TANZIA Beki wa Kaizer Chiefs afariki dunia baada ya kupigwa risasi

Dalton elijah

JF-Expert Member
Jul 19, 2022
208
462
1712178704843.jpg
PICHA KUONESHA ALIYEKUWA BEKI WA KAIZER CHIEF

Beki wa Kaizer Chiefs Luke Fleurs amefariki dunia kwa kusikitisha baada ya kupigwa risasi wakati wa utekaji nyara.

Siwezi kuamini hili baada ya kumuona siku chache zilizopita, wakati wa huzuni ya ajabu, rambirambi zangu za dhati kwa wapendwa wake. 🕊️💔 RIP

==========

Beki wa kati wa Klabu ya Kaizer Chiefs, Luke Fleurs amefariki Dunia ikidaiwa alitekwa na Watu ambao bado hawajafahamika kisha ya kuuliwa kwa risasi.

Klabu ya Kaizer Chiefs imesema tukio hilo lilitokea Jijini Johannesburg na Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi.

Fleurs aliyekuwa na umri wa miaka 24 alitua klabuni hapo akitokea SuperSport United, Oktoba 2023.

---
Kaizer Chiefs defender Luke Fleurs has reportedly died on Wednesday night. Fleurs is said to have been shot and killed in Florida, in a botched car hijacking.

A source close to the situation confirmed the news to Sunday World on Wednesday night.

“Yes, it is true, Luke was gunned down in a hijacking. Sad, very said,” said the informant.

Said SA Police Spokesperson Lieutenant Colonel Mavela Masondo: “The police are waiting for information on the incident for now,” Masondo told Sunday World.
 
South Africa uhalifu upo juu sana.
Serikali yao si ifanye namna hakuna kinacho shindikana, kwanza akikamatwa muuaji adhabu ya mfano.

Russia kipindi wanatoka kwenye ujamaa kipindi cha Yeltsin uhalifu ulikuwa juu sana, lakini leo hii pamekuwa shwari.

RIP.
 
Back
Top Bottom