Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 1,735
- 6,796
Habari za weekend, leo nimekumbuka tukio moja la 2012. Sisi wenye damu ya uchakalikaji huwa tunakutana na 'mazali ya mentali' mengi sana. Sitoelezea ilikuaje hadi nikaenda Paris-France, lakini tulipelekwa vijana kadhaa wakiwemo watu wa scout kwa ajili ya event fln hivi. Sasa mie kwanza nilidakia, sikupaswa kwenda.
Nilivyofika kule ilikua tukitoka camp tunaenda kwenye hivyo vikao na training lkn mm nilikua na-skip sana sababu sikuona umuhimu wake, nilikua nashangaa shangaa tu jiji la Paris.
Kama nilivyosema, nina damu ya 'mazali ya mentali' Nilipokuwa huko si nikakutana na mwamba mmoja nilisoma nae primary na tulikua mabest sana, jamaa ni kichwa kichafu ila genius balaa na kwao walikua vzr kipesa, alikua na scholarship anasomea huko. Huyo jamaa alikua ni kati ya wenyeji wetu walioandaliwa kutupokea sie wageni kutokea Tanzania. Ile tumekutana baadae jamaa akaja camp tukapiga story sana, primary school pale sie ndo tulikua vichaa wa darasa, halafu siku za pepa tunakaa pembeni ya jamaa tunapiga chabo kwake, matokeo yakitoka crew nzima ipo 10 bora.
Si unajua ile kuvimbiana, jamaa huwa anapenda kutuvimbia sana toka tukiwa watoto, enzi hizo 'brick game' yeye pekee ndo alikua nayo mtaa mzima. Jamaa akasema atanizungusha jiji la Paris nione watu wanavyoishi ulimwenguni. Safari ndo ikaanzia hapo.
Siku ya tatu yake tu nikaanza kutembezwa kwenye night clubs za paris, mzee watu wanaishi. Night life ya paris ndo imeniaffect hadi leo, yaan hata hapa TZ hunikuti bar mchana, utanikuta usiku na ni zile sehemu tu ambazo kuna videm 'naughty' na vikali na iwe in-door. Paris unaweza kuta club haina hata bango, yaani kigeti cha kuingilia ni cha kishkaji tu, ukipita kama mgeni hutojua. Ingia sasa mule ndani mzee. Watu wanakulana live pale pale huku mziki mzito unaendelea. Nilitembezwa kwenye Casinos, na pia kuna vile vijumba vya madada poa. Yaan unaingia unalipia unapewa fungua ya chumba unakuta demu ni ana genye hatari, ukimuona tu lazima udise, na ile karibishwa yake mzee mtoto anakua kalainika kama uji yaani. Hio sio story ya leo, leo nataka niwasimulie moment ambayo sitoisahau kwenye ulimwengu wa hiphop.
Kuna siku nipo na jamaa na baadhi ya marafiki zake tukawa tunapiga story huku tunasikiliza mziki, ikapigwa ngoma ya 'Niggas in paris' enzi hizo 'THE THRONE' (Jay z na kanye west) ndo habari ya mjini na jamaa walikua wanafanya world-wide tour. Kuna jamaa m-nigeria akatuambia 'The Throne' watakuja Paris next week yake. Story zikawa mingi sana kila mtu anasema lazima aende, mie nikawa naona kama miujiza tu so nikawa kimya. Tulivyotoka pale nikamuuliza mchizi wangu kama alikua serious kuhusu kwenda akasema kama tickets hazijaisha basi lazima aende na wale wenzake ila kwenda na mimi itakua ngumu sababu ratiba ya pale camp inakua ngumu kutoka na ukicheki show ni usiku. Kesho yake akaenda kucheki ticket wakapata ticketi zao 4.
Kama bahati tu siku moja kabla ya show kuna rafiki yao mmoja kati ya wale waliokata ticketi alisafiri kwenda kwao (sikujua kwa nn) hivyo ikawepo ticket moja free, jamaa akanistua akasema nitaweza u-ninja anipitie camp pale twende kwenye show, nikamwambia kama ni kumuona Jay Z na Kanye hata nifukuzwe lkn nikawaone kwanza. Tukacheza bonge la mission nikachomoka camp kweli tukaelekea Paris bercy arena,
Mzee kilichotokea kule ndo nikaamini hawa viumbe (kanye west na Jay Z) sio watu wa kawaida. Ilipigwa show baba, show ikaisha. Kisha Nikasikia 'Jay Z doesn't want to leave, Kanye too, Fans too....' Ikaanza encore sasa. Pale ilipigwa ngoma ya 'Niggas in Paris' live mara 11 mfululizo bila kupoteza vibe, uwanja mzima watu walikua wamechizi na hawachoki, yaani ni kama vile show ilikua imeanza upya. Kwa wale msiojua encore, yaan show ikipigwa ikaisha mkafunga ratiba, kuna ile situation inatokea fans wanataka ngoma iendelee, so kinawashwa tena.
Nadhani hii show ndo walitengenezea official video ya huo wimbo.
Ilikua ni mwendo tu wa "..Ball so hard, motherfvckers wanna fine me..."