jecha

Jecha is a part of the town Sondershausen in Thuringia and it was first mentioned in a document in 1282. The village was incorporated in 1950.
Jecha is located southeast of Sondershausen near the river Wipper. In the center stands the St. Matthäi Church, it is the oldest building still in use in Sondershausen.

View More On Wikipedia.org
  1. benzemah

    Rais Samia Ahani Msiba wa Marehemu Jecha Salum Jecha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wanafamilia wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Marehemu Jecha Salum Jecha mara baada ya kuwasili katika Kijiji cha Mkwajuni Uyagu Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kutoa pole.
  2. benzemah

    Jecha ameacha historia. Utamkumbuka kwa lipi?

    Wakati aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salum Jecha akizikwa jana katika Kiiji cha Mkwajuni, Mkoa wa Kaskazini Unguja, wadau wa siasa wamemueleza jinsi alivyoacha historia. Jecha, aliyepata umaarufu baada ya kufuta Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 visiwani...
  3. Andre-Pierre

    CCM walishindwaje kumtibia Jecha nje ya nchi licha ya kuwabeba kwenye Uchaguzi Mkuu 2015?

    Nimekaa nikatafakari inakuaje mwandamizi kama Jecha Salum Jecha ndani ya CCM asipelekwe kutibiwa nje ya nchi licha ya mchango wake uliotukuka katika Uchaguzi Mkuu wa 2015 kule Visiwani. Ikumbukwe, Jecha ndio aliyekuwa mwenyekiti wa tume visiwani humo na alifuta uchaguzi baada ya kuona hali ya...
  4. Wadiz

    Malipo ni hapahapa Duniani Jecha Salim Jecha Mpindua meza, Sir God Kampindua Jecha Kafa.

    Wasalaam, Acha Mungu aitwe Mungu yule fedhuli mpindua meza matokeo ya uchaguzi Zanzibar Jecha Salim Jecha nae Sir God Kampindua, huyo ndio Mungu sasa hamna Cha kibwengo, tumbili ama ngedere atabaki salama. Sir God ni Mwamba Kampindua mpindua meza, ndio basi tena Jecha Salim Jecha atafunikwa...
  5. MAPITO Mwanza

    TANZIA Jecha Salim Jecha afariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Jeshi Lugalo

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) aliyefuta uchaguzi 2015 na kupata umaarufu mkubwa, Jecha Salim Jecha leo amefariki Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam na mwili wake utapelekwa Zanzibar kwa maziko. Jecha Salim Jecha alipata umaarufu mwaka 2015 baada ya kufuta matokeo...
  6. Mpinzire

    Ikiwa Chebukati alifuatwa na Vice Chief of Defence Forces! Je, Jecha alifuatwa na nani 2015 mpaka akapindua matokeo?

    Nimeona taarifa ya Habari jana huko Kenya wakati kuwa Wafula Chebukati na tume yake walifuatwa na jopo toka ngazi za juu ikiongozwa na Naibu Mkuu wa Majeshi Bwana Ogolla akiongozana na IGP Joseph Mutyambai, Joseph Kinyua Mkuu wa utumishi wa Umma pamoja na Afisa wa Ikuli mmoja walimfuata na kumta...
  7. paul sylvester

    Uchaguzi 2020 Kamwe Watanzania hatutakubali ya Jecha, Lakini....!!

    NDIYO, hatutakubali yaliyofanyika kipindi kile cha uchaguzi na Zanzibar ya Jecha Kwa mjibu wa kanuni za maadili na Sheria za uchaguzi, zinavitaka Vyama Vyote vinavyotoa wagombea Kwa ajili ya kupeperusha bendera za vyama vyao kuomba kuchaguliwa na wananchi katika Nyanja mbalimbali za kiuongozi...
  8. Erythrocyte

    Uchaguzi 2020 Salum Jecha Mwenyezi Mungu hataniwi, umelipwa kwa kadri ya matendo yako, sasa subiri makubwa zaidi

    Tulikuonya mapema sana kwamba Shetani hajawahi kuwa na rafiki, ukatuona wajinga lakini taarifa za siri kutoka kwenye kikao cha CCM Zanzibar cha kuchuja wagombea wa urais wa Zanzibar, jina lako limekatwa kinyama bila hata kujadiliwa, wewe Jecha ndio mtu wa kwanza kufyekwa bila huruma. Mwenyekiti...
  9. Erythrocyte

    Kamati ya Maadili yajifungia kupitia mafaili wataka urais Zanzibar

    Hatua hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa ratiba za chama hicho. Kamati hiyo ina jukumu la kupitia fomu ya kila mgombea kabla Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM upande wa Zanzibar haijakaa vikao vyake leo vitakavyohitimishwa kesho chini ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohammed...
  10. Kinoamiguu

    Uchaguzi 2020 Mtia nia Jecha na Hoja ya Mwigulu Nchemba juu ya Tume huru ya Uchaguzi Tanzania

    Hapo juzi aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani wa Tanzania shushu mbobezi, bwana Benard Camilius Membe alijitokeza kupitia mitandao ya kijamii akihoji juu ya uwepo wa tume huru ya uchaguzi. kauli ya Membe juu ya jambo hilo ilizua kelele nyingi miongoni mwa wahafidhina wa chama tawala ccm. kwao wao...
  11. Erythrocyte

    Zanzibar 2020 Video: Laana ya wizi wa kura 2015 yamtafuna Salim Jecha. Ashindwa kujieleza vizuri, ajing'ata ulimi

    Hebu muangalie alivyoboronga ! hivi ccm inawaokota wapi watu wa namna hii ?
  12. Return Of Undertaker

    Hili la Jecha kuchukua fomu ya Urais kwa tiketi ya CCM ni dhahiri bila tume huru ya uchaguzi CCM haitoboi

    #Habari:Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya uchaguzi Zanzibar Bw.Jecha Salum Jecha amejitokeza kuchukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa Zanzibar katika ofisi za CCM Kisiwandui. https://t.co/ebliz6cy7B
  13. S

    Zanzibar 2020 Hili la Jecha kuchukua fomu limeitia doa kubwa CCM

    Amani ya Bwana iwe nanyi. Sote tunafahamu utata mkubwa uloiojitokeza mwaka 2015, na nafasi ya Jecha katika utata huo. CCM kama chama tawala ambacho kinajinasibu kukubalika na wananchi na ambacho kinda kushinda kwa kura halali, hakikutakiwa kujihusisha na mtu kama Jecha. Ukila na kipofu...
  14. Erythrocyte

    Kitendo cha Salum Jecha kuchukua fomu ya kugombea Urais ni kuaibika kwa Mahakama ya Tanzania iliyowarudisha ma-DED kusimamia uchaguzi

    Hii inathibitisha bila shaka yoyote kwamba watumishi wa Tume ya uchaguzi ni wanaCCM na kwa wao kusimamia uchaguzi ni kinyume cha katiba ya nchi. Jambo hili linadhalilisha Mahakama ya Tanzania na inathibitisha pasipo na shaka yoyote kwamba Mahakama si huru wala si Mhimili unaojitegemea...
  15. S

    Zanzibar 2020 Namba 14: Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar(ZEC), Jecha Salim Jecha achukua fomu ya urais Zanzibar. Arejesha fomu hiyo

    Jecha Salim Jecha amejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kuwa mgombea Urais visiwani humo kwa tiketi ya CCM. Jecha amewahi kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na vilevile aliwahi kugombea Ubunge wa Jimbo la Chumbuni. Maoni yangu: Vuta tafakuri hawa wasimamizi wa...
  16. Mondoros

    Zanzibar: Yaliyojiri kwenye ziara ya Rais Magufuli kisiwani Pemba - Sept 2016: Ampongeza Jecha kusimamia uchaguzi vizuri

    Anaeongea kwa sasa ni Rais John Magufuli baada ya kukaribishwa na Rais wa Zanzibar, Dk. Shein na anazungumzia amani. Anasema mtu hawezi kuja kuwekeza Pemba wakati watu hawasalimiani, anasema mume na mke wakiwa hawaelewani kwa sababu ya vyama vya siasa hajui usiku wanalalaje. Amesema anajua...
Back
Top Bottom