Na hili nalo mkaliangalieHivi ni kwanini mambo ya sheria huandikwa kwa lugha ya Kiingereza na sio Kiswahili?
Lugha ya uswekeni ni ngumu kuliko kingerezaHivi ni kwanini mambo ya sheria huandikwa kwa lugha ya Kiingereza na sio Kiswahili?
Halafu sheria hizo zimetungwa na Bunge na sifa kuu ya kuwa Mbunge Nchi hii ni kujua Kusoma na Kuandika.Hivi ni kwanini mambo ya sheria huandikwa kwa lugha ya Kiingereza na sio Kiswahili?
Nini kimekuuma hapo?! Hukumu ya mahakama au lugha?Hivi ni kwanini mambo ya sheria huandikwa kwa lugha ya Kiingereza na sio Kiswahili?
Kama huna jibu piga kimya usilete ujuaji wakijinga hapa,Nini kimekuuma hapo?! Hukumu ya mahakama au lugha?
Mwambae alitakae na kuna jaji aliwahi toa hukumu kwa lugha ya kiswahili!!Hivi ni kwanini mambo ya sheria huandikwa kwa lugha ya Kiingereza na sio Kiswahili?
Walikua wapi kipindi cha nyuma zaidi ya miaka 7 hv.
Kama hujui lugha usiwalalamikie wengine. Kafie mbele.Kama huna jibu piga kimya usilete ujuaji wakijinga hapa,
Huoni kua swali langu limeuliza kuhusu lugha?
Ndio sababu ya Waitara kulia mbele ya waandishi wa habari na Nape kuanza kuomba huruma ya wananchi. Walishanusa hii hukumu.Sukuma gang wamelamba mchanga
Umeielewa hiyo hukumu? Unajua mlalamikaji alikuwa analilamikia nini?Mh..Mbona legacy ya mwendazake Muasisi wa kupitisha watu bila kupingwa, inazidi kupopolewa mawe!
Kiswahili alikipigania yule mshamba wa chato kisa hakukijua kiingereza.Hivi ni kwanini mambo ya sheria huandikwa kwa lugha ya Kiingereza na sio Kiswahili?