Habari zenu wanajamvi ?
Nimeamua kuanza ufugaji wa kuku wa kienyeji bahati mbaya nafugia kijijini umeme haujafika nilianza na kuku 100 tetea wakiwa zaidi ya 80 sasa nashukuru Mungu ninavifaranga zaidi ya 100
Niliamua kuwatenganisha kuku wenye vifaranga kwenye banda jingine pembeni nikizani...
kumekua na kero ya umeme kukatwa kila siku bila hata Matangazo na hatujui nini tatizo,ni week ya tatu sasa tangu kero hiyi kuanza mlioko Songea mtakua shahidi,Hivyo tunaomba Tanesco watueleze wananchi kinachoendelea .'information is power"
Jamani ninamdogo wangu alichagulwa chuo ambacho hakuomba kkulingana na Tangazo lililo wekwa kwenye Hope page ya TCU (tcu.co.tz: The Leading TCU Site on the Net) nimejaribu kumuombea second round lakini napata sms hiii.."DEAR APPLICANT!!,APPLICATION AND ADMISSION PROCESS IS DONE ONLY ONCE PER...
Jamani naomba msaada kunabinamu yangu kachaguliwa chuo ambacho hakuomba ila kwenye Selection status yake ya chaguo la kwanza hajaandikiwa chochote ila chaguo la 2 hadi 8 kaandikiwa not Adimitted....swali langu je ni wote ambao mmechaguliwa vyuo ambavyo hamkuomba kuna kitu hiocho kwenye selection...
Naomba kusaidiwa mm ni mwalimu (Diploma Holder) masomo ya Sayansi Geography anda Chemistry nimeomba kusoma Degree Education katika masomo hayo na niliomba mkopo pia lakini nasikia kunatetesi Eti sisi tulio in service hatupati mkopo je ni kweli au msaada kwa mwenye jibu..nashukuru Mungu niko...
Dear Applicants, The second round for the admission into Central Admission System is officially opened from 13th August, 2012 to 25th August,2012.Those who did not apply or could not be admitted during first round are adviced to make...
Jamani naomba kunukuu hii post "Ingia web ya TCU na ulog in kwenye account yako.Nenda kwenye profile yako uclick hapo.Profile ikifunguka nenda kaclick kwenye application 2nd round.Baada ya kuclick itakuja option ya add code ya program kwa ajili ya second round ya selection.Ukiaad hiyo code...
Jamani nashangazwa hv ni kwa nn wafanyakazi wa mashirika ya umma/Serikalini..mfano walimu,madakitari,mapolisi,Tanesco,TRA hawajapigia kelele hiyi sheria mpya ya kupewa mafao baada ya miaka 55 na kuendelea?..inamaana wao hawako katika mifuko hiyo au inakuaje?.
kwa uelewa wangu mdogo najua mwanahalisi linaongoza kwa kusema ukweli na kufichua maovu ya serikali lakini ningependa kutajiwa magazeti mengine yanayojitahidi kufichua na yale ya kishezi ni yapi yanayotumiwa na mafisadi kukumbatia uovu nitajie na mmiliki wake Plse.
Jamani naomba kuuliza hvi ile sheria mpya iliyopitishwa ndo itaendelea kweli au Bunge limefikia wapi maana binafisi naona kimya tu au ndo watu wameridhika?
Jamani wanajamii naomba mnisaidie nimeshuhudia wanawake wengi ambao hawajaolewa mfano Anna Makinda wanakuwa na maamuzi ya kibabe na yasiyo husisha busara tatizo huwa ni nn?
Jamani wanajamii naomba mnisaidie nimeshuhudia wanawake wengi ambao hawajaolewa mfano Anna Makinda wanakuwa na maamuzi ya kibabe na yasiyo husisha busara tatizo huwa ni nn?
Jamani nomba kuuliza kama kunamtu anajua nn kinaendelea juu ya huyu jamaa maana isije ikawa anarudi bana maana nilisikia kunawabunge pamoja na kamati ya nishart walikua wanamtetea sijui imefikia wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.