Arumeru: Wandishi wa habari wapigwa mawe na mizimu na kutimka mbio. Mawe hayajulikani yanatoka wapi. Yanamwagika kama mvua

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Waandishi wa Habari mkoani Arusha wametimuliwa kwa kupigwa na mawe ambayo hayajulikani yanapotokea katika Kijiji cha Kiwawa Wilayani Arumeru, ikiwa ni baada ya waandishi hao kufika kwenye eneo hilo kufuatilia taharuki ya wananchi kupigwa kwa mawe yanayohisiwa kurushwa na mizimu.

20220522_210410.jpg
 
Waafrica sisi niwajinga sana, Uchawi ni Technology iliyo mbele ya wakati tukiitumia vizuri itatunufaisha.

Mfano hii technology ya mawe kurushwa na watu wasiojulikana, juju, kutupiwa majini tunaweza kuwauzia Ukraine wapambane na urusi.

Wakati Urusi wanaangaika kuingilia mawasiliano ya Ukraine, wao Ukraine wanatumia tu Ramli wanaona mipango yote ya Urusi alafu wanatuma juju wanajeshi wote wanakuwa vichaa , Au wanatumiwa mawe yasiyoonekana😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom