Kwanini Waarabu hawapendi Watu Weusi wawaoe binti zao?

Full charge

JF-Expert Member
Mar 1, 2018
1,555
1,439
Ndugu zangu wana JF ningependa kujua juu ya hawa ndugu zetu Waarabu na Wahindi, kwanini wao wanapowataka dada zetu wanaoa tena bila sisi kuwatilia masharti ila linapokuja suala la sisi kutaka kuwaoa familia zao zinakataa?

Je, wao wanathamani sana kuliko sisi weusi? Je, dini walotuletea inakataza sisi kuoa kwao? Je nasisi tuwagomee maana naskia lakini eti dadaako akiolewa na mwarabu basi ujue familia yenu mmepata hasara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu wana JF ningependa kujua juu ya hawa ndugu zetu Waarabu na Wahindi, kwanini wao wanapowataka dada zetu wanaoa tena bila sisi kuwatilia masharti Ila linapokuja suala la sisi kutaka kuwaoa familia zao zinakataa?

Je, wao wanathamani sana kuliko sisi weusi? Je dini walotuletea inakataza sisi kuoa kwao? Je, na sisi tuwagomee maana naskia lakini eti dadaako akiolewa na Mwarabu basi ujue familia yenu mmepata hasara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wao wanaamin ngoz nyeusi ni nuksi

Alafu mbona umeenda mbali sana nenda zanzibar tuu hapo kama kuna shekhe au imamu wa msikiti atakupa bint yake kama ww sio muslim

Ubaguz upo kira mahali ndugu yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wa asia ni wabaguzi sana. Wahindi. Waarabu. Wachina. N.k. hata ukienda zanzibar mfano wapemba ni wabaguzi kwa watu weusi wa bara. Huwezi kuoa . ukibahatika kuwapata ni kuwapiga p ya kufa mtu.
 
Back
Top Bottom