisha kimapenzi. Iwe kwa vidole, tango, karoti, midoli ya maumbile ya kiume, vibrators n.k. Kuna njia nyingi...
  13. miles45

    Wanawake na punyeto...

    Habarini! Kuna kautafiti kasiko rasmi ila kanaeleweka na kanaleta tija. Jamani twende mbele turudi nyuma ni hivi Kuna ongezeko kubwa sana la wanawake wanapiga puli kushinda wanaume kwa miaka ya hivi karibuni. Vithibitisho kuwa wanawake wanapiga puli. 1. Wamepoteza hamu na wanaume kwa sababu...
  14. M

    Nazidi kuamini na kuona inawezekana kabisa kuacha kupiga Punyeto

    leo Siku ya 7, nimetimiza Week bila Kupiga punyeto. Asante Mungu kwa kuwa unaendelea kunisaidia na kuniimarisha zaidi. Ninaweza kwa kuwa waniwezesha. Ngoja niweke NENO kwa wingi moyoni mwangu kwa kuwa sitamani kurudi nyuma bali kusonga Mbele. Nazidi kuona kuwa inawezekana kuacha kupiga punyeto...
  15. Dionize N

    Ushuhuda wa jinsi nilivyofanikiwa kuacha punyeto

    Natumaini kwema humu jamani. Mimi sio mgeni sana ila a/c yangu ilipata hitilafu kwa muda mrefu na sikutaka kufungua mpya nmesubiri sana hatimaye i'm back. Moja kwa moja katika topic, nimekuwa nikufatilia topics mbalimbali za kuhusu CHAPUTA humu naomba nami nije na ushuhuda wangu. Nilikuwa...
  16. Foxhound

    Mjadala: Je, ni jinsi gani mtu anaweza kuacha punyeto?

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU Habari wanaJf? Hii ni kutoka kwa rafiki yangu mmoja wa karibu sana. Amenisimulia kuwa alianza kufanya mchezo huo tangu yupo darasa la saba hiyo ikiwa mwaka 2000, alisema alianzia kwa kufanya mara moja kwa siku hadi ikafikia kipindi siku kwake ikawa...
  17. K

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Punyeto ni nini? Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi. Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine. Punyeto ni toshelezo kamili la kimapenzi...
  18. Nyenyere

    Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Amani kwenu wakuu. Leo tutaongelea hatari inayomkabili mpiga punyeto kiroho. Ni ukweli usiopingika kwamba asilimia kubwa ya vijana na wazazi wa kileo wamejiingiza kwa nguvu kwenye utamaduni huu mchafu na hatari. Kwa nini nasema ni hatari? Punyeto na kujichua ni tendo la kiroho Wengi hutazama...
  19. mjizu123

    Kujichua ama kupiga punyeto kwa wanawake

    Kujichua a.k.a kujichezea a.k.a “a little help from ur hand” (kupiga puli au punyeto sounds manly) siyo kwa wanaume tu bali hata wanawake tunafanya hivyo ila wengi wetu huwa hatuko “comfortable” kulizungumzia au kukili kuwa tukizidiwa huwa tunajisaidia. Wakati mwingine mtu unashindwa kabisa...
  20. mjizu123

    Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

    Punyeto/kujichua ni nini? Kufanya au kupiga punyeto, ni tendo la kutomasa sehemu zako mwenyewe za siri ili kujisisimua kimapenzi. Kwa hivyo katika kupiga punyeto hamna hofu ya kuambukizwa magonjwa yanayosambazwa kupitia ngono, kwani haimshirikishi mtu mwengine. Punyeto ni toshelezo kamili la...
Back
Top Bottom