Nimebahatika kupata binti mrembo wa Kiarabu kiukweli ananipa mapenzi moto moto/miuno ya kufa mtu lakini sasa kila wiki anadai anaenda kwa Mganga wa kienyeji ili watusomee dua ya kutufanya mambo yetu yawe mazuri.
Daah nimejitahidi kumshauri aachane na hayo mambo lakini hanisikilizi. Sasa ametishia kama naendelea kumzingua atamuambia mganga niwe Ndondocha daah!
Nataka nimmwage lakini namwachaje aisee!