Kitui: Amuua kwa kisu binti wa kidato cha nne, naye ajaribu kujiua

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,226
4,220
A Form Four girl was stabbed to death in Kavasya, Kitui under unclear circumstances.

Maluki Mumo, the area chief, reported the incident on Monday night, saying the perpetrator stabbed the victim several times.

According to witnesses, the 27-year-old also attempted suicide by stabbing himself with the knife shortly after the incident.

He was rescued by his neighbors and is currently being treated at the Kitui County Referral Hospital.

In a separate incident, Police officers in Meru County are presently holding a motorist who is said to have stabbed to death a boda boda rider.

The bodaboda rider, 25-year-old Ian Mwenda, is said to have been riding from Maua towards Antubochiu market on Monday evening when his cap fell on the road due to the strong winds.
 
Moderator mnapin uzi kama huu halafu mnaacha kupin uzi kama huu! Geza Ulole unawaelewa hawa mod kweli?
 
Moderator mnapin uzi kama huu halafu mnaacha kupin uzi kama huu! Geza Ulole unawaelewa hawa mod kweli?
Hawa moderators wana unazi wa wazi na maslahi ya Kenya! Ila Wahenga walisema mficha uchi......!!
 
Moderator mnapin uzi kama huu halafu mnaacha kupin uzi kama huu! Geza Ulole unawaelewa hawa mod kweli?

Duu kuna ule uzi wetu kuhusu EACOP kila siku tunawabembeleza siku watusaidie kuutundukika na kuubadilisha usomeke "EACOP UPDATES", lakini wako kimya, cha ajabu wanatundika uzi kama huu.
Jamani tunaombeni msaada.

CC: Invisible Moderator
 
Nikiweka pembeni hilo la Watanzania kutaka habari za bomba lao ziwe pinned kwenye jukwaa la habari za Kenya, naomba kufahamu sababu cha kupin huu uzi, mod hata kama mtakua mumeachia some AI ndio inafanya pinning, muhimu mfuatilie, haijawa trained vizuri.
 
Moderator mnapin uzi kama huu halafu mnaacha kupin uzi kama huu! Geza Ulole unawaelewa hawa mod kweli?
Duh, mdude mtu kabonyeza like.
 
Polisi wabadilishiwe magari yao watuhumiwa wanaruka nje kujiua
 
Moderator mnapin uzi kama huu halafu mnaacha kupin uzi kama huu! Geza Ulole unawaelewa hawa mod kweli?

Moderator
Tafadhali nashauri huu uzi uondoke hapa kwenye pin list. Maana hii habari ilishapitwa na wakati. Siyo ya kuendelea kama EACOP na nyingine kama hizi.
 
Back
Top Bottom