uhasama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Uhasama wa Tanzania bara na Zanzibar unazidi kukua na utaleta madhara makubwa kama yanayosemwa hayatashughulikiwa

    Jinsi masuala ya muungano yanavyoshughulikiwa na kwa sasa, ni mtu kipofu wa akili tu ndio hataona kwamba kadiri siku zinavyopita mbegu za uhasama kati ya Tanzania bara na Zanzibar inazidi kuota mizizi, majani ya chuki yakizidi kuchanua. Ni kiongozi mjinga tu asieweza kuona kwamba jinsi haya...
  2. DIDAS TUMAINI

    Uhasama wa Everton na Liverpool ulianzia hapa

    Kulikuwa na timu iliyoitwa Everton kutoka kitongoji cha Merseyside cha jiji la Liverpool nchini England. Timu hii ilikuwa ikitumia uwanja wa Anfield, uliokuwa ukimilikiwa na mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa klabu hiyo, John Houlding, mfanyabiashara mkubwa wa Freemason kutoka jiji la...
  3. B

    Chuki na uhasama ndani ya CCM tusipochukua hatua watatuletea vita ya wenyewe kwa wenyewe

    Aisee hali ni tete ndani ya kile chama kilichotamba kwa miaka mingi kuwa ni chama chenye umoja, mshikamano, chenye kuheshimu utu na watu. Sasa ni mambo ya kuviziana tu. Imefika mahali mwanachama huyu anataka mwanachama mwenzake afe. Hii si jambo la kuhendekeza hata kidogo. Chuki na uhasama...
  4. mdukuzi

    Uhasama wa Mbowe na Ndugai ulianzia Kibaha Secondary

    Hawa miamba walijuana Kibaha Secondary. Enzi hizo baba yake Freeman akiwa tycoon mkubwa sana nchini, alikuwa na mahotel Dar, Moshi na Arusha na alikuwa na ukaribu sana na baba wa Taifa mwalimu JK Nyerere. Job Ndugai alitokea familia fukara kama watanzania wengi ila kichwani zilikwemo. Kuna...
  5. M

    Kwa Uhasama mkubwa na uliovuka mipaka wa Haji Manara dhidi ya Simba SC, tafadhali Wazazi wake, Serikali na Klabu yake imuonye upesi ili wasije Kujuta

    Kitendo cha Msemaji wa Yanga SC Haji Manara kuandika kama Kuwatahadharisha Wageni wa Simba SC Klabu ya Asec Mimosa kuwa Wachukue Tahadhari zote za Hujuma za Dawa, Sumu au hata Kuuliwa Mtu haziichafui tu Simba SC bali hata Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, Wizara husika, TFF na Wadau wote wa...
  6. Emmanuel180

    Beef ya Kanye West na Jay Z

    Kama ulishawahi kusikiliza ile album ya Kanye kwa jina Graduation bila shaka unaujua wimbo unaitwa 'Big Brother' Ule ni wimbo spesho kabsa ambao mwana alimuimbia mshkaji wake wa faida (yaani km ile tattoo ya Mondi kwa mmakonde[emoji2]) Ndani ya ule wimbo kuna line inasema 'But he got me out my...
  7. L

    Je, uhasama unaweza kuondoka baada ya mkutano kati ya rais Xi Jinping na Joe Biden?

    Na Pili Mwinyi Novemba 16, rais wa China Xi Jinping na mwenzake wa Marekani Joe Biden walifanya mkutano na kuzungumza kwa njia ya video. Huu ukiwa ni mkutano rasmi wa kwanza tangu Biden aingie madarakani, ulishuhudia viongozi hao wawili wa nchi zenye uchumi mkubwa duniani wakijadili masuala...
  8. Idugunde

    CHADEMA ilishajenga uhasama na wananchi, kujinasua ni ngumu sana

    Umoja wa kitaifa ni jambo la msingi sana kwenye ujenzi wa Taifa. Taifa la Tanzania limefanikiwa pakubwa sana kuwa na umoja wa kitaifa. Lakini panapotokea chama cha siasa ambacho kwa maslahi binafsi kinataka kutengenisha umoja wa kitaifa, lazima kichukiwe na wananchi. Ni kweli kila nchi...
Back
Top Bottom