binti

Binti Jua (born March 17, 1988) is a female western lowland gorilla in the Brookfield Zoo, in Brookfield, Illinois, outside of Chicago, US. She was involved in an incident in 1996, in which she tended to a three-year-old boy who had fallen into her enclosure.
Binti Jua (whose name means "Daughter of Sunshine" in Swahili) is the niece of Koko, a gorilla whose linguistic accomplishments have been the subject of several scientific studies. Her mother, Lulu, was originally from the Bronx Zoo and died on January 24, 2011, after residing at the Columbus Zoo and Aquarium. Her father is Sunshine, from the San Francisco Zoo.

View More On Wikipedia.org
  1. Gepard

    Kanikabidhi binti yake nimpende

    Nimefanikiwa kutengeneza urafiki na mama muuza genge hadi katokea kunipenda na kuniamini sana. Alipenda kujua maisha yangu ya kiroho na maisha ya kawaida na kuridhika nayo. Baada ya kumaliza chuo 2019 niliamua kujiongeza na mambo mengine nje ya nilichosomea. Mapema nilipanga geto. Nimekuwa...
  2. Nyendo

    Kitui: Amuua kwa kisu binti wa kidato cha nne, naye ajaribu kujiua

    A Form Four girl was stabbed to death in Kavasya, Kitui under unclear circumstances. Maluki Mumo, the area chief, reported the incident on Monday night, saying the perpetrator stabbed the victim several times. According to witnesses, the 27-year-old also attempted suicide by stabbing himself...
  3. MPUNGA MMOJA

    Mwenyekiti CCM Mbeya Mjini atuhumiwa kumrubuni kimapenzi mwanafunzi wa miaka 15. Baba mtoto alalamika kunyimwa ushirikiano na uongozi mkoa Mbeya

    Sakata la Mtoto na mwanafunzi wa miaka 15 kulubuniwa kimapenzi na Mwenyekiti wa CCM Mbeya Mjini. Sakata hilo limeshafika kwa RPC na RC wa Mbeya. Mzazi na Baba wa mtoto huyo amelalamika kunyimwa ushirikiano baada ya kufika ofisi ya RC Mbeya na kumfikishia malalamiko yake. Chanzo: HAROUBTV.
  4. TheChoji

    Binti wa Nabii milionea wa Malawi Shepherd Bushiri, Israella Bushiri, kuzikwa leo 01 April 2021

    Binti huyo aitwae Israella (8) alifariki siku ya jumatatu tar 29/3 nchini Kenya alipokuwa anapatiwa matibabu kutokana na matatizo ya mapafu. Hata hivyo, familia imelalamikia kitendo cha Serikali ya Malawi kuizuia kuruka ndege binafsi iliyokuwa inamuwahisha mtoto huyo hospitali na hivyo...
  5. A

    Wazazi hawataki nioe binti wa Kihaya

    Wakuu nimeanza mahusiano na binti wa Kihaya amehitimu mwaka Jana MUHAS - Doctor of Medicine (MD) Sasa anatafuta ajira ila nilipofikisha taarifa home kuwa nataka tupeleke mahari kwao. Wazazi wamekataa katakata bila sababu. Ushauri tafadhali. Mimi Mnyasa wa Mbamba bay.
  6. Miss Zomboko

    Dubai: Binti mfalme adai kushikiliwa mateka na Baba yake tangu 2018 alipojaribu kutoroka

    Umoja wa Mataifa umesema utaingilia kati hatua ya mamlaka ya Milki za Kiarabu (UAE) kumshikilia bila hiari Malkia Latifa, binti ya mtawala wa Dubai. Malkia Latifa amemlaumu baba yake kwa kumzuilia mateka Dubai tangu alipojaribu kutoroka mji huo mwaka 2018. Katika video iliyorekodiwa kisiri na...
  7. MSAGA SUMU

    Aisee! Kumbe Harmonize hatanii, ameonekana kituo cha polisi kufuatilia udhalilishaji aliofanyiwa binti yake

    Masikini kijana mdogo Rayvanny miaka 30 nyuma ya nondo. Harmo ameonekana kituo cha polisi na ushahidi wote aliofanyiwa binti yake. Picha zinakuja
  8. sky soldier

    Binti alimaliza form 4 mwaka 2018 na kapewa mimba mwaka huu na kudai anasubiri kuendelea shule, je ni kosa

    Wanasheria hebu tusaidiane hapa. Mfano binti alipata divisheni 3 mwaka 2018 na akawa mtaani sasa kapata mimba, yeye anasema bado ni mwanafunzi anasubiri kwenda form 5. Je, hii ni kesi ya kumpa mimba mwanafunzi?
  9. funluverx

    Natafuta Mwanamama ili awe rafiki yangu 'mzurimzuri'

    Umri usiozidi miaka 35. Awe mtanzania wa kuzaliwa. Asiwe amewahi kuwa ndani ya Ndoa (Kuolewa na kuachika-Hapana) Awe amesoma angalau kiasi. Awe mwenye Hofu ya Mungu. Awe anajitambua na mwenye kujishughulisha. Mvuto wa ndani uushinde mvuto wa nje. Akiwa na Ajira yake/Kazi yake itapendeza ila si...
  10. Miss Zomboko

    Binti ajaribu kujiua baada ya Wazazi wake kutaka kumwachanisha na mpenzi wake

    Mkazi wa Magoweko wilayani Goweko mkoani Morogoro, Secilia Ching’unyau (22) amenusurika kifo akijaribu kujiua kwa kunywa sumu ya kuhifadhia mahindi aliyoichanganya na pombe aina ya Vodka-Cuca kwa madai ya wazazi kutaka kuvunja mahusiano kati yake na mpenzi wake. Akizungumzia tukio hilo leo...
  11. K

    Natamani kumuoa binti wa Kinyarwanda

    Wadau mnisaidie, niko katika umri ninaotakiwa kuoa. Lakini siku zote nimekuwa na ndoto ya kuoa mwanamke wa Kinyarwanda na hasa awe Mtutsi. Navutiwa kwa urembo wao ila sijui tabia zao. Anayewajua anijuze. Vipi tabia zao za jumla? Nitawapataje ilhali Niko Dar? Msaada tafadhali.
  12. Darucha

    Ameninunia baada ya dada yake kukubali ombi langu

    Huyu ni jamaa yangu ambaye tumejuana hata mwaka haujaisha. Kiufupi jamaa anajiona janja Sana wakati hela Hana nakumbuka siku moja alinikaribisha kwao basi nikatimba maskani mwao ile kuingia nikakutana na mtoto mmoja hatari kumuuliza ni Nani aniambia ni sister wangu Daaah mtoto mzuri mpaka...
  13. Miss Zomboko

    Serengeti: Baba afumwa akishiriki ngono na Binti yake wa miaka 11

    Polisi wilaya ya Serengeti mkoani Mara inamshikilia mkazi wa kitongoji cha Chamoto, Ikwabe Gibogo (58) kwa tuhuma za kumwingilia kimwili mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka (11). Mwenyekiti wa Kitongoji hicho, Chacha Nyambuche amekiri mtuhumiwa kukamatwa Januari 23, 2021 usiku baada ya...
  14. M

    Tamaa ya Pombe za bure inavyowaponza mabinti!

    Wewe binti Huna hela ya pombe, si utulie home? Kutwa kujichatisha WhatsApp na insta kwa waume za watu na kuomba hela ya Pombe, wengine tushachoka na stress za kwenye ndoa ukijichanganya sisi tunapiga tu Kama mwewe. Hakunaga habari ya kutulia na demu mmoja.
  15. sky soldier

    Tupe mkasa wako ulivyoishia kumuoa uliyedhani utapiga na kusepa

    Katika maisha ya vijana wengi mahusiano mengi yanakuwaga ni mwanaume kumtamani zaidi mwanamke hivyo mwanamke hugeuzwa chombo cha kustarehesha viungo vya mwanaume. Hapo mwanaume nae mara nyingi anakuwa na plan zake kwamba hapa najipigia tu, nikimchoka naenda kwingine. Hali inaweza kuwa tofauti...
  16. Full charge

    Kwanini Waarabu hawapendi Watu Weusi wawaoe binti zao?

    Ndugu zangu wana JF ningependa kujua juu ya hawa ndugu zetu Waarabu na Wahindi, kwanini wao wanapowataka dada zetu wanaoa tena bila sisi kuwatilia masharti ila linapokuja suala la sisi kutaka kuwaoa familia zao zinakataa? Je, wao wanathamani sana kuliko sisi weusi? Je, dini walotuletea...
  17. Hainaga ushemeji

    Dah! Kuna kila dalili huyu binti wa kitanga kashaniloga

    Ni miaka mitatu toka niache haya mambo ya kua kwenye serious relationship(whatever that means) na mtu, hii ni baada ya kuja kijamaa chenye pesa na kumchukua mwanamke niliyodumu nae kwa miaka miwili,mwanamke ambaye nilihisi sitokaa kuja kumsahau, just like that, she got saved up by some dude,got...
  18. M

    Binti ananitishia kunifanya ndondocha

    Nimebahatika kupata binti mrembo wa Kiarabu kiukweli ananipa mapenzi moto moto/miuno ya kufa mtu lakini sasa kila wiki anadai anaenda kwa Mganga wa kienyeji ili watusomee dua ya kutufanya mambo yetu yawe mazuri. Daah nimejitahidi kumshauri aachane na hayo mambo lakini hanisikilizi. Sasa...
  19. Raynavero

    Binti amjibu mama yake, ndio maana baba ana mwanamke mwingine

    Wanajamvi hii imetokea ni rafiki wa mama kaja kushtaki mwanawe kamtukana hivyo, baada ya kumsema mwenendo wake hauridhishi atapata mimba isiyo na baba. Akamtamkia maneno hayo ila kaka wa yule msichana alivyosikia akampiga makofi dada yake. Msichana akaenda polisi, mama na kijana wake wakaja...
Back
Top Bottom