kupita bila kupingwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heparin

    Dkt. Ndugulile: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, siungi Mkono kupita bila kupingwa

    "Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na dosari ambayo hatuwezi kuificha, haiwezekani wagombea wa upinzani tu ndio hawakujua kujaza fomu ipasavyo halafu wagombea wa CCM wakaweza kujaza fomu ipasavyo kila mahali” Dkt. Faustine Ndugulile. Ndugulile amesema haungi mkono suala la wagombea kupita bila kupingwa...
  2. Pascal Mayalla

    Licha ya Mapungufu, Sheria Mpya ya Uchaguzi Pia ina Mazuri Yake!, Imerejesha Mamlaka ya Uchaguzi kwa Wananchi, Hakuna Kupita Bila Kupingwa!.

    Wanabodi, Hili ni bandiko mwendelezo wa three series za uchambuzi wangu wa sheria mpya ya Uchaguzi, 2023. Kama hukuona 1st series, anzia hapa Asante Rais Samia kwa Muswada huu. Umuhimu wa mabadiliko ya Katiba kabla ya Sheria hii bado ni muhimu sana. Huu ni uchambuzi Wangu - Part 1 kisha uje...
  3. kagoshima

    Ukiondoa kupita bila kupingwa unakua umeaondoa ununuzi na utekaji wa wagombea kwenye chaguzi. Ushauri, rekebisha Sheria kwa maslahi ya demokrasia

    Mazee mpo? Naenda kwenye hoja. Kiukweli moja ya uchafuzi mkubwa wa Democrasia ya vyama vingi ni ununuzi na utekaji wa wagombea wakati wa uchaguzi. Tumeamua multiparty democracy,ni vyema tukawa serious kidogo. Haiwezekani Tanzania Kila jambo linafanywa kisanii sanii. Democracy ni kuruhusu raia...
  4. Q

    Mahakama Kuu: Kutangaza Washindi wa Uchaguzi waliopita bila kupingwa ni Kinyume cha Katiba

    Mahakama Kuu Tanzania imeamuru hakuna wagombea Ubunge, Udiwani wala Wenyeviti wa S/Mitaa/Vijiji/Vitongoji kupita bila kupingwa. Imetamka vifungu hivyo ni BATILI vinakwenda kinyume na Katiba. ---
  5. R

    Kukubali kupita bila kupingwa ndiyo chanzo cha wabunge kudharauriwa

    Hali ilipofika kwa sasa wabunge wa bunge la ccm lililopita bila kupingwa mambo sio mambo. Humo ndani ni vikumbo tu. Hakuna Mbunge ana mhehimu mwenzake. Mawaziri nao wanawona wabunge kama ni hamna kitu. Wanawajibu wanavyojisikia. Huku wananchi hawana habari kabisa na Bunge. Yaani watu wako...
  6. M

    Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa

    Tutarajie 2025 Wagombea CCM Kupita bila Kupingwa kama ilivyokua 2020? Babu Chalechale (a.k.a Build and construction) nae akapata ulaji kwao bila Kupingwa aisee! 2020 ilikua aibu ya Karne.
  7. K

    Zitto, baraza jipya la Mawaziri likufunze kwamba hakuna anayewaza tume Huru ya UCHAGUZI ,Watu wanawaza kupita bila kupingwa.

    Tulipoambiwa Kuna mabadiliko ya baraza kuwaruhusu wagombea Urais 2025 wakajiandae tulidhani wakitumbiliwa tutawaona Kwa sura zao na kusema hakika Hawa niwanamtandao wa Uchaguzi 2025. Lilipotangazwa baraza tumejikutwa tunashangaa Hawa ndio waliomkwamisha mama? Wakati tunàshangaa tukaona...
  8. Kiboko ya Jiwe

    Katika uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu ni 'Kupita Bila Kupingwa' kwenye chaguzi chini ya awamu ya 5

    Mimi nikiulizwa nitaje uwendawazimu uliofanywa na watu wasio wendawazimu nitataja vihoja vya chaguzi mbili tatu ambazo wagombea kutoka chama cha Mapinduzi (CCM) kupita bila kupingwa. Ule ulikuwa ukichaa kamili uliofanywa na watu wasio vichaa.
  9. Lord OSAGYEFO

    Kwanini Mwl. Nyerere alipigiwa kura licha ya kuwa mgombea pekee lakini leo mgombea akibaki pekee anatangazwa kapita bila kupingwa?

    Wadau nawakumbusha tu wakati wa Awamu ya 1 Hayati baba wa taifa Mwl. Nyerere licha ya kuwa ni mgombea pekee hakuwa na mpinzani hakuwahi kutangazwa kuwa kapita bila kupingwa badala yake wananchi walimpigia kura na kuhesabiwa kisha matokeo kutangazwa. Lakini leo tume ya uchaguzi mgombea akibaki...
Back
Top Bottom