haipo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    WHO yadai Dawa ya Kifua 'Benylin Paediatric Syrup' iliyogundulika kuwa na Sumu haipo kwenye soko la Afrika

    AFYA: Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema Dawa ya Kutibu Kifua kwa Watoto aina ya Benylin ambayo vipimo vya uchunguzi vilibaini ilikuwa na viwango visivyokubalika vya Dawa ya 'Diethylene Glycol' Dawa hizo ambazo zilikuwa zikizalishwa na kampuni ya Johnson & Johnson (JNJ.N) ya Afrika Kusini...
  2. Suley2019

    Mshitakiwa aomba kesi iahirishwe akidai akili yake haipo sawa

    Mahakama ya Wilaya ya Handeni imelazimika kuahirisha kuwasomea hukumu washtakiwa wawili wa kesi ya unyang'anyi kwa kutumia silaha, Waziri Mohamedi na mwenzake Mohamed Ndumi baada ya mmoja kueleza hajisikii vizuri kiafya, mwingine akidai kuwa akili haiko sawa. Hukumu hiyo ilipangwa kusomwa leo...
  3. Mohamed Said

    Ramadhani ile haipo

    RAMADHANI ILE HAIPO TENA NCHI HII Kuna watu waliohai hivi sasa walioshuhudia katika nchi hii Mwezi Mtukufu wa Ramadhani hapakuwa kunachezwa mpira wa mashindano viwanjani wala dansi kupigwa katika kumbi. Haya yalidumu kwa miaka mingi sisi tunazaliwa tumeyakuta na halikadhalika waliotuzaa sisi...
  4. 2 of Amerikaz most wanted

    Tanzania haipo katika Orodha ya nchi zenye nguvu kijeshi duniani 2024

    2024 military strength ranking: 1. 🇺🇸United States 2. 🇷🇺Russia 3. 🇨🇳China 4. 🇮🇳India 5. 🇰🇷South Korea 6. 🇬🇧United Kingdom 7. 🇯🇵Japan 8. 🇹🇷Turkey 9. 🇵🇰Pakistan 10. 🇮🇹Italy 11. 🇫🇷France 12. 🇧🇷Brazil 13. 🇮🇩Indonesia 14. 🇮🇷Iran 15. 🇪🇬Egypt 16. 🇦🇺Australia 17. 🇮🇱Israel 18. 🇺🇦Ukraine 19. 🇩🇪Germany...
  5. Mtu porii

    Mimba ipo au haipo mimi ni mhanga natafuta mtoto mwaka wa pili sasa

    hajaingia MP hii siku ya nne tukajua tayar..ananambia tumbo linauma,anakojoa mara kwa mara..tukajua tumefanikisha😔😔😔
  6. U

    Motsepe Rais wa CAF, ni boss wa Mamelod na rafiki wa Hersi, Mechi na Yanga QF haipo

    Mimi kama shabiki wa Soka na mfuatiliaji wa Ligi ya NBC, nimefurahi yanga kufuzu lakini na Simba Ina chance ya kufuzu 50/50. Kwa uwelewa wangu timu sita tayari zimeingia robo fainali, ikiwemo mamelod na Yanga na Al ahly. Ukiangalia Kwa upande wa Yanga timu ambayo inaweza kumsumbua robo fainali...
  7. Kaka yake shetani

    Ukiona hupigiwi simu, status huwekwi, huna likes kwenye mtandao ya kijamii ujue thamani yako imeisha

    Ukitaka kujua watu wanakuchukulia vipi pindi umeishiwa au umefulia kabisa simu yako haipigiwi kama zamani, hata wale matapeli wa tuma namba hii nao wananyamaza. Kwenye mitandao ya kijamii napo ukipost unaweza kukuta like chache tena za wasiokufahamu. Kipimo cha maisha yako kwa sasa ni kidigitali.
  8. Mganguzi

    Kwa sasa chama cha siasa ambacho kimepoteza mvuto kabisa ni CHADEMA, haipo tena kwenye mioyo ya watu

    Ni ukweli mchungu najua wafia chama watapingana na huu ukweli lakini hii ndio fact yenyewe kabisa! Chadema kwa sasa imebaki ndani ya mioyo ya wanufaika wa ruzuku tu! Ndio unawaona wanatoa povu la kupigania kipande cha mkate. Kwa Watanzania wa sasa. Hata kama chadema itatoa pesa za kuwalipa watu...
  9. N

    Clouds FM mbona haipo hewani...

    Naomba kuuliza kuna tatizo lililosababisha kukatika matangazo ya Clouds FM au kuna mabadiliko ya Mitabendi?
  10. Petro E. Mselewa

    Tuwe wakweli, spirit ya Yanga ya kusawazisha na kushinda haipo Simba

    Leo si mara ya kwanza kwa Yanga kusawazisha na kushinda. Tena kwenye mechi zenye tension kubwa. Waliwahi kufanya hivyo kwa Coastal Union kwenye Azam Confederation Cup. Yanga wakarudia tena katika mchezo na Azam (wa pili kabla ya huu wa leo). Na leo tena wamerudia hilo jambo. Kupambana...
  11. Mcanada

    Website ya UTT haipo hewani na nimeweka zaidi ya milioni 100 nimepanic. Vipi hatujapigwa huko?

    Mimi naishi ughaibuni (Diaspora) ila nimekuwa mwekezaji mzuri kupitia taasisi ya uwekezaji inaitwa UTT ipo hapo kwetu bongo na nimejiunga na mfumo wa kupokea gawio la faida kila mwezi uitwao BOND fund na sasa nimeshaweka zaidi ya milini 100 sasa mpaka muda huu nataka kwenda kulala akili inagoma...
  12. sky soldier

    Kwanini mikoa ya Kusini na Kati haipo active kwenye power ukiwaondoa Wanyakyusa?

    Na hapa nazungumzia Power endelevu miaka nenda rudi, na angalau idadi iwe inaridhisha sio mtu anakuwa moja tu akiondoka panakuwa kimya. Mara nyingi utaisikia kanda ya pwani, kanda ya ziwa na kanda ya kaskazini wapo active sana mambo ya power, yani hawapoi. Ila sasa huku mikoa ya kanda za...
  13. Q

    Tundu Lissu: Kama mlifikiri kutufutia kesi ni hongo tunyamaze siku mkituibia, hiyo haipo

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu akiwa Mkoani Kagera, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo, amemjibu Kinana aliyewatuhumu Viongozi waandamizi wa CHADEMA kukosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hasani aliyewafutia kesi. Lissu amesema, hawawezi kushukuru kwa kufutiwa kesi za uwongo...
  14. JF Member

    US Dollar sasa ni 2600. Airport Haipo

    Wadau. Daktari wetu wa uchumi anasemaje huko?. Dollar sasa imeadimika sana na inazidi kupaa tu. Kiufupi sasa uchumi wetu unachuchumia kifo. Hapa Aiport ya Dar haipatikani imebidi niagize mtu KARIAKOO na hiyo ndio bei. Yaani nilikuwa na Milion yangu nimeambulia dollar 385. Tuwe makini sana...
  15. Sitaki kuamini

    Nacte wameninyima nafasi kwasababu ambayo haipo kwenye Guidebook. Niwafanyeje?

    Form 4 & 6nimemaliza mwaka 2015 &18 respectively umri ni 26. Hawa jamaa wamekosa vigezo vyote vya kunizuia wakatafuta hata ambavyo havipo kwenye vigezo vyao wenyewe. Hii sababu haikuwepo na haipo kwenye guidebook ya mwaka huu Nawashitaki Is there any lawyer for hire out there?
  16. Dalton elijah

    Mbowe: CHADEMA haipo kumbeba Rais Samia, atabebwa na chama chake

    Dodoma/ Dar. Kufuatia kauli ya mbunge wa Makambako, Deo Sanga ya kuitaka Chadema kutosimamisha mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amesema watasimamisha wagombea ngazi zote kwa kuwa bado wanapambana na CCM. Mbali na ombi la Chadema...
  17. M

    Kumradhi Rais Samia, kauli yako kuhusu watumishi wa umma wafujaji naona haipo sawa

    Wanajukwaa nawapungia mkono wa salam Leo akipokea ripoti ya CAG iliyoibua madudu lukuki Rais Samia aliongea mengi lakini nimeona nigusie kauli moja ambayo inaonekana kuwapa mwanya wabadhirifu. Amesema kila mwaka kuna madudu na wahusika wa ubadhirifu wanahamishwa tu ofisi. Rais Samia...
  18. Diversity

    NADHARIA Huduma ya Pacemaker haipo Hospitali ya Taifa Muhimbili

    Baadhi ya wanachama wa JamiiForums wamedokeza kudai kwamba huduma ya Pacemaker haipo Muhimbili. Aidha, madai hayo yanabainisha kwamba wagonjwa wamekuwa wakiahidiwa kuletwa kwa huduma hiyo lakini mpaka sasa haijawekwa na kuna taarifa kuwa baadhi wamepoteza maisha kutokana na kukosa huduma hiyo.
  19. D

    DOKEZO Huduma ya Pacemaker haipo Hospitali ya Taifa Muhimbili, wagonjwa wanakufa

    Bandugu, kama unaye mgonjwa wako Muhimbili na anahitaji huduma ya Pace Maker (umeme wa moyo) hali ni balaa. Wanaahidiwa tu sasa ni zaidi ya miezi miwili. Wagonjwa wanakufa. Dada yangu ameahidiwa kuwekewa zaidi ya mwezi kumbe hakuna kitu. Amefariki Leo. --- Habari hii imefanyiwa kazi Jamiicheck...
  20. Wadiz

    Je,Utawala wa Rais Hassan ndio Umemfitini James Mbatia NCCR-Mageuzi, je, Tanzania Mpya yenye uponyaji

    Hello JF Wote au baadhi tunafahamu namna James Mbatia alivyo na amejidhihiri kuwa mstari wa mbele kuonya, kushauri na kukemea maovu kwa namna ya heshima, unyenyekevu na staha yenye uzalendo kwa nchi yake. Ni ajabu kuona yaliyotokea juu ya nafasi yake ya uenyekiti wa NCCR Mageuzi katika...
Back
Top Bottom