Mimba ipo au haipo mimi ni mhanga natafuta mtoto mwaka wa pili sasa

Mtu porii

Member
Jan 29, 2024
34
110
IMG_20240228_214328.jpg
hajaingia MP hii siku ya nne tukajua tayar..ananambia tumbo linauma,anakojoa mara kwa mara..tukajua tumefanikisha😔😔😔
 
Pole mkuu. Kuchelewa period kunasababishwa na mambo mengi na mimba ikiwemo. Tangu mmefanya unprotective sex imepita muda gani?
 
Zipo sababu nyingi za mtu kupitiliza siku za hedhi...mojawapo ikiwa ni stress
Zipo sababu pia za maumivu ya tumbo...mojawapo ni stress

Give her a break....
 
Back
Top Bottom