felix tshisekedi

Félix Antoine Tshisekedi Tshilombo (French: [feliks ɑ̃twan tʃisekedi tʃilombo]; born 13 June 1963) is a Congolese politician who has been the President of the Democratic Republic of the Congo since 24 January 2019. He is the leader of the Union for Democracy and Social Progress (UDPS), the DRC's oldest and largest party, succeeding his late father Étienne Tshisekedi in that role, a three-time Prime Minister of Zaire and opposition leader during the reign of Mobutu Sese Seko. Tshisekedi was the UDPS party's candidate for president in the December 2018 general election, which he was awarded, despite accusations of irregularities from several election monitoring organisations and other opposition parties. The Constitutional Court of the DRC upheld his victory after another opposition politician, Martin Fayulu, challenged the result, but Tshisekedi has been accused of making a deal with his predecessor, Joseph Kabila. The election marked the first peaceful transition of power since the state became independent from Belgium in 1960.
Since the Common Front for Congo (FCC) coalition, which is aligned with Kabila, still controlled the parliament and provincial governorships, Tshisekedi's ability to govern or even appoint a new Prime Minister was limited for the first six months of his term. He named his coalition partner and political heavyweight, Vital Kamerhe, as his Chief of Cabinet, at first having designated him prime minister but not having the parliamentary support to get him appointed. In May 2019 he arrived at a deal with the parliament's Kabila-aligned majority to appoint Sylvestre Ilunga prime minister. On 27 July 2019, negotiations finally ended between Tshisekedi and the parliament, agreeing on the formation of a new cabinet.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Mahakama yaidhinisha Ushindi wa Felix Tshisekedi, yatupilia mbali mapingamizi dhidi yake

    Mahakama ya Kikatiba imetupilia mbali Kesi mbili zilizofunguliwa na baadhi ya Wagombea Urais nchini humo waliopinga Mtaokeo ya Kura za Uchaguzi Mkuu uliompa Ushindi Felix Tshisekedi na hivyo kuidhinisha ushindi wake. Mahakama hiyo imeidhinisha ushindi wa kiongozi huyo licha ya ripoti za...
  2. BARD AI

    Yanayojiri Uchaguzi Mkuu Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo 2023: Felix Tshisekedi atangazwa Mshindi wa Urais

    SERIKALI YAKATAA KURUDIA UCHAGUZI LICHA YA WAANGALIZI KUDAI KUNA UDANGANYIFU Kauli ya Serikali inakuja huku kukiwa na shinikizo la Wafuasi na Viongozi wa Upinzani kutaka Uchaguzi huo ufutwe kutokana na madai ya kuwepo kwa ukiukwaji wa Sheria na Uwazi ikiwe baadhi ya Vituo kutopiga Kura. Ripoti...
  3. B

    Moto Kampeni Uchaguzi Mkuu wa DR CONGO 2023, Farasi wawili Moïse Katumbi vs Felix Tshisekedi

    19 November 2023 Kuelekea uchaguzi mkuu nchini DR Congo nchi yenye utajiri mkubwa wa maliasili kama madini, uvunaji magogo ni watia nia wawili wa uRais ndiyo wanaoutia moto uchaguzi https://m.youtube.com/watch?v=XzU9u6Y4bzg Moïse Katumbi amewasiki Maniema na kupokelewa na umati mkubwa wa...
  4. BARD AI

    Wagombea 22 kushindana na Rais Tshisekedi katika Uchaguzi Mkuu Disemba

    Raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo watapiga Kura za Kuchagua Rais, Wabunge na Wawakilishi wa Mabaraza ya Majimbo ambapo Kampeni rasmi kwa Wagombea wote zitaanza Novemba 19, 2023. Kati ya Wagombea wanaotajwa kuwa na upinzani mkubwa kwa Rais Tshisekedi ni Mfanyabiashara Moïse Katumbi...
  5. BARD AI

    Rais Tshisekedi ateua viongozi waliowahi kufungwa jela kuwa Mawaziri

    Walioteuliwa ni pamoja na Jean-Pierre Bemba aliyewahi kuwa Makamu wa Rais kwenye Serikali ya #JosephKabila na kiongozi wa Waasi kuwa Waziri wa Ulinzi. Bemba aliwahi kushikiliwa na Mahakama ya Uhalifu wa Kivita (ICC) kwa miaka 10. Mwingine ni Vital Kamerhe ambaye anakuwa Waziri wa Uchumi...
  6. kwisha

    Aibu hii! Felix Tshisekedi kuzomewa mbele ya Papa Francis ni matokeo mabaya ya utawala wake

    Juzi kwenye Uwanja wa Taifa (Stade des Martyrs) Kinshasa wananchi walimzomea Rais Felix Tshisekedi mbele ya Papa Francis wakiimba nyimbo ambazo zinasema (Fetshi oyebela mandat eseli) wakiwa na maana kuwa Rais Fatshi utawala wako umefika mwisho Huku UN (umaja wa kimataifa) walitoa kauli kuwa...
  7. kwisha

    Felix Tshisekedi kazi anayo 2023

    Hivi chama tawala cha felix tshisekedi kinajisikiaje pale wanapo ona nchi zote zenye nguvu wakimuunga mkono Moise Katumbi. Hapa ni picha ya ambassada wa Belgium, USA, China, Ufaransa na Israel wakiwa nyumbani kwa katumbi Kazi anayo
  8. kwisha

    Miaka mitano (5) Rais Felix Tshisekedi nchini DR Congo

    Miaka 5 ya Rais Felix Tshisekedi nchini Congo Hakuna alichokifanya zaidi ya kusafiri tu nje huko Hakuna mradi wowote ambao alifanya umekamilika zaidi ya kulalamika kuwa mafisadi wanaiba pesa za Serekali Nakumbuka mwaka 2015 kipindi cha kampeni Canada aliyekuwa waziri mkuu wa Canada, Stephen...
  9. kwisha

    Felix Tshisekedi anapoteza DR Congo

    Sijui kama felix anakomboa Kongo au anazidi kuipoteza Congo. Wakongomani tulimtukana Katumbi kwa kusema sio mkongomani sijui maneno mengi alivyosema kuna ya kuachana na vita hivi tujenge kwanza jeshi imara. Ambalo litakuwa na uwezo wa kupambana kuliko kushirikisha majeshi mengine ya nchi...
Back
Top Bottom