diwani

Diwani is a calligraphic variety of Arabic script, a cursive style developed during the reign of the early Ottoman Turks (16th century - early 17th century). It reached its height of popularity under Süleyman I the Magnificent (1520–1566).
It was labeled the Diwani script because it was used in the Ottoman diwan and was one of the secrets of the sultan's palace. The rules of this script were not known to everyone, but confined to its masters and a few bright students. It was used in the writing of all royal decrees, endowments, and resolutions. A Diwani text adorned with a tugrah, a complex calligraphic seal, represented the authority of the Sultan and the Ottoman state.The Diwani script can be divided into two types:

The Riq`a Diwani style, which is devoid of any decorations and whose lines are straight, except for the lower parts of the letters.
The Jeli Diwani or clear style. This kind of handwriting is distinguished by the intertwining of its letters and its straight lines from top to bottom. It is punctuated and decorated to appear as one piece. The Diwani handwriting is known for the intertwining of its letters, which makes it very difficult to read or write, and difficult to forge.

Diwani is marked by beauty and harmony, and accurate small samples are considered more beautiful than larger ones. It is still used in the correspondence of kings, princes, presidents, and in ceremonies and greeting cards. and has a high artistic value.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    Mahakama: Wabunge, Madiwani wapigwa 'stop' kupita bila kupingwa

    ======== Vifungu hivyo ni kinyume na Katiba, vinakiuka Ibara ya 21(1) na (2) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hukumu hiyo ilitolewa juzi mbele ya jopo la majaji watatu, Jaji John Mgetta, Jaji Dk. Benhaji Masoud na Jaji Edwin Kakolaki baada ya kupitia maombi ya kupinga vifungu...
  2. Q

    Mahakama Kuu: Kutangaza Washindi wa Uchaguzi waliopita bila kupingwa ni Kinyume cha Katiba

    Mahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba. ---
  3. Mohamed Said

    Rajab Diwani: Kamanda wa Vijana

    RAJAB DIWANI KAMANDA WA VIJANA Nimekuwa na kawaida siku hizi kuwa kila ninapoona picha ya mtu maarufu katika wazalendo waliopigania uhuru wa Tanganyika nitafungua kitabu cha Abdul Sykes kutazama nimeandika nini kuhusu mzalendo huyu. Baada ya kusoma yale niliyoandika nitayaweka mtandaoni watu...
  4. Wakili wa shetani

    Katiba mpya iweke ukomo wa mtu kuwa mbunge na diwani iwe miaka kumi

    Suala la kuwakilisha wananchi halipaswi kuhodhiwa na mtu mmoja kwa muda usio na ukomo. Ni vyema katiba mpya ikaweka ukomo wa mtu kuwa mbunge. Haiwezekani mtu alikuwa mbunge au diwani toka enzi za Mkapa. Hadi leo kwa Rais wa nne bado anataka kuendelea kuwakilisha wananchi. Na bado anataka...
  5. W

    Aliyetimuliwa Umeya Moshi kwa kashfa ya ushoga,atishia kumuua diwani mwenzake kwa bastola

    Mstahiki Meya aliyetimuliwa kwa kashfa ya Ushoga, Manispaa ya Moshi, Juma Raibu,ameingia kwenye kashifa nyingine safari hii akituhumiwa kumtishia kwa bastola diwani mwenzake,Mohamed Mushi wa Kata ya Miembeni. Habari za uhakika kutoka ndani ya Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Moshi,zinadai...
  6. F

    Juma Raibu atishia kumtwanga risasi diwani mwezake

    Miezi michache baada ya kuvuliwa umeya kutokana na kashifa ya kudaiwa kuhudhulia sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa mmoja wa wanumme wanaodaiwa kuwa katika mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja, aliyekuwa meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameingia katika kashifa nyingine tena, akidaiwa...
  7. chiembe

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, TISS ya Diwani haikuwa na mawaa; ni moja kati ya waliopambana na timu ya jiwe iheshimu katiba. Kongole kwake!

    TISS ya Diwani Athumani ndio walau ilitulia, kutekana kukaisha, mambo ya hovyo hovyo yakapungua, hata Jiwe naye akapunguza machachari. Tofauti na Ile ya kipilimba na wenzake walioshughulika kwelikweli na akina Mdude na wengine. Ni TISS ya Diwani Athumani, pamoja na taasisi nyingine...
  8. B

    Diwani Athumani wiki iliopita si nilikuambia pale kijiwe chetu ile ni danganya toto? Kuwa makini

    Diwani Msuya wiki iliyopita si nilikuambia pale maeneo au kijiwe chetu uwe makini sana si unaona mkuu amefanya yake? Nilikuambia na haukutakaa kusikia nilikuambia reconciliation yanaenda Yanakuknock out wewe nje ya mfumo, mkuu anaandaa safu yake ilikuwa ni matter of time tu ya wewe ya kukula...
  9. A

    DOKEZO Diwani Athuman kuondolewa TISS mwishoni mwa 2022. Mikutano ya Vyama vya Siasa kuruhusiwa

    Chanzo cha uhakika ndani ya corridor za Ikulu kimenihakikishia Samia anataka kuisuka upya Serikali yake. Chanzo hiki kimenieleza pia kuwa mabadiliko zaidi yatafanywa kimkakati na kuna watakaoondoka na maji hivi karibuni. Pia chanzo hiki kimeniambia Katiba Mpya iko njiani. Samia anataka aache...
  10. S

    Wananchi tuwe makini tunapochagua viongozi. Huyu anayejipiga picha na taulo naye alikuwa Diwani?

    Tuchague watu wenye maadili mema katika jamii. Huyu mtu anautafuta uzee lakini anafanya mambo ya mtoto wa darasa la 3. Vipi alipokuwa chini ya umri wa sasa akili yake ilikuwaje? Huyu jamaa aliwahi kuwa Diwani wa kata ya Mwanga Kaskazini mkoani Kigoma. Najiuliza, wananchi waliona nini cha...
  11. J

    Jumamosi kuna uchaguzi wa Diwani Bagamoyo, nimeona Bendera za CHADEMA Stendi na Sokoni

    Sijaelewa kama hizi bendera mpya za Chadema hapa Bagamoyo ndio maandalizi ya Mikutano ya hadhara au kampeni za Diwani Bagamoyo watakuwa na uchaguzi wa Diwani siku ya Jumamosi
  12. mwanamwana

    Sengerema: Diwani wa Buzilasoga (CCM), David Shilinde afikishwa mahakamani kwa tuhuma za mauaji

    Diwani wa Buzilasoga (CCM), David Shilinde na watu wengine 13 wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza kwa tuhuma za mauaji ya mwanamke mmoja aliyejulikana kwa jina la Getruda Dotto. Mbali na diwani huyo, yumo pia Mwenyekiti wa CCM Kijiji cha Ikoni B, William Nengo...
  13. F

    CHADEMA kushiriki Uchaguzi wa Diwani Handeni

    Nimeona mahali mtu aliyetambulishwa kama Katibu wa CHADEMA Handeni, Kombo Matulu akihimiza wananchi wakampigie kura mgombea wa CUF. Inaelekea CHADEMA wamebadilisha msimamo wao kuhusu kutoshiriki katika katika uchaguzi wowote mpaka Katiba mpya itakapopatikana. Amandla.
  14. K

    DOKEZO Halmashauri ya wilaya Kinondoni V/S Diwani Urio

    Mimi ni fundi ujenzi wa kiwango cha kati nina vijana wa kazi 20, MSAADA september 2022, mwekezaji Mzawa alipewa eneo la wazi Ununio Beach na mmiliki Halmashauri ya manispaa kinondoni kwa kufuata taratibu zote na kusaini mkataba , nyaraka za risiti nimeziona na malipo ya yalifanyika kwa control...
  15. Peramiho yetu

    Diwani wa Kawe, Mutta Rwakatare adaiwa kupotea tena. Ndugu wamkosa kwa Ashura wa Tabata

    Ndio hivyo kwa yeyote atakayemuona atupe taarifa Pia soma Meya wa Kinondoni atangaza kupotea kwa Diwani wa Kawe ambaye inasemekana amefichwa Diwani wa Kawe aliyetoweka tangu Februari akutwa Tabata kwa Mwanamke Diwani Mchungaji Mutta Rwakatare aliyepotea na kukutwa na Polisi kwa mrembo Ashura...
  16. BARD AI

    Tabora: Diwani na mkewe wafariki kwa ajali

    Diwani wa Kata ya Kalola Wilayani Uyui (Tabora ), Sauji Daud na mkewe, Magdalena Richard wamefariki dunia katika ajali ya gari usiku wa kuamkia leo Jumanne Oktoba 25, 2022. Akizungumza na Mwananchi leo, Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya hiyo, Said Ntahondi amesema, diwani huyo na mkewe...
  17. J

    Manyara: Diwani kata ya Nangara agawa bima ya afya ya ICHF kwa wanafunzi

    Na John Walter Katika kutoa hamasa kwa wanafunzi wa darasa la Saba kufanya vyema katika mitihani yao ya kuhitimu elimu ya Msingi, Diwani wa kata ya Nangara, mjini Babati mkoani Manyara ametoa kadi za Bima za Afya (ICHF) kwa wanafunzi katika kata hiyo. Akikabidhi bima hizo Diwani wa kata ya...
  18. Mohamed Said

    Shajara ya Mwanamzizima: Diwani (Chief) Mwinchuguuni

    SHAJARA YA MWANAMZIZIMA: Mjue Diwani (Chifu) Mwinchuguuni aliyewatimua Wakamba Bagamoyo Na Alhaji Abdallah Tambaza MNAMO karne ya 1600 ama 1700 hivi, kabla nchi hii haijawa Tanganyika tuijuayo; maeneo mbalimbali yalikumbwa na mashambulizi kutokana na uvamizi wa kabila la Wakamba kutoka Kenya...
  19. Suley2019

    Diwani Raibu Juma kutoa dola 5,000 kama utapata video yake akitetea Mapenzi ya Jinsia Moja

    Diwani wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Raibu Juma akiongea na Redio Moshi Fm kupitia kipindi cha Darasa mseto ameweka wazi kutoa Dollar 5000 ikiwa atapata video inayoeleza kutetea wapenzi wa jinsia moja (Ushoga) katika sherehe aliyohudhuria. "Ishu ya kuhudhuria sherehe ya wapenzi wa...
  20. JanguKamaJangu

    Bi Ashura asema Diwani wa Kawe aliyekutwa kwake baada ya kutoweka tangu Februari ni ‘kaka’ yake

    Taarifa ya Jeshi la Polisi Kanda maalum Dar es Salaam ya Mei 24, 2022 imeeleza kuwa wamefanikiwa kumkamata Diwani wa Kata ya Kawe, Mutta Rwakatare aliyetoweka tangu Februari, 2022 akikutwa nyumbani kwa Bi Ashura Ally mitaa ya Tabata. Sasa Ashura mwenyewe amesema kuwa Diwani huyo ni kaka yake na...
Back
Top Bottom