Website ya UTT haipo hewani na nimeweka zaidi ya milioni 100 nimepanic. Vipi hatujapigwa huko?

Mcanada

JF-Expert Member
Jun 8, 2020
982
1,904
Mimi naishi ughaibuni (Diaspora) ila nimekuwa mwekezaji mzuri kupitia taasisi ya uwekezaji inaitwa UTT ipo hapo kwetu bongo na nimejiunga na mfumo wa kupokea gawio la faida kila mwezi uitwao BOND fund na sasa nimeshaweka zaidi ya milini 100 sasa mpaka muda huu nataka kwenda kulala akili inagoma kabisa toka juzi nimejaribu kuingia kwenye app ya UTT mara kadhaa kuangalia maokoto inani-logout automatically nikaona nipoe kidogo ila presha iko juu sijui kwanini muda huu nikaona nijaribu kuingia kwenye website yao naona pia site haipo hewani aisee sasa hapa nahisi kupagawa sijui sijui shida nini au ndio yale mambo ya deci yanataka kuhamia huku UTT.

Ambao mpo huko Tanzania naomba mfuatilie hili suala natamani kufahamu kama tatizo lipo upande wangu au lipo upande wao kiufundi hapa naona damu inakwenda mbio kweli hata kula nimeshindwa. Asanteni

UTT Not available.png
 
Usizue taharuki mkuu. App yangu ya UTT inafanyakazi vizuri tu mpaka muda huu. Kwenye kurasa yao ya Instagram jana wamepost salamu ya sikukuu. Nimeenda ofisini kwao Mwanza jana nikaambiwa ni sikukuu kulikuwa na mtu mmoja tu anafanya shughuli zake.
 
Punguza mihemuko, UTT wako vizuri na pesa yako iko salama. Tukutane December kwenye mkutano mkuu wa mwaka.
 
Mimi naishi ughaibuni (Diaspora) ila nimekuwa mwekezaji mzuri kupitia taasisi ya uwekezaji inaitwa UTT ipo hapo kwetu bongo na nimejiunga na mfumo wa kupokea gawio la faida kila mwezi uitwao BOND fund na sasa nimeshaweka zaidi ya milini 100 sasa mpaka muda huu nataka kwenda kulala akili inagoma kabisa toka juzi nimejaribu kuingia kwenye app ya UTT mara kadhaa kuangalia maokoto inani-logout automatically nikaona nipoe kidogo ila presha iko juu sijui kwanini muda huu nikaona nijaribu kuingia kwenye website yao naona pia site haipo hewani aisee sasa hapa nahisi kupagawa sijui sijui shida nini au ndio yale mambo ya deci yanataka kuhamia huku UTT.

Ambao mpo huko Tanzania naomba mfuatilie hili suala natamani kufahamu kama tatizo lipo upande wangu au lipo upande wao kiufundi hapa naona damu inakwenda mbio kweli hata kula nimeshindwa. Asanteni

View attachment 2765950
Usipanic UTT ni safest place haiwezi potea na pesa yako
 
Weka hapa ushahidi wa hizo pesa unazodai umeweka.
 
Unachokisema ni sahh mkuu nmejrbu pia several times
Screenshot_20230929-111121.jpg
 
Usiniambie, ngonja ncheki
 
Back
Top Bottom